Angalia Ukubwa wa Bajeti za Nchi za Afrika Mashariki-EAC Hapa. Je Uganda Kuipita Tanzania mwakani?

Angalia Ukubwa wa Bajeti za Nchi za Afrika Mashariki-EAC Hapa. Je Uganda Kuipita Tanzania mwakani?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
83,659
Reaction score
90,151
Yaani Tanzania tumewazidi Uganda Trilioni 4 tuu.

Kenya ndio baba lao Kwa Uchumi,Hilo gap hata miaka 10 hatutafika.

BAJETI ZA TAIFA ZA AFRIKA MASHARIKI 2025/2026

📌 Takwimu zifuatazo zinatokana na taarifa rasmi za bajeti zilizowasilishwa na Mawaziri wa Fedha wa nchi mbalimbali za Afrika Mashariki kwa mwaka wa fedha 2025/2026:

  1. 🇰🇪 KENYA
    Bajeti: Dola bilioni 33.03
    Sawa na: Shilingi trilioni 85.382
  2. 🇹🇿 TANZANIA
    Bajeti: Dola bilioni 21.6
    Sawa na: Shilingi trilioni 56.49
  3. 🇺🇬 UGANDA
    Bajeti: Dola bilioni 20.1
    Sawa na: Shilingi trilioni 52.06
  4. 🇷🇼 RWANDA
    Bajeti: Dola bilioni 4.9
    Sawa na: Shilingi trilioni 12.8
snapins-ai_3653544389967406896.jpeg
 
Bajet ya Tanzania ni cash bajet?
Siyo kila kiichoandikwa kitatekelezwa inategeea na ukusanywaji wa pesa.
Kabla hujasifia tuambie ya mwaka jana ilitekelezwa kw % ngapi na kwann siyo 100%
Ccm = rushwa = akili ndogo = Uchawa
 
Jikite kwenye hoja
 
Yaani Tanzania tumewazidi Uganda Trilioni 4 tuu.

Kenya ndio baba lao Kwa Uchumi,Hilo gap hata miaka 10 hatutafika.

BAJETI ZA TAIFA ZA AFRIKA MASHARIKI 2025/2026

📌 Takwimu zifuatazo zinatokana na taarifa rasmi za bajeti zilizowasilishwa na Mawaziri wa Fedha wa nchi mbalimbali za Afrika Mashariki kwa mwaka wa fedha 2025/2026:

  1. 🇰🇪 KENYA
    Bajeti: Dola bilioni 33.03
    Sawa na: Shilingi trilioni 85.382
  2. 🇹🇿 TANZANIA
    Bajeti: Dola bilioni 21.6
    Sawa na: Shilingi trilioni 56.49
  3. 🇺🇬 UGANDA
    Bajeti: Dola bilioni 20.1
    Sawa na: Shilingi trilioni 52.06
  4. 🇷🇼 RWANDA
    Bajeti: Dola bilioni 4.9
    Sawa na: Shilingi trilioni 12.8
View attachment 3367192
Na wao wamekopa matrilioni kama sisi? Tunaelekea kupigwa mnada siku si nyingi, maana bandari ishauzwa, misitu ishauzwa, KIA pashauzwa, migodi ishauzwa, tunakoelekea na raia watauzwa kabisa. Huyu jamaa hapa chini aliona mbali.
 
Budget ni kitu kimoja, kuifikia ni kitu kingine kabisa.

Tuambieni budget ya mwaka huu ilifanyiwa kazi(ilifikiwa) kwa asilimia ngapi, then tutajua kama kweli mnafanya kazi au blah blah kama kawaida yenu.

Nakumbuka kuna wizara(afya?!) ilitengewa 3.5 trillion kipindi fulani, mwisho wa mwaka wa fedha walipewa just 30% of their budget, kama sio ujinga ni nini...kutuaminisha budget kumbe hata 50% tu hamfikii.
 
Back
Top Bottom