Wanaharakati na Chadema kampeni ya free flani.... kila baada ya mtu kupotea ni kampeni mfu

Wanaharakati na Chadema kampeni ya free flani.... kila baada ya mtu kupotea ni kampeni mfu

Emmanuel kant

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2026
Posts
333
Reaction score
857
Kila baada ya mtanzania kupotea Chadema na wanaharakati huanza na free flani, free Mdude, free Soka nk... ni kama mnawapongeza tu watekaji nafikiri hata anayewatuma anafurahi akiwaona mnasema free flani kwa sababu anajua mnaumia.
 
Hao jamaa wa "Free nani sijui" kwanza huwa wanafurahi sana mtu akipotea., kwani huchapisha t shirts na picha na kuziuza kwa wajinga wenzao wakati wao wakineemeka kama Nabii Mwamposa anavyoneemeka na mafuta na mchanga! Ahahahahaha
 
Haina maana, ndio wale wakamwambia max melo, tutakupoteza na watz watapiga kelele baada ya wiki 2 wanakusahau
 
Back
Top Bottom