Tundu Lissu knows everything...
Jamaa yuko gerezani, lakini for sure kabisa yeye na timu yake wanajua namna ya KUWAWEKA kona mbaya hawa hayawani...
I agree with you ndugu
britanicca...
Hii kesi katika ulimwengu wa roho ilishaisha kwa TL kupata ushindi mkubwa kwa msaada wa Mungu...
Zaburi 60:12 SUV
“ Kwa msaada wa Mungu tutatenda makuu, Maana Yeye atawakanyaga watesi wetu.”
In a spiritual realm, inasomeka kuwa Samia sio Rais wa Tanganyika. Very soon, not later, atatoweka anyhow kama mvuke na taifa litapata kiongozi mpya anayekubalika na wananchi kwa wingi wao...
This is undisputed fact....
Matomado yanayobisha, basi yasubiri kutia vidole vyao katika makovu ya alama za misumari katika mwili wa mwokozi na Bwana wetu Yesu Kristo, ndipo Wakili na kusema "TUMEAMINI...!!"
Samia na majini yake, na wachawi wake mamia pamoja na waganga wake knows this exactly...
Kinachowasumbua to admit the defeat ni "tutoke vipi...???"
Otherwise, hakuna cha hukumu ya Kabudi wala wachawi wa Kabudi...
Huko ndani ni total chaos, total confusion....