PICHA: Rais Wa Afrika Kusini Akiwa na Binti Yake Ziara ya Kikazi Italy

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,
Screenshot_20261028-223312_1.jpg

Hiyo ni Picha Ya Rais wa Afrika Kusini Akiwa na Binti yake katika Ziara yake ya kikazi Nchini Italy Ambako ameweza kuambatana naye .Na siyo Mara ya kwanza wala ya pili bali amekuwa akifanya hivyo katika ziara nyingi tu kuambatana na Mwanaye ama Binti yake huyo Kipenzi.

Ikumbukwe Huyo Mtoto Hakuchagua Kuzaliwa Familia ya Ramaphosa na wala hakupanga Baba yake awe Rais . Lakini pia Urais Wa Baba yake haumuondolei haki ya kupata Nafasi ya kuwa karibu na Baba yake ama kusafiri naye ama kuwa naye karibu

Baba yake kuwa Rais haimtengi na Baba yake . Baba yake pia ambaye ni Rais anayo haki ya kusafiri na Binti yake na Familia yake na hata kuwatambulisha kwa viongozi wenzake huko aendako bila kuomba kibali kwa yeyote yule.

Sasa ingekuwa hapa Nchini ndio amefanya Rais wetu Mpendwa ungeona Wanaharakati Uchwara waliojaa njaaa tupu namna ambavyo wangeanza kuongea na kuropoka ropoka Hovyo hovyo kama walevi wa gongo .

Ungeona namna ambavyo wangeanza kuzusha uongo na ufitini na kila aina ya upashikuna na ushakunoko usio na kichwa wala Miguu. Ili tu kutaka kumchafua Rais wetu Mpendwa kana kwamba anakuwa amevunja sheria ama katiba ya Nchi.

Kinachowasumbua Wanaharakati Uchwara ni Wivu, Chuki Binafsi ,roho mbaya ,njaa na kutumika na kutumiwa vibaya bila kufikiri wala kujiuliza swali lolote lile . Wao ni kukurupuka tu kama kuku .

Kwa wivu wao wanaendelea kubakia maskini wa kutupwa wasio na mbele wala nyuma . Kwa sababu badala ya kujibidisha kufanya kazi wao wanakalia kutwa nzima kupiga umbeya tu mtaa kwa mtaa na kijiwe kwa kijiwe halafu mwisho wa siku wakiona mtu anapata maendeleo ama kufanikiwa wao wanaanza kumpiga Majungu na kumuonea wivu na kumuombea dua mbaya ili ashuke na awe kama wao .

Ndio Maana hawabarikiwi zaidi ya kujaa laana, nukusi na Mikosi kila Uchao pamoja na mabalaa ya kila aina .Vifua Vyao Vimejaa Wivu na Maswali ya Kwanini. Wamejaa Chuki Binafsi na Roho mbaya tu. Shetani ameteka na kutawala Mioyo yao .

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Ndugu zangu Watanzania,View attachment 3700500

Hiyo ni Picha Ya Rais wa Afrika Kusini Akiwa na Binti yake katika Ziara yake ya kikazi Nchini Italy Ambako ameweza kuambatana naye .Na siyo Mara ya kwanza wala ya pili bali amekuwa akifanya hivyo katika ziara nyingi tu kuambatana na Mwanaye ama Binti yake huyo Kipenzi.

Ikumbukwe Huyo Mtoto Hakuchagua Kuzaliwa Familia ya Ramaphosa na wala hakupanga Baba yake awe Rais . Lakini pia Urais Wa Baba yake haumuondolei haki ya kupata Nafasi ya kuwa karibu na Baba yake ama kusafiri naye ama kuw naye karibu

Baba yake kuwa Rais haimtengi na Baba yake . Baba yake pia ambaye ni Rais anayo haki ya kusafiri na Binti yake na Familia yake na hata kuwatambulisha kwa viongozi wenzake huko aendako bila kuomba kibali kwa yeyote yule.

Sasa ingekuwa hapa Nchini ndio amefanya Rais wetu Mpendwa ungeona Wanaharakati Uchwara waliojaa njaaa tupu namna ambavyo wangeanza kuongea na kuropoka ropoka Hovyo hovyo kama walevi wa gongo .

Ungeona namna ambavyo wangeanza kuzusha uongo na ufitini na kila aina ya upashikuna na ushakunoko usio na kichwa wala Miguu. Ili tu kutaka kumchafua Rais wetu Mpendwa kana kwamba anakuwa amevunja sheria ama katiba ya Nchi.

Kinachowasumbua Wanaharakati Uchwara ni Wivu Chuki Binafsi roho mbaya njaa na kutumika na kutumiwa vibaya bila kufikiri wala kujiuliza swali lolote lile . Wao ni kukurupuka tu kama kuku .

Kwa wivu wao wanaendelea kubakia maskini wa kutupwa wasio na mbele wala nyuma . Kwa sababu badala ya kujibidisha kufanya kazi wao wanakalia kutwa nzima kupiga umbeya tu mtaa kwa mtaa na kijiwe kwa kijiwe halafu mwisho wa siku wakiona mtu anapata maendeleo ama kufanikiwa wao wanaanza kumpiga Majungu na kumuonea wivu na kumuombea dua mbaya ili ashuke na awe kama wao .

Ndio Maana hawabarikiwi zaidi ya kukaa laana nukusi na Mikosi kila Uchao pamoja na mabalaa ya kila aina .

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
ni chuki binafsi tu na umaskini wa kifikra miongoni mwa baadhi ya waTanzania hasa wasusia uchaguzi mkuu
 
Kwani waafrika ya kusini hawalalamiki kuhusu huyo binti yake?
Nimeshakwambia siyo mara ya kwanza wala ya pili wala ya mwisho kwa Rais huyo kusafiri na Binti yake na wa Afrika Kusini hawana ushamba wa kuanza kupiga kelele maana wanajua binti huyo anayo haki ya kusafiri na Baba yake na wala haipotezi haki yake kwa Baba yake ama aishi kama Yatima
 
ni chiki binafsi tu na umaskini wa kifikra miongoni mwa baadhi ya waTanzania hasa wasusia uchaguzi mkuu
Hasa CHADEMA wengi wao wamejaa wivu chuki binafsi na roho mbaya na ndio Maana wamejaa laana nukusi na Mikosi tu inayowaandama
 
Nimeshakwambia siyo mara ya kwanza wala ya pili wala ya mwisho kwa Rais huyo kusafiri na Binti yake na wa Afrika Kusini hawana ushamba wa kuanza kupiga kelele maana wanajua binti huyo anayo haki ya kusafiri na Baba yake na wala haipotezi haki yake kwa Baba yake ama aishi kama Yatima
Hapa alikwenda Itali kufanya nini? Unatuletea mambo ya mwaka Jana kuhalalisha hoja dhaifu unayojaribu kuijengea uzio.

Hao walikwenda Kwa Papa kidini na kwa masuala ya misaada ya kibinadamu.
 
Kwa hiyo kama Raisi Ramaphosa anafanya upumbavu inahalalisha raisi wetu kufanya upumbavu? Aliekuambia Ramaphosa ndio standard ya namna raisi anavyopasa kuwa ni nani? Huyu Ramaphosa mwenye kesi ya kutakatisha fedha na kuzificha kwenye kochi ndio unamlinganisha na raisi wa Tanzania? Hauko sawa wewe
 
H.E. Cyril Ramaphosa ni tajiri toka akiwa mdogo na makampuni yake yamechangia pakubwa uchumi wa SA.

Huyo binti yake ni mkurugenzi mwandamizi katika makampuni ya baba yake. Kutembelea Italy for business deals kama mwajiri wa maelfu ya wananchi wa SA na mchangiaji mkuu wa uchumi wa nchi sio jambo la kushangaza hata kidogo
 
Ramaphosa wala hafanyi upumbavu.
 
Tatizo Mnapenda kusifia vya nje na kujidharau ninyi . Utaendelea kubaki na umasikini wako wa kipato na akili
 
Back
Top Bottom