Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Budget is just a forecast na kwa nchi nyingi maskini especially Africa utekelezaji halisi haufiki 50%, budget za mboga saba utekelezaji sifuri
Unaropoka bila evidence,nikupe taarifa ya utekelezaji wa budget zilizopita hususani za Tanzania?Budget is just a forecast na kwa nchi nyingi maskini especially Africa utekelezaji halisi haufiki 50%, budget za mboga saba utekelezaji sifuri
Kukosa madawa hospitals, mishahara kuchelewa, mahandaki sugu barabarani etc ni budget isiyotekelezeka( mipango isiyo na pesa)Unaropoka bila evidence,nikupe taarifa ya utekelezaji wa budget zilizopita hususani za Tanzania?
Wapi uliambiwa Bajeti italeta hayo yote Kwa 💯?Kukosa madawa hospitals, mishahara kuchelewa, mahandaki sugu barabarani etc ni budget isiyotekelezeka( mipango isiyo na pesa)
Nitastajabu Sana CCM ikipitisha mtu wa darasa la saba kugombea ubungeMusukuma bungeni alisema Tz inaizidi Kenya kwa kila kitu.
Tz kuna vituko sana !
Punguzeni kuzaana ila Wakenya ni 58mln na Tanzania ni 65mln na Waganda ni 48mln.Kwa makisio ya haraka haraka
Bajeti 2024/2025
1. Kenya 85 trillion
2. Tanzania 56 trillion
3. Uganda 52 trillion
4. Rwanda 12 trillion
Population as per 2024
1. Tanzania 68 million
2. Kenya 56 million
3. Uganda 45 million
4. Rwanda 14 million
Budget for each person
(Budget/population)
1. Kenya 1.52 million moja laki tano na ishirini
2. Uganda 1.1 6million Moja laki na sitini
3. Rwanda 0.86 laki nane na sitini
4. Tanzania 0.82 laki nane na ishirini
Hadi March 2025 (robo ya 3 ya Mwaka wa fedha ) Bajeti ilikuwa imetekelezwa kwa 54%Budget ni kitu kimoja, kuifikia ni kitu kingine kabisa.
Tuambieni budget ya mwaka huu ilifanyiwa kazi(ilifikiwa) kwa asilimia ngapi, then tutajua kama kweli mnafanya kazi au blah blah kama kawaida yenu.
Nakumbuka kuna wizara(afya?!) ilitengewa 3.5 trillion kipindi fulani, mwisho wa mwaka wa fedha walipewa just 30% of their budget, kama sio ujinga ni nini...kutuaminisha budget kumbe hata 50% tu hamfikii.
Uganda population 2025 ni 48.2....Kumradhi. Sisi ni Million 65 tofauti ya budget yetu na Uganda ni Dollar bilioni 1.3. Kenya ndiyo wametupita kama tumesimama, kila siku tupo MAMA, MAMA, MAMA kama vile watu wananyonya.Uganda Ina watu mil.48.
Hapana mara kadhaa nakisi imekuwa sio zaidi ya 6% ya budget ila tatizo linakujaga ni kukosa kuheshimu kilichopangwa yaani hela Huwa zinahamishwa hamishwa au hazipelwkwi kama zilivyopangwa Kwa sababu ambazo hazieleweki eg CAG alisema 1.2T iliyopangwa Kupeleka TanRoads na Tarura hazikupelekwa kwenye taasisi husika licha ya kukusanywa.
On top of that mitizamo Hadi ya kijamaa kutoka enzi hizo inachangia pakubwa kukwamisha Mabadiliko ya kiuchumi yanayotakiwa kuanzia kwenye sheria hasa za Mali ,usalama, uwekezaji nk.
Sheria zetu ni za kudhibiti zaidi kuliko kuwezesha.Kwa Hali hii sahau kushindana na Wakenya ambao ni business oriented,aggressive na Wana exposure.
Wingi wa Rasilimali pekee hamuwezi Kusaidia kitu kama akili za kujiongeza kwenye fursa na ubunifu huna.
its still Ok, mtu akiiba ela si anaenda kuitumia hizi taarifa zisikuchoshe sana wewe cha muhimu angalia ulipo and unawezaje kusogea mbele, unaweza kuzaliwa marekan na bado ukawa maskiniWapinzani au CAG
Huyu Idd Amini Mama katudogosha sanaYaani Tanzania tumewazidi Uganda Trilioni 4 tuu.
Kenya ndio baba lao Kwa Uchumi,Hilo gap hata miaka 10 hatutafika.
BAJETI ZA TAIFA ZA AFRIKA MASHARIKI 2025/2026
📌 Takwimu zifuatazo zinatokana na taarifa rasmi za bajeti zilizowasilishwa na Mawaziri wa Fedha wa nchi mbalimbali za Afrika Mashariki kwa mwaka wa fedha 2025/2026:
View attachment 3367192
- 🇰🇪 KENYA
Bajeti: Dola bilioni 33.03
Sawa na: Shilingi trilioni 85.382- 🇹🇿 TANZANIA
Bajeti: Dola bilioni 21.6
Sawa na: Shilingi trilioni 56.49- 🇺🇬 UGANDA
Bajeti: Dola bilioni 20.1
Sawa na: Shilingi trilioni 52.06- 🇷🇼 RWANDA
Bajeti: Dola bilioni 4.9
Sawa na: Shilingi trilioni 12.8
Uganda wamepiga hatua kubwa sawa na wametupitaKwani UG na TZ mwaka wa fedha uliopita tofauti yao ilikuwa kiasi gani?
Exactly mkuu, tunashangilia ujinga tu wakati mwingine.Hadi March 2025 (robo ya 3 ya Mwaka wa fedha ) Bajeti ilikuwa imetekelezwa kwa 54%
Hii Nchi uwongo uwongo sana,bajeti zetu zipo kisanii ila kiuhalisia sio za kweli
Walishauliwa, mwingine yupo jela kwa kesi ya kusingiziwa isiyo na mashikoWanaoona mbali wako chama gani?
"Tanzania has a significantly larger land area than Uganda. Tanzania's land area is 947,300 square kilometers, while Uganda's is 241,040 square kilometers. This makes Tanzania roughly four times larger than Uganda."Uganda tumewazidi watu tuu
Tanzania has larger water body size than Uganda.Uganda tumewazidi watu tuu
Elimu ya bajeti ni muhimu. Kujikadiria kupita kiasi ni kujidanganya. Bajeti halisia hapo ni Kenya na Tanzania. Almost the same ratio of GDP.Uganda wako serious sana. Sisi tuko na Mama Mama Mama Mama Mama. Utazani wote tumezaliwa mwaka huu