Angalia Ukubwa wa Bajeti za Nchi za Afrika Mashariki-EAC Hapa. Je Uganda Kuipita Tanzania mwakani?

Angalia Ukubwa wa Bajeti za Nchi za Afrika Mashariki-EAC Hapa. Je Uganda Kuipita Tanzania mwakani?

Tunakwambia hapa kila siku juu ya haya huelewi, ni vizuri ubongo wako unaanza kupata oxygen yakutosha na kuwa active.

Tajiri mwenye Ksh 20bil akiichenji tu TSh anakuwa na 400bil.

Kwenye mifumo mingi Kenya hakuna siasa na kamlete wa vimemo zaidi ya watu wenye akili na uwezo.
Mifumo mingi Tanzania imekwama kwa sababu ya siasa za CCM, kuendekeza ukada kwenye mifumo na maeneo yanayohitaji competence.
 
Hapana zanz
Hapo Tanzania ina maana Tanganyika na Zanzibar au Tanganyika naomba anayeelewa anieleweshZanzibar Wana bajet ya kwao peke yao make nilisikia fununu kuwa na wao Jana walipitosha bajet yao ambayo ni 6t
Ila Cha maajabu ni kwamba bajet iliyosomwa Jana Dodoma na Zanzibar Wana Cha kwao
 
Budget ni makaridio, Ukitaka Kujua how efficiency it is tafuta implantation ya Budget zilizopita za nchi zote izo ndio utajua kuwa Tanzania tupo mbali
 
Nyumbu na CHAWA nani ana thamani sasa? Bora kuwa nyumbu kuliko kuwa na akili kama mshipa. Mbele haupo!!!
Unakuwa kama kasuku. Hudakia kila mwimbo.
Kalagabaho
Chawa ana thamani na akili Sasa wewe nyumbu Kila kitu hovyo.
 
Tunakwambia hapa kila siku juu ya haya huelewi, ni vizuri ubongo wako unaanza kupata oxygen yakutosha na kuwa active.

Tajiri mwenye Ksh 20bil akiichenji tu TSh anakuwa na 400bil.

Kwenye mifumo mingi Kenya hakuna siasa na kamlete wa vimemo zaidi ya watu wenye akili na uwezo.
Mifumo mingi Tanzania imekwama kwa sababu ya siasa za CCM, kuendekeza ukada kwenye mifumo na maeneo yanayohitaji competence.
Mnaniambia nini?
 
1. Budget na Utekelezeji wake ni Vitu viwili tofauti
2. Budget inajumuisha fedha za Wahisani ( Donors)
Uganda wanaweza kuwa na Budget kubwa lakini ikawa imeelemea kwenye Utegemezi
3. Tanzania imeendelea kupunguza Utegemezi kutoka nje
4. Vyanzo vya Mapato... Tanzania amefuta Kodi nyingi zilizokua zinawahusu Wananchi moja kwa moja ikiwemo Madereva Bodaboda na Bajaji hivyo kuleta Unafuu
 
🤣 🤣 unapenda kuskiliza wapinzan sana, ukiwa unaamini kila kitu ivo basi utaamini watu wote madarakani wana kazi ya kuchota ela tu
Juzi mama alilalamika kua watu wanatoa siri za serikali nje? Tuliona documents za mabilioni ya pesa yakipigwa na IGP, TISS, Mpambe wa Rais, Makonda na wengineo. Hilo limekaaje
 
Back
Top Bottom