Lissu yupo Sana tu mtaani ninyi andaa tu jinsi ya kumpokea, wanaharakati baadhi wanawadanganya

Lissu yupo Sana tu mtaani ninyi andaa tu jinsi ya kumpokea, wanaharakati baadhi wanawadanganya

Nikama umeumia mange kuongea alichoongea

Tatizo lako unataka kila show usimamie wewe ukiona mwingine akisema kama wewe unaumia

Hakuna anayejua ukweli hata wewe hujui una-speculate
Huyo mtu wenu jau sana kuna siku anawadanganya kwamba KABUDI kaandaa hukumu kavuka na boti kuipeleka Zanzibar! Hivi anadhan watanzania wote ni chekechea? Kabudi anaandaa Hukumu kama Nani? Alafu kwanini avuke kuipeleka Zanzibar asipeleke mahakamani? People use their influence to manipulate others na ubovu and a watanzania they can’t reason beyond reasonable doubt! Wao kila wanacholishwa wanabeba 😊, HUKUMU HAITAKUWA KAMA MNAVYODANGANYWA
 
ubwabwa tunakula lini?
Tumechoka kula makande
 
Huyo mtu wenu jau sana kuna siku anawadanganya kwamba KABUDI kaandaa hukumu kavuka na boti kuipeleka Zanzibar! Hivi anadhan watanzania wote ni chekechea? Kabudi anaandaa Hukumu kama Nani? Alafu kwanini avuke kuipeleka Zanzibar asipeleke mahakamani? People use their influence to manipulate others na ubovu and a watanzania they can’t reason beyond reasonable doubt! Wao kila wanacholishwa wanabeba 😊, HUKUMU HAITAKUWA KAMA MNAVYODANGANYWA
Mange Sio mtu wangu kwanini mimi navyoosoma nyuzi zako jamiiforum na x inamaana mimi ni mshabiki wako hapana

Wewe mbona mambo mengi ulishasema na hayajatokea

Kwanini juzi ulianzisha uzi ukasema yote anayoyasema mange umeshayasema huku kulikuwa na ulazima gani ni kama unashindana na mange jambo ambalo halina ulazima wowote kila mtu afanye kile anachoona sahii

Sisi wengine ni watazamaji na sio washabiki wa mtu yeyote mengi tunasoma na tunayapuuzia au tunaachia mda utaamua
 
The frivolous, fabricated and politically orchestrated prosecution against Lissu has become a severe albatross around the neck of Samia's illegitimate and unlawful regime! And yet, simultaneously, you eulogize and applaud activists who are being fed spurious, mendacious intelligence to obfuscate them. KABUDI is utterly devoid of even an iota of jurisprudential competence to draft a judicial verdict. Lissu shall inevitably regain his liberty.

Britanicca
Kwahiyo akiwa huru maana yake serikali aitendi haki? Tusibebe vichwa tu akili tuibebe
 
Mimi naamini!

Lisu ameicheza vema script aliyokua amepewa na "the state" na script yenyewe ime expose ujinga mwingi wa awamu hii plus kupoteza uhalali wa serikali hii kuendelea kutegemewa kama ni serikali!

Na sasa waliomtuma lisu wamepata sababu "kuu" ya kufanya mabadiliko ya kimedani waliokua wanayataka kufanya kabla!!!

"Original plan"

Mimi bado ni stick pale pale na the state kwenye operation zao!na wamefanikiwa kwa asilimia zote Hadi sasa!!
 
Hakuna move kwenye politics inatokea kwa bahati mbaya, zote zinapangiliwa vizuri.

Wanaompa habari Mange, hawampi kwa sababu wanaipenda sana nchi ila wana kete zao wanazisukuma. Ni sawa na kigogo, kila mtu alimuona mzalendo kwa kutoa exclusives, leo yupo wapi

Sometimes kwenye hizi calculations hata wao wanasiasa hawana jawabu moja kutokana na uncertainities zilizopo. Yawezekana wa kona A akayajua ya A na wa kona B, akapewa ya B na zote zikawa ni options zinazoweza kutekelezeka

Na uzuri anaeongea sio mkurupukaji kama wanaharakati baadhi, hadandii kila story so hadi aitoe inamaanisha. Kuna kitu ameona au kuna uthibitisho kapewa..
Kwa hiyo kabla ya kuona ni total lie, inabidi ujiulize kama una access ya total truth ambayo inaweza kutoka kwa main decision maker

Yawezekana ukawa nayo mkuu
Siku hizi kigogo anahangahika na maafisa elimu, hadi watendaji 😂 anatapatapa yan wamehakikisha haaminiki tena
 
The frivolous, fabricated and politically orchestrated prosecution against Lissu has become a severe albatross around the neck of Samia's illegitimate and unlawful regime! And yet, simultaneously, you eulogize and applaud activists who are being fed spurious, mendacious intelligence to obfuscate them. KABUDI is utterly devoid of even an iota of jurisprudential competence to draft a judicial verdict. Lissu shall inevitably regain his liberty.

Britanicca
“Mashtaka dhidi ya Lissu, ambayo hayana msingi, yamebuniwa na kuratibiwa kisiasa, yamekuwa mzigo mkubwa sana unaoikabili serikali ya Samia ambayo haina uhalali na ni kinyume cha sheria!
Hata hivyo, wakati huohuo, wewe unawasifu na kuwaunga mkono wanaharakati wanaolishwa taarifa za kijasusi za uongo na zisizo na ukweli kwa lengo la kuwachanganya na kuficha ukweli kuhusu wao.
KABUDI hana kabisa uwezo wa kitaalamu wa kisheria, hata chembe yake, wa kuandaa hukumu ya mahakama. Bila shaka, Lissu hatimaye atapata tena uhuru wake.
— Britanicca”
 
Back
Top Bottom