Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,686
- 18,674
Mbona Kenya wanagombania githeri na ugali kutushinda.
Uganda wanafungua milango. Hapo kuna Mafuta wanachimba. Unajua yanaenda kuingiza kiasi gani?Elimu ya bajeti ni muhimu. Kujikadiria kupita kiasi ni kujidanganya. Bajeti halisia hapo ni Kenya na Tanzania. Almost the same ratio of GDP.
Ni kujiingiza kwenye madeni au kuwaumiza wananchi ukikadria bajeti kubwa kuliko uhalisia.
Sijui nani alituloga kwa kweli! ni uchawa kwa kwenda mbele! hadsi tumekuwa taifa la machawaUganda wako serious sana. Sisi tuko na Mama Mama Mama Mama Mama. Utazani wote tumezaliwa mwaka huu
Kwanini mtu aibe pesa ambazo zipo kwa ajili ya jamii yote? Hizi pesa zinatakiwa zifanye huduma za jamii, siyo za mtu binafsi, iwe Abdul, Rajab Mapete, Samia au Mwiguluits still Ok, mtu akiiba ela si anaenda kuitumia hizi taarifa zisikuchoshe sana wewe cha muhimu angalia ulipo and unawezaje kusogea mbele, unaweza kuzaliwa marekan na bado ukawa maskini
kila mtu ni mwizi katika eneo lake, umenunua shati 10k unamuuzia mtu 20k ni wizi piaKwanini mtu aibe pesa ambazo zipo kwa ajili ya jamii yote? Hizi pesa zinatakiwa zifanye huduma za jamii, siyo za mtu binafsi, iwe Abdul, Rajab Mapete, Samia au Mwigulu
Nchi hii ina watu wa ovyo kama wewe, yaani hata kudai haki yako hujui, ukiona barabara, mabomba ya maji au umeme unadhani umependelewa....Hujui kuwa tunalipia kila kitu na huduma ni za ovyo tangu tumepata uhuru.its still Ok, mtu akiiba ela si anaenda kuitumia hizi taarifa zisikuchoshe sana wewe cha muhimu angalia ulipo and unawezaje kusogea mbele, unaweza kuzaliwa marekan na bado ukawa maskini
Kwa hiyo ukiiba pesa za serikali zilizowekwa kwa manufaa ya wananchi ni sawa? Wewe kweli akili yako ipo tumboni. Fala wewe. Nyiye ndiyo mnaofanya nchi hii iwe ya ovyo.kila mtu ni mwizi katika eneo lake, umenunua shati 10k unamuuzia mtu 20k ni wizi pia
Nchi hii ina watu wa ovyo kama wewe, yaani hata kudai haki yako hujui, ukiona barabara, mabomba ya maji au umeme unadhani umependelewa....Hujui kuwa tunalipia kila kitu na huduma ni za ovyo tangu tumepata uhuru.
Kwa hiyo ukiiba pesa za serikali zilizowekwa kwa manufaa ya wananchi ni sawa? Wewe kweli akili yako ipo tumboni. Fala wewe. Nyiye ndiyo mnaofanya nchi hii iwe ya ovyo.