wanaharakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BigTall

    JamiiForums Tanzania Stephen Wasira: Wanaharakati na Wanasiasa tushindane kwa hoja badala ya matusi na uchochezi

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amewataka wanaharakati na wanasiasa kujenga mijadala ya kisiasa kwa hoja badala ya matusi na uchochezi, akisisitiza kuwa CCM haina uhasama na chama chochote cha siasa. Wasira amesema chama hicho hakikatai kukosolewa...
  2. Keynez

    JamiiForums Tanzania Katika mapambano ya kisiasa, uwepo wa wanaharakati au "radicals" ni msaada mkubwa kwa "moderates"

    Ukiona mtu anadai anataka mabadiliko halafu wakati huo huo anawapinga "radicals" au wanaharakati, huyo mtu ni ama hajui umuhimu wao au ni kibaraka wa upande wa pili. Uwepo wa radicals au wanaharakati unawasaidia moderates hata katika meza ya maridhiano au majadiliano maana upande wa pili utaona...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anaachiwa Tarehe 6. Lema ndicho alitaka kusema, lakini ameandaa vita na wanaharakati ambao hawataki maridhiano. Kipima upepo

    Hamjambo! Kuna mtu ananieleza hapa, Lema ni kama kipima upepo. Maridhiano yapo mezani. Kete iliyobaki ni Tundu Lisu ambaye ataachiliwa tarehe 6. Kila kitu kipo tayari. Kasoro ni chache. Na moja ya kasoro hizo zipo mtandaoni. Imebainika kwamba, Nguvu ya Chadema iko zaidi mtandaoni na...
  4. JF Member

    JamiiForums Tanzania Lema amethibitisha madai yote ya wanaharakati

    Chama kimeweka masharti Ili kiingie kwenye maridhiano. Yeye anaendesha mambo yake nje ya mfumo wa chama. Kiufupi Lema is more than CDM. Na kupuuzwa kwake Kuna mkela sana. Uzuri wa siasa, hakuna rafiki Wala adui wa kudumu. Kama walivyokuwa akina Mbowe, Slaa na Yeye, zito n.k.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Hotuba Ya Lema Itafsiriwe kwa Kiingereza Ili Wazungu Wajue wazi kabisa Namna wanaharakati uchwara wamekuwa wakichochea Vurugu na machafuko hapa Nchini

    Ndugu zangu Watanzania, Lema ameongea ukweli Mchungu sana siku ya leo kwa kuonyesha namna wanaharakati uchwara akina Mange Kimambi na akina Maria Sarungi wamekuwa wakifanya uchochezi kuchochea vurugu na machafuko hapa Nchini huku wao wakijificha huko waliko ambako wanalishwa kama Makinda ya...
  6. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Wafuasi CHADEMA na wanaharakati wa CHADEMA, Heshimuni Viongozi kwasababu serikali ni madhabahu ya Mungu hapa Duniani

    Serikali ni chombo chenye mamlaka ya kusimamia, kuongoza na kuendesha shughuli za eneo Fulani kama vile shule, kijiji, chuo au nchi kwa mujibu wa Katiba na sheria za sehemu husika au nchi husika. Ikumbukwe kuwa serikali zote Duniani ni madhabahu ya Mungu, yapaswa kuheshimiwa. Na hakuna mtu...
  7. Stability

    JamiiForums Tanzania Mwanaharakati wa upinzani Uganda Olivia Lutaaya aachiwa huru baada ya miezi kadhaa jela

    Mdada kama huyu hapewi promo mitandaoni ila wanaopewa promo ni watu ambao hawana maana ============ Mwanaharakati mashuhuri wa upinzani nchini Uganda, Olivia Lutaaya, ameachiwa huru baada ya kuzuiliwa kwa takriban mwaka mmoja kufuatia kukamatwa kwake wakati wa shughuli za kisiasa za chama cha...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mbeya ni moyo wa siasa za upinzani! Inaongoza harakati, hawana tamaa ya asali na si waoga. Kungekuwa na chama chenye mizizi Mbeya, CHADEMA ingepotea

    Niliwahi kuishi Mbeya na kuna jambo moja nililoligundua kuhusu watu wa eneo hilo: wana viashiria vingi vya kuwa na nguvu kubwa ya kisiasa na uwezo wa kuendesha harakati za mabadiliko. Tatizo lao si ukosefu wa ari, ujasiri au dhamira ya kupinga mifumo isiyo ya haki. Tatizo kubwa ni kukosekana kwa...
  9. L

    JamiiForums Tanzania PICHA: Embu Tizama Rais Wetu Namna Alivyo Imara na Mwenye Nguvu. Hivi Wanaharakati Uchwara Wakiongozwa na Maria Sarungi Wanajisikiaje Huko Waliko?

    Ndugu zangu Watanzania, Napata Raha na Furaha kubwa sana Napomuona Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha Watanzania katika Hali hii ya Ushupavu ukakamavu uimara Uhodari tabasamu na morali na Ari ya kazi . Mama Yetu Mpendwa yupo Imara kimwili na kiakili . Yupo Tayari kuendelea na...
  10. L

    JamiiForums Tanzania PICHA: Rais Wa Afrika Kusini Akiwa na Binti Yake Ziara ya Kikazi Italy

    Ndugu zangu Watanzania, Hiyo ni Picha Ya Rais wa Afrika Kusini Akiwa na Binti yake katika Ziara yake ya kikazi Nchini Italy Ambako ameweza kuambatana naye .Na siyo Mara ya kwanza wala ya pili bali amekuwa akifanya hivyo katika ziara nyingi tu kuambatana na Mwanaye ama Binti yake huyo Kipenzi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Bila msukumo wa Mange Kimambi, maandamano yaliyopangwa Oct 29 2026 yamepuuzwa kabisa. wanaharakati bado wana mengi ya kujifunza kwa dada yao

    Wanaharakati walikuwa wameipa Oct 29 uzito mkubwa, wakipush maandamano kwa nguvu zote. Lakini sasa, siku imekaribia na mambo hayaonekani kwenda kama walivyotarajia, hata wao wameacha kuyapush, Hate her or love her, hii mashine ni kitu kingine kabisa! 🔥 Ana uwezo wa kupenya kwenye hisia za watu...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo Wanaharakati hawana mpango au mkakati wowote mwenzao akitekwa wao wafanyeje? Kanuni za Tibeli: NEVER PLAY THE VICTIM

    Hamjambo! Kuna mtu anaweza kujiuliza mambo haya yataisha lini? Niliwahi andika hapa, Kanuni ya auaye kwa upange atakufa kwa upanga sio universal law. Hiyo ni kanuni ya Wayahudi na Mungu Wai aitwaye Yehova. Niliandika kwamba Isije ikatokea Ukafanyiwa uhuni huko ukadhani Mungu(usiyemjua)...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati na Chadema kampeni ya free flani.... kila baada ya mtu kupotea ni kampeni mfu

    Kila baada ya mtanzania kupotea Chadema na wanaharakati huanza na free flani, free Mdude, free Soka nk... ni kama mnawapongeza tu watekaji nafikiri hata anayewatuma anafurahi akiwaona mnasema free flani kwa sababu anajua mnaumia.
  14. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CCM na serikali yake inataka kutuaminisha walioratibu maandamano ya Oktoba 29 ni wanaharakati wa CHADEMA waliokuwa Nairobi?

    Inasemekana Pambalu alikamatwa akitokea Nairobi Kenya. Alipoingia nchini mkoani Arusha akakamatwa na sasa ameshitakiwa kwa uhaini. Mwenzake nasikia ametekwa jana. Waliomteka inasadikiwa ni Wanausalama wa kitanzania. Je, hawa wanaharakati waliokuwa wameweka kambi hapo Nairobi ndio walipanga huo...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kama Kenya nayo imepoteza sifa ya safe haven, wanaharakati wa kisiasa Afrika Mashariki wakimbilie wapi ? Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC ?

    Kenya ilikuwa ikionekana kama safe haven, kimbilio la wale wanaharakati wa siasa waliotafuta uhuru na usalama nje ya nchi zao matukio yanayohusisha wanaharakati wa kisiasa, akiwemo Kizza Besigye wa Uganda, Maria Sarungi na Twaha Mwaipaya, kukamatwa yameibua hofu kubwa kuhusu usalama wa...
  16. N

    JamiiForums Tanzania CCM tunafurahi kwa Lissu kukosa tuzo ya SAKHAROV ila CHADEMA na wanaharakati mnatukwaza kwa kutuuliza mwenyekiti wetu ameshika nafasi ya ngapi

    Hivi nyie CHADEMA na wanaharakati mna akili timamu kweli? Kwanini mnatuuliza swali lisilo na jibu kuhusu mwenyekiti wetu na nafasi aliyoshika kwenye tuzo za Sakhrov? Tunajua Mabeberu hawakumpendekeza '🪑 man' wetu bingwa wa demokrasia na uchaguzi huru Tanzania sababu wanajua angeshinda kwa...
  17. britanicca

    JamiiForums Tanzania Lissu yupo Sana tu mtaani ninyi andaa tu jinsi ya kumpokea, wanaharakati baadhi wanawadanganya

    The frivolous, fabricated and politically orchestrated prosecution against Lissu has become a severe albatross around the neck of Samia's illegitimate and unlawful regime! And yet, simultaneously, you eulogize and applaud activists who are being fed spurious, mendacious intelligence to obfuscate...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa kisiasa kurukia rukia matukio inanihuzunisha sana

    Hamjambo! Napenda wapigania haki. Hilo litabaki hivyo. Lakini nachukia ushabiki maandazi. Yaani uanaharakati wa kishabiki. Siupendi kwa sababu unaulaghai na uongo mwingi sana. Na mtu mwongo kwa kweli hanivutii. Ukiwa muongo uwe muongo mwenye Akili angalau. Hawa wanaharakati uchwara hawana...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Tafakari ya Kina: Je, Wanaharakati Wetu Wamekuwa 'Wapiga Ramli' na Wafungwa wa 'Ubuyu' wa Kisiasa?

    Heri ya siku wana-JamiiForums, Katika kuelekea tarehe 6 Novemba 2026, siku ambayo Mahakama Kuu inatarajiwa kutoa hukumu katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Mheshimiwa Tundu Lissu, kumekuwa na msisimko mkubwa sana wa maneno mtandaoni. Jambo linaloshangaza na linalostahili...
  20. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Miss Grand International 2026 JIHAN yamewavuruga sana wanaharakati, hawakutegemea

    https://x.com/_zack255/status/2111781633795744164
Back
Top Bottom