Mambo gani mabaya ya Democrats au socialists yanayolenga kuharibu utu wa mwanadamu??Democrats wamejipa umuhimu kwamba wao ndio wameshikilia mpini wa Demokrasia duniani lakini kiukweli wao ndio chimbuko la Kila jambo baya linalolenga kuharibu utu wa mwanadamu....
Bolsonaro ndiye mtu sahihi kwa Brazil...
Lula hamna la maana alilofanya ...