Kaulize chawa wa aliyefunga kanisa anajua alikopata baruaNani aliandika barua ya kufunga kanisa la Gwajima? Maana Bashungwa kaikana, mahakama imesema haiko valid. Muliro katuma Manyumbu yasojuaga kufikiria yameenda pale kupiga watu mabomu, hili limekaaje Bwana Chawa
Uganda tumewazidi watu tuuCha ajabu hao wote tumewazidi ukubwa wa aneo, idadi ya watu na rasirimali kwa ujumla! Prakatatumbaa
Unajenga hoja Kwa kudhania ? Aliyekwambia nani hayo?1. Budget na Utekelezeji wake ni Vitu viwili tofauti
2. Budget inajumuisha fedha za Wahisani ( Donors)
Uganda wanaweza kuwa na Budget kubwa lakini ikawa imeelemea kwenye Utegemezi
3. Tanzania imeendelea kupunguza Utegemezi kutoka nje
4. Vyanzo vya Mapato... Tanzania amefuta Kodi nyingi zilizokua zinawahusu Wananchi moja kwa moja ikiwemo Madereva Bodaboda na Bajaji hivyo kuleta Unafuu
Unaelewa ulichokiandika lakini?1. Budget na Utekelezeji wake ni Vitu viwili tofauti
2. Budget inajumuisha fedha za Wahisani ( Donors)
Uganda wanaweza kuwa na Budget kubwa lakini ikawa imeelemea kwenye Utegemezi
3. Tanzania imeendelea kupunguza Utegemezi kutoka nje
4. Vyanzo vya Mapato... Tanzania amefuta Kodi nyingi zilizokua zinawahusu Wananchi moja kwa moja ikiwemo Madereva Bodaboda na Bajaji hivyo kuleta Unafuu
upigaji upo kila sehem ila haimaanishi upigaji wao ndo chanzo cha matatizo yako, hizo pesa wanazitumia nchini humu humu japo hatuungi mkono ila usiifanye issue sana unless unafanya siasa za upinzan which isnt bad but kwa uhalisia ndo huoJuzi mama alilalamika kua watu wanatoa siri za serikali nje? Tuliona documents za mabilioni ya pesa yakipigwa na IGP, TISS, Mpambe wa Rais, Makonda na wengineo. Hilo limekaaje
CCM haina viongozi waonao mbali, wao akili zao ni kuteka tu watu, kuua, kutesa, na kudanganya watanzania kuwa wanawajali. Wanaturudisha nyuma mno kimaendeleo.Bajet ya Tanzania ni cash bajet?
Siyo kila kiichoandikwa kitatekelezwa inategeea na ukusanywaji wa pesa.
Kabla hujasifia tuambie ya mwaka jana ilitekelezwa kw % ngapi na kwann siyo 100%
Ccm = rushwa = akili ndogo = Uchawa
Budget ya Kenya ni karibu mara moja na robo tatu, ingawa Kenya ina watu wachache kuliko Tanzania. Uganda ina watu Mil 26 na budget karibia ya Tanzania. Tuna tatizo kubwa sana nchi hii, hata hii budget yetu haitolewi yote, utekelezajia wa budget yetu ni karibia asilimia 30 ya pesa zote zilizopangwa.Yaani Tanzania tumewazidi Uganda Trilioni 4 tuu.
Kenya ndio baba lao Kwa Uchumi,Hilo gap hata miaka 10 hatutafika.
BAJETI ZA TAIFA ZA AFRIKA MASHARIKI 2025/2026
📌 Takwimu zifuatazo zinatokana na taarifa rasmi za bajeti zilizowasilishwa na Mawaziri wa Fedha wa nchi mbalimbali za Afrika Mashariki kwa mwaka wa fedha 2025/2026:
View attachment 3367192
- 🇰🇪 KENYA
Bajeti: Dola bilioni 33.03
Sawa na: Shilingi trilioni 85.382- 🇹🇿 TANZANIA
Bajeti: Dola bilioni 21.6
Sawa na: Shilingi trilioni 56.49- 🇺🇬 UGANDA
Bajeti: Dola bilioni 20.1
Sawa na: Shilingi trilioni 52.06- 🇷🇼 RWANDA
Bajeti: Dola bilioni 4.9
Sawa na: Shilingi trilioni 12.8
Wapinzani au CAG🤣 🤣 unapenda kuskiliza wapinzan sana, ukiwa unaamini kila kitu ivo basi utaamini watu wote madarakani wana kazi ya kuchota ela tu
Uganda Ina watu mil.48.Budget ya Kenya ni karibu mara moja na robo tatu, ingawa Kenya ina watu wachache kuliko Tanzania. Uganda ina watu Mil 26 na budget karibia ya Tanzania. Tuna tatizo kubwa sana nchi hii, hata hii budget yetu haitolewi yote, utekelezajia wa budget yetu ni karibia asilimia 30 ya pesa zote zilizopangwa.
Wanaoona mbali wako chama gani?CCM haina viongozi waonao mbali, wao akili zao ni kuteka tu watu, kuua, kutesa, na kudanganya watanzania kuwa wanawajali. Wanaturudisha nyuma mno kimaendeleo.
Population yao 2025 ni 50.2million.Yaani Tanzania tumewazidi Uganda Trilioni 4 tuu.
Kenya ndio baba lao Kwa Uchumi,Hilo gap hata miaka 10 hatutafika.
BAJETI ZA TAIFA ZA AFRIKA MASHARIKI 2025/2026
📌 Takwimu zifuatazo zinatokana na taarifa rasmi za bajeti zilizowasilishwa na Mawaziri wa Fedha wa nchi mbalimbali za Afrika Mashariki kwa mwaka wa fedha 2025/2026:
View attachment 3367192
- 🇰🇪 KENYA
Bajeti: Dola bilioni 33.03
Sawa na: Shilingi trilioni 85.382- 🇹🇿 TANZANIA
Bajeti: Dola bilioni 21.6
Sawa na: Shilingi trilioni 56.49- 🇺🇬 UGANDA
Bajeti: Dola bilioni 20.1
Sawa na: Shilingi trilioni 52.06- 🇷🇼 RWANDA
Bajeti: Dola bilioni 4.9
Sawa na: Shilingi trilioni 12.8
Uganda hawako serious hiyo hela hata wenyewe hawajui utatoka wapi au kutumika wapi, hakuna mashule, hakuna miundo mbinu ya usafiri hakuna hospital kifupi hakuna nchi paleUganda wako serious sana. Sisi tuko na Mama Mama Mama Mama Mama. Utazani wote tumezaliwa mwaka huu
Hii habari ya resources nyingi kuliko sisi Huwa mnaitoa wapi?Population yao 2025 ni 50.2million.
Itoshe kusema, Waganda wanafanya vizur kutuliko sisi wenye ardhi mara nne zaidi yao, resources nyingi kuliko wao (Tourism, Gold,Gas, Almas, bahari, )
Lipo tatizo kubwa sana la kiutawala.
Kuna kahaba anaturudisha nyuma kila siku no hasara kubwa sanaYaani Tanzania tumewazidi Uganda Trilioni 4 tuu.
Kenya ndio baba lao Kwa Uchumi,Hilo gap hata miaka 10 hatutafika.
BAJETI ZA TAIFA ZA AFRIKA MASHARIKI 2025/2026
📌 Takwimu zifuatazo zinatokana na taarifa rasmi za bajeti zilizowasilishwa na Mawaziri wa Fedha wa nchi mbalimbali za Afrika Mashariki kwa mwaka wa fedha 2025/2026:
View attachment 3367192
- 🇰🇪 KENYA
Bajeti: Dola bilioni 33.03
Sawa na: Shilingi trilioni 85.382- 🇹🇿 TANZANIA
Bajeti: Dola bilioni 21.6
Sawa na: Shilingi trilioni 56.49- 🇺🇬 UGANDA
Bajeti: Dola bilioni 20.1
Sawa na: Shilingi trilioni 52.06- 🇷🇼 RWANDA
Bajeti: Dola bilioni 4.9
Sawa na: Shilingi trilioni 12.8
Speed ni kubwa kuliko wakati mwingine wowote isipokuwa wengine hasa Uganda na DRC Wana speed kubwa zaidi eg uwekezaji.Tanzania hakuna kitu, niliwaambia hapa kuwa kwa speed hii ya Samia , Uganda ba Congo zita kuwa juu ya Tz not less than 2 yrs. Tanzania kwa sasa ni too vulnerable Country, we lack leadership.