instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
Serikali ni chombo chenye mamlaka ya kusimamia, kuongoza na kuendesha shughuli za eneo Fulani kama vile shule, kijiji, chuo au nchi kwa mujibu wa Katiba na sheria za sehemu husika au nchi husika.
Ikumbukwe kuwa serikali zote Duniani ni madhabahu ya Mungu, yapaswa kuheshimiwa. Na hakuna mtu ambaye Alisha furahia maisha huku anatukana au kuzivunjia heshima serikali za pale anapoishi au alipozaliwa kwasababu Mungu humuondolea amani na humpa adhabu. Mfano huwezi ukawa unatukana walimu shuleni na ukategemea uishi kwa amani, ndo maana mwanafunzi akiwa mlevi jamii inapeleka lawama kwa shule anayosoma,.
Pia huwezi ukawa unahamasisha vurugu chuoni na ukategemea uishi kwa furaha hapo chuoni hyo haipo.
Serikali zote hazitaki vurugu, hazitaki kuvunjiwa heshima, hazitaki kufedhehishwa na mtu au kikundi kidogo.
Niwaase ndugu zangu, acheni kucheza na serikali kwasababu mwisho wake huwa si mzuri, na usitegemee utetezi wowote kutoka kwa yyte. Ni sawa na mtoto akifukuzwa shule/chuo huwa si rahisi akajitetea kwa watu wengine wakamuelewa.
serikali iwe shule, mtaa, kata, tarafa, wilaya nk, inataka heshima. Huna nguvu za kushindana na serikali , hata mabeberu yenyewe hayana uwezo wa kuingilia national sovereignty.
Kwa Leo ngoja niishie hapa.