Lissu yupo Sana tu mtaani ninyi andaa tu jinsi ya kumpokea, wanaharakati baadhi wanawadanganya

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,261
Reaction score
48,864
The frivolous, fabricated and politically orchestrated prosecution against Lissu has become a severe albatross around the neck of Samia's illegitimate and unlawful regime! And yet, simultaneously, you eulogize and applaud activists who are being fed spurious, mendacious intelligence to obfuscate them. KABUDI is utterly devoid of even an iota of jurisprudential competence to draft a judicial verdict. Lissu shall inevitably regain his liberty.

Britanicca
 
Mkuu,hiki KIJITA ulichotumia ni cha ndaaani sana.
Dilute kidogo angalau kiwe na misamiati milaini.
 
The frivolous, fabricated and politically orchestrated prosecution against Lissu has become a severe albatross around the neck of Samia's illegitimate and unlawful regime! And yet, simultaneously, you eulogize and applaud activists who are being fed spurious, mendacious intelligence to obfuscate them. KABUDI is utterly devoid of even an iota of jurisprudential competence to draft a judicial verdict. Lissu shall inevitably regain his liberty.

Britanicca
Kabudi sio mahiri wa kisheria tena si wanasemaga ndo mwl mahiri wa sheria pale UDSM.
Mimi nangoja lile tukio la Julai Julai
 
The frivolous, fabricated and politically orchestrated prosecution against Lissu has become a severe albatross around the neck of Samia's illegitimate and unlawful regime! And yet, simultaneously, you eulogize and applaud activists who are being fed spurious, mendacious intelligence to obfuscate them. KABUDI is utterly devoid of even an iota of jurisprudential competence to draft a judicial verdict. Lissu shall inevitably regain his liberty.

Britanicca
Mashtaka dhidi ya Lissu, ambayo yanaonekana kuwa ya kubuniwa, yasiyo na msingi na yaliyochochewa kisiasa, yamekuwa mzigo mkubwa kwa utawala wa Samia, ambao ninauona kuwa hauna uhalali wa kisiasa na kisheria!

Hata hivyo, kwa upande mwingine, mnaendelea kuwasifu na kuwapongeza wanaharakati wanaolishwa taarifa za kiintelijensia za uongo na zisizo na msingi, kwa lengo la kuwapotosha na kuwafanya wasione ukweli halisi.

Kabudi hana hata chembe ya umahiri wa kisheria unaohitajika kuandaa hukumu ya mahakama.

Lissu hatimaye atapata uhuru wake tena; hilo haliepukiki.
 
Hakuna move kwenye politics inatokea kwa bahati mbaya, zote zinapangiliwa vizuri.

Wanaompa habari Mange, hawampi kwa sababu wanaipenda sana nchi ila wana kete zao wanazisukuma. Ni sawa na kigogo, kila mtu alimuona mzalendo kwa kutoa exclusives, leo yupo wapi

Sometimes kwenye hizi calculations hata wao wanasiasa hawana jawabu moja kutokana na uncertainities zilizopo. Yawezekana wa kona A akayajua ya A na wa kona B, akapewa ya B na zote zikawa ni options zinazoweza kutekelezeka

Na uzuri anaeongea sio mkurupukaji kama wanaharakati baadhi, hadandii kila story so hadi aitoe inamaanisha. Kuna kitu ameona au kuna uthibitisho kapewa..
Kwa hiyo kabla ya kuona ni total lie, inabidi ujiulize kama una access ya total truth ambayo inaweza kutoka kwa main decision maker

Yawezekana ukawa nayo mkuu
 
Subiri uone kama hatarudi kusema KIMAKA KAPINDISHA KISA NIMESEMA 😁😁
 
The frivolous, fabricated and politically orchestrated prosecution against Lissu has become a severe albatross around the neck of Samia's illegitimate and unlawful regime! And yet, simultaneously, you eulogize and applaud activists who are being fed spurious, mendacious intelligence to obfuscate them. KABUDI is utterly devoid of even an iota of jurisprudential competence to draft a judicial verdict. Lissu shall inevitably regain his liberty.

Britanicca
Uchunguzi wa jinai dhidi ya Lissu, ambao hauna msingi, umetengenezwa kwa uongo na kuratibiwa kisiasa, umekuwa mzigo mkubwa unaolitia doa na kuliletea matatizo makubwa utawala wa Samia ambao hauna uhalali na unakiuka sheria!
Hata hivyo, wakati huohuo, mnawasifu na kuwaunga mkono wanaharakati wanaopewa taarifa za kiintelijensia zisizo za kweli na za uongo kwa lengo la kuwapotosha.
KABUDI hana kabisa hata chembe ya umahiri wa kisheria unaohitajika kuandaa hukumu ya mahakama. Lissu hatimaye atapata tena uhuru wake, bila shaka.

— Britanicca
 
Back
Top Bottom