rais wa afrika kusini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania PICHA: Rais Wa Afrika Kusini Akiwa na Binti Yake Ziara ya Kikazi Italy

    Ndugu zangu Watanzania, Hiyo ni Picha Ya Rais wa Afrika Kusini Akiwa na Binti yake katika Ziara yake ya kikazi Nchini Italy Ambako ameweza kuambatana naye .Na siyo Mara ya kwanza wala ya pili bali amekuwa akifanya hivyo katika ziara nyingi tu kuambatana na Mwanaye ama Binti yake huyo Kipenzi...
  2. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Rais Ramaphosa akataa kujiuzulu baada ya Mahakama kuamua wabunge hawakupaswa kuizuia hoja ya kumwondoa madarakani

    Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amekataa kujiuzulu baada ya Mahakama ya Katiba kuamua kuwa wabunge hawakupaswa kuzuia mchakato wa kumwondoa madarakani dhidi yake mwaka 2022. Inasemekana kiasi cha dola 580,000 taslimu kiliibwa kutoka kwenye sofa katika nyumba yake ya mashambani mnamo mwaka...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Mange kwa Rais wa Afrika Kusini: Unaweza kuombea mkopo benki na riba ukapunguziwa

    Sijui huyu bwana aliongea nini hasa kuhusu ukoloni mambloeo wa wazungu, ila Mwanaharakati, Mange Kimambi, kamjibu hivi kupitia mtandao wa X: No. @CyrilRamaphosa Africa must confront black colonialism before it starts shouting about white colonialism returning. The real and present danger to...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amemfuta kazi Waziri wa Elimu ya Juu kwa tuhuma za Matumizi mabaya ya Madaraka

    Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, amemvua wadhifa Waziri wa Elimu ya Juu, Nobuhle Nkabane, kufuatia tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka zilizotolewa na mshirika mkuu wa muungano wa serikali, chama cha Democratic Alliance (DA). Taarifa hiyo imetolewa Jumatatu na ofisi ya rais, ikiwa ni...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, amemsimamisha kazi Waziri wa Polisi kwa tuhuma za rushwa

    Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, amemsimamisha kazi Waziri wa Polisi Senzo Mchunu kuanzia mara moja, kufuatia tuhuma za ruswa zilizotolewa na Kamishna wa Polisi wa Mkoa wa KwaZulu-Natal, Luteni Jenerali Nhlanhla Mkhwanazi. Mkhwanazi alidai tarehe 6 Julai kuwa Mchunu alipokea malipo kutoka...
  6. Daby

    JamiiForums Tanzania Trump amemuuliza Rais wa Afrika Kusini kwanini hawamkamati Julius Malema? Kweli?

    Moja ya ziara zilizotikisa vyombo vya habari week hii ni hii ya Rais wa Afrika Kusini kuitembelea Marekani. Kama kawaida ya Trump alimkalisha chini Ramaphosa Oval office. Lakini safari hii Ramaphosa hakufanya mistakes za Zelensky alikuwa humble and composed. Hili likamfanya Trump naye...
  7. Mindyou

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Cyril Ramaphosa: Trump usitupangie cha kufanya, hauimiliki Afrika Kusini. Jishughulishe na Marekani, tuache na matatizo yetu

    Baada ya Trump kutangaza kusitisha misaada nchini humo kisa madai ya ukiukwaji wa haki za Binadamu na Wazungu kunyanyaswa na kupokonywa ardhi wanazomiliki ambapo Ramaphosa amemtaka Trump aache kuingilia mambo ya Afrika Kusini kwakuwa hayamuhusu na kusema ardhi ya Afrika Kusini sio ya Trump...
  8. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Trump atishia kusitisha misaada ya Marekani nchini Afrika Kusini kwa kunyakua ardhi kutoka kwa baadhi ya watu

    Rais wa Marekani, Donald Trump, ametishia kusitisha ufadhili wa Marekani kwa Afrika Kusini, akidai kuwa "tabaka fulani za watu" nchini humo wanatendewa vibaya sana. Katika chapisho lake kwenye mtandao wake wa kijamii Truth Social siku ya Jumapili, Trump amesema kuwa Afrika Kusini "inanyakua...
Back
Top Bottom