Kinachoendelea Ulaya ni unafiki wa Ulaya mara zote kutaka kuwa politically correct

Kinachoendelea Ulaya ni unafiki wa Ulaya mara zote kutaka kuwa politically correct

Nafaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
12,468
Reaction score
32,167
Nchi za Ulaya zinapaswa kuondoa wahamiaji warudi kwao waache unafiki wa kutaka kuwaridhisha watu. Wimbi la uhamiaji limeharibu hizi nchi kitamaduni, kiuchumi na kila kitu.
Jambo lingine linalonishangaza, nenda mashariki ya kati, njoo afrika, ni vigumu eti ahamie mzungu hapa Tanzania aishi kiasi kwamba familia yake siku moja ije kushika nafasi za kisiasa. Sidhani kama ninaweza kuhamia China nikaishi na kuzaa watoto China ambao siku moja wakaja kushikilia nafasi za kisiasa kule. Huu ujinga uko ulaya na marekani.
France is burning, next ni UK na Germany.
Rudisha kila mtu kwao. Wahamiaji wanatoka kwao halafu kile walichokimbia kwao ndicho wanachokileta kwenu.
 
Kuna Mmarekani nilisikia alisema reason politicians wanaleta immigrants ni kwa sababu it's good for capitalism. Wanaweza kupata watu wa kuwaajiri kufanya kazi masaa mengi na kuwalipa mishahara midogo kwa hiyo wanamaximize profit

Sababu nyingine ni kwamba ukiwapa immigrants wengi citizenship ni rahisi wao kuja kukupigia kura kipindi cha uchaguzi na ukapata wafuasi wengi sana

Ila sioni kama ni vibaya wakilet in skilled immigrants, tatizo lao wao wanabeba kila mtu especially refugees
Na hizi nchi za Kizungu zisingekuwa zinaharibu nchi za Middle East wasingepata wageni wengi kutoka huko. Wameyataka wenyewe, kila kitu unachofanya kina consequences. Let other countries prosper na hautapata low quality immigrants in large numbers, kama hutaki nchi zao ziendelee, usilalamike wakianza kufurika nchini kwako
 
Ulaya iache kusababisha matatizo kwenye nchi za wengine , waache wajenge nchi zao kwa amani hakuna atakae kimbilia kwao.

Ulafi wao warasilimali kwenye nchi za wengine umewatokea puani.
Kabisa, huwezi kuharibu nchi za watu halafu ukashangaa kwa nini wanakimbilia nchini kwako, jibu ni simple Nchi yako iko na condition nzuri zaidi na kila binadamu anatamani kukaa kwenye mazingira mazuri
Kingine wanapoharibu nchi za watu, wanaaffect mataifa mengine pia. Kwa sababu sio watu wote kwenye hizi nchi watakumbilia Marekani au Ulaya, wengine watakimbilia hata Japan ambao hawahusiki.na kuharibu nchi zao. Solution ni kuacha nchi za wenzao ziendelee kuprosper, lasivyo wasilalamike kuona immigrants wakijazana huko
 
Ulaya iache kusababisha matatizo kwenye nchi za wengine , waache wajenge nchi zao kwa amani hakuna atakae kimbilia kwao.

Ulafi wao warasilimali kwenye nchi za wengine umewatokea puani.
Nimekugongea like lakini hebu fadanua zaidi uhusiano wa uzi huu na komenti yako.
NB;Mimi ni nanga na mbumbumbu mzungu wa reli/slow learner & catcher as well.Usichoke kunifundisha hata kama utatumia kipigo cha makwenzi.
 
Ni, huwezi kuharibu nchi za watu halafu ukashangaa kwa nini wanakimbilia nchini kwako, jibu ni simple Nchi yako iko na condition nzuri zaidi na kila binadamu anatamani kukaa kwenye mazingira mazuri
Kingine wanapoharibu nchi za watu, wanaaffect mataifa mengine pia. Kwa sababu sio watu wote l hizi nchi watakumbilia Marekani au Ulaya, wengine watakimbilia hata Japan ambao hawahusiki.na kuharibu nchi zao. Solution ni kuacha nchi za wenzao ziendelee kuprosper, lasivyo wasilalamike kuona immigrants wakijazana huko
Kabisa ufaransa ubeligiji imejaa wa kongo sababu kubwa ni wao kuharibu kongo , 100% ya uchumi wa ubeligiji ni mali za kongo chini ya utawa wa kimabavu na umwagaji damu uliwakawaida chini ya mfalme leopod 11

Hivyo wakongo wamefuta kula chao ubeligiji na France
 
Ulaya iache kusababisha matatizo kwenye nchi za wengine , waache wajenge nchi zao kwa amani hakuna atakae kimbilia kwao.

Ulafi wao warasilimali kwenye nchi za wengine umewatokea puani.
Hii ni kweli... Halafu jambo la kufurahisha, kule wanakoharibu wale wahamiaji wanavuka nchi kama Turkey, UAE na kuwafuata huko huko kwao.
Nimeshangaa kusikia nchi kama Denmark, Norway kwa sasa zimekuwa hub ya dawa za kulevya. WaZungu wanalalamika ukifka London ni kama umefika Pakstan, Paris ni kama umefika Mogadishu raia walivyojazana. Germany ni kama umefika Syria 😃😃😃
 
Kabisa ufaransa ubeligiji imejaa wa kongo sababu kubwa ni wao kuharibu kongo , 100% ya uchumi wa ubeligiji ni mali za kongo chini ya utawa wa kibamabavu na umwagaji damu uliwakawaida chini ya mfalme leopod 11

Hivyo wakongo wamefuta kula chao ubeligiji na France
Nchi ambazo ufaransa imezitawala kulikuwa na kitu kwamba raia wa hizo nchi wanaweza kwenda ufaransa bila shida. Kwa sasa ufaransa kumejaa raia wengi wa north afrika na middle east, same to germany, UK.
Tazama viongozi wa serikali ya Uingereza, mayor wa london, waziri wa elimu
 
Hii ni kweli... Halafu jambo la kufurahisha, kule wanakoharibu wale wahamiaji wanavuka nchi kama Turkey, UAE na kuwafuata huko huko kwao.
Nimeshangaa kusikia nchi kama Denmark, Norway kwa sasa zimekuwa hub ya dawa za kulevya. WaZungu wanalalamika ukifka London ni kama umefika Pakstan, Paris ni kama umefika Mogadishu raia walivyojazana. Germany ni kama umefika Syria 😃😃😃
Halafu mbaya zaidi wao wanapandana jinsia zinazofanana , mwarabu ana wake wa 4😅
 
Kwanza ,waondoke majeshi na makampuni yao kwenye nchi za watu ..Halafu unaongea uongo ,wapo wazungu wengi nchi za afrika ni viongozi ,wengine na magavana kabisa .

Tatizo ni hao jamaa ni wanafiki ,kuwaita wengine wahamiaji ni ujinga hata wao wakuja kila siku ,tena kila kona wanaenda ..Huku wanapokelewa vizuri ,hata hapo kenya kuna mtandao wa wazungu wnahusika na maandamano.

Wengine wapo nigeria tena Vijini hasa huko kwenye vita vya ukabila...Kiufupi ,duniani kila mtu abaki nchini kwake.
 
Maandamano ya changamoto za kijamii ni wafaransa wote

Ila ya free palestina wafaransa wenye asili ya arabu na africa kwa asilimia kubwa.
Sasa, bwashee, kuhusu hao waafrika na kuandamana nchi waliyohamia tu inahusikaje na mabalaa ya nchi zao za asili? Afrika inaongozwa na waafrika wenyewe na wengi wao ni wezi/mafisadi,wabaguzi wa wao kwa wao na hawana maono katika uongozi.Tusidanganyane kuhusu kwamba wazungu walibeba kila kitu au kusababisha umasikini wa waafrika.Kama wazungu walipora kila kitu,ina maana leo hii Traore,Mwigulu Nchemba,Ramaphosa n.k wanatudanganya kwamba nchi zetu ni tajiri hadi mabeberu yanatuonea gere?Wanatuonea gere kwa kitu gani tunachomiliki basi wakati mnakaririshwa vyote viliporwa na zunguz?
Tukienda kwa hao waasia/especially Waarabu,watamsingizia nani kawaletea umasikini nchini mwao?Kama ni black gold/mafuta wanayo na wanayamiliki.Matatizo yao ya kutwangana vita na kuwekeana sheria kandamizi ndiyo wasingiziwe wazungu?Wote,wafaransa wenye asili ya Afrika na Mashatiki ya kati/Arabs warudi kwao wakafanye hizo fujo na kutoa madai hewa.Wazungu wanawalea vizuri halafu wenyewe wanaleta uncertainties situations kwa bei rahisi.Warudi makwao wakapajenge kama walivyoikuta Ulaya ilivyojengwa na watu wasio wavivu na wenye kutumia mbongo nyingi.Au mabeberu yalituibia na akili zote?
 
Nchi za Ulaya zinapaswa kuondoa wahamiaji warudi kwao waache unafiki wa kutaka kuwaridhisha watu. Wimbi la uhamiaji limeharibu hizi nchi kitamaduni, kiuchumi na kila kitu.
Jambo lingine linalonishangaza, nenda mashariki ya kati, njoo afrika, ni vigumu eti ahamie mzungu hapa Tanzania aishi kiasi kwamba familia yake siku moja ije kushika nafasi za kisiasa. Sidhani kama ninaweza kuhamia China nikaishi na kuzaa watoto China ambao siku moja wakaja kushikilia nafasi za kisiasa kule. Huu ujinga uko ulaya na marekani.
France is burning, next ni UK na Germany.
Rudisha kila mtu kwao. Wahamiaji wanatoka kwao halafu kile walichokimbia kwao ndicho wanachokileta kwenu.
In fact,
uko sahihi,
Unafiki na sense of perfections inawaumbua wenyewe sasa politically speaking 🐒
 
Sasa, bwashee, kuhusu hao waafrika na kuandamana nchi waliyohamia tu inahusikaje na mabalaa ya nchi zao za asili? Afrika inaongozwa na waafrika wenyewe na wengi wao ni wezi/mafisadi,wabaguzi wa wao kwa wao na hawana maono katika uongozi.Tusidanganyane kuhusu kwamba wazungu walibeba kila kitu au kusababisha umasikini wa waafrika.Kama wazungu walipora kila kitu,ina maana eo hii Traore,Miguu Nchemba,Ramaphosa n.k wanatudanganya kwamba nchi zetu ni tajiri hadi mabeberu yanatuonea gere?Wanatuonea gere kwa kitu gani tunachomiliki basi?
Tukienda kwa hao waasia/especially Waarabu,watamsingizia nani kawaletea umasikini nchini mwao?Kama ni black gold/mafuta wanayo na wanayamiliki.Matatizo yao ya kutwangana vita na kuwekeana sheria kandamizi ndiyo wasingiziwe wazungu?Wote,wafaransa wenye asili ya Afrika na Mashatiki ya kati/Arabs warudi kwao wakafanye hizo fujo na kutoa madai hewa.Wazungu wanawalea vizuri halafu wenyewe wanaleta uncertainties situations kwa bei rahisi.
Iraq ,Iran, Pakistan, Yemen ,Syria , Libya, kongo machafuko yote chanzo ni walowezi wa ulaya na America tu, vita zote wao ndio chanzo na wauzaji wa silaha, wafadhili wa makundi ya kiasi ,ili wachote rasilimali, hivyo wavumilie kupokea wa kimbizi tu, wakitaka warudi kwao na wao watoke kwa watu .
 
Iraq ,Iran, Pakistan, Yemen ,Syria , Libya, kongo machafuko yote chanzo ni walowezo wa ulaya na America tu, vita zote wao ndio chanzo na wauzaji wa silaha, wafadhili wa makundi ya kiasi ,ili wachote rasilimali, hivyo wavumilie kupokea wa kimbizi tu, wakitaka warudi kwao na wao watoke kwa watu .
Mzungu/Muamerika anakuaje chanzo cha mabalaa ya hao wengine?Itoshe kusema,hao wahanga wamezidiwa akili na wazungu.Unagombanishwaje/kuchonganishwa kibwege na kweli mnaanza kudundana?Huko ni kukosa reasonings tu.Ulafi,roho mbaya na uzuzu wa viongozi na wahanga waliotajwa ni janga kwao.
 
Back
Top Bottom