Trump amemuuliza Rais wa Afrika Kusini kwanini hawamkamati Julius Malema? Kweli?

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
34,954
Reaction score
80,256
Moja ya ziara zilizotikisa vyombo vya habari week hii ni hii ya Rais wa Afrika Kusini kuitembelea Marekani.

Kama kawaida ya Trump alimkalisha chini Ramaphosa Oval office. Lakini safari hii Ramaphosa hakufanya mistakes za Zelensky alikuwa humble and composed. Hili likamfanya Trump naye azungumze kiungwana- Japo wengi watafsiri kivingine.

Kilichonistaajabisha sio Trump kuwa na taarifa za uongo kuhusu Afrikaner deaths in South Africa(ambazo nyingi nadhani atakuwa kalishwa na Elon) hapana, ni videos alizocheza na kumuuliza Ramaphosa kwanini hawamkamati Malema kwa kauli za kisiasa anazozitoa kwenye kampeni za EFF.

Malema ni whistleblower kama ilivyo kwa viongozi kibao wa kisiasa barani Afrika. Ninalojiuliza kwa hiyo Trump anaona ni sawa kwa nchi ya kidemokrasia kiongozi anayetoa kauli za kisiasa kukamatwa na kushtakiwa??

Au anasema hivi kwasababu wanaosemwa ni wazungu wenzake??
Ingekuwa kauli anazotoa Malema zililenga kuiondoa ANC madarakani mrengo wa Trump ungebadilika ghafla.
 
Malema amewah mtukana sana Elon,

Kilichotokea ni retaliation ya Elon kwa Malema at high level ...

Yes Malema ni Mwanaharakati uchwara kwenye siasa za SA kama alivyo yule jamaa etu hapa..

Malema hana vision ya SA ikiwa na Wazungu, yeye anachotaka ni madaraka at just "any cost"

Ramaphosa knows the story, huwez dinda kwa watu wanao run 60% ya Uchumi wako... SA whites..
Wapo 4% tu ya total population, sio wageni, wengi wamezaliwa hapo ...

Malema ni kwel anachochea mauaji ya watu weupe wenye mashamba SA, The Afrikaans...

Kwamba akamatwe au asikamatwe ni siasa mpya.. lakini yes, kufanya vile sio sawa..
Ni kweli picha zipo za kubumba pia lakini siasa na kuhamasisha mauaji ya watu sio sawa....
 
Moja ya ziara zilizotikisa vyombo vya habari week hii ni hii ya Rais wa Afrika Kusini kuitembelea Marekani.

Kama kawaida ya Trump alimkalisha chini Ramaphosa Oval office. Lakini safari hii Ramaphosa hakufanya mistakes za Zelensky alikuwa humble and composed. Hili likamfanya Trump naye azungumze kiungwana- Japo wengi watafsiri kivingine.

Kilichonistaajabisha sio Trump kuwa na taarifa za uongo kuhusu Afrikaners deaths in South Africa(ambazo nyingi nadhani atakuwa kalishwa na Elon) hapana, ni videos alizocheza na kumuuliza Ramaphosa kwanini hawamkamati Malema kwa kauli za kisiasa anazozitoa kwenye kampeni za EFF.

Malema ni whistleblower kama ilivyo kwa viongozi kibao wa kisiasa barani Afrika. Ninalojiuliza kwa hiyo Trump anaona ni sawa kwa nchi ya kidemokrasia kiongozi anayetoa kauli za kisiasa kukamatwa na kushtakiwa??

Au anasema hivi kwasababu wanaosemwa ni wazungu wenzake??
Ingekuwa kauli anazotoa Malema zililenga kuiondoa ANC madarakani mrengo wa Trump ungebadilika ghafla.
Malema amewah mtukana sana Elon,

Kilichotokea ni retaliation ya Elon kwa Malema at high level ...

Yes Malema ni Mwanaharakati uchwara kwenye siasa za SA kama alivyo yule jamaa etu hapa..

Malema hana vision ya SA ikiwa na Wazungu, yeye anachotaka ni madaraka at just "any cost"

Ramaphosa knows the story, huwez dinda kwa watu wanao run 60% ya Uchumi wako... SA whites..
Wapo 4% tu ya total population, sio wageni, wengi wamezaliwa hapo ...

Malema ni kwel anachochea mauaji ya watu weupe wenye mashamba SA, The Afrikaans...

Kwamba akamatwe au asikamatwe ni siasa mpya.. lakini yes, kufanya vile sio sawa..
Ni kweli picha zipo za kubumba pia lakini siasa na kuhamasisha mauaji ya watu sio sawa....

Historia ya Afrika Kusini ni ngumu Sana, fukuto kali la madhara yatokanayo na Utawala wa Ubaguzi wa rangi (Apartheid) kwenye Taifa hilo bado lipo juu Sana. Fukuto hilo Kamwe halitaweza kukoma hadi Watu wote kabisa SA waliopo hai Sasa hivi wafutike pamoja na vizazi vyao hata vitatu vijavyo. Labda itakapofika Mwaka 2,200 huko ndipo fukuto hili la Ubaguzi wa rangi kwenye nchi hiyo litakuwa limeanza kupoa.
 
Ramaphosa sio humble ni mnafki wa kutupwa wewee unasema humble hujui ya kuwa delegation yake alibeba wazungu? Akiwemo waziri wa kilimo, wacheza golf maarufu wa kizungu na kitabu cha golf sijui kg ngapi ili kumuwin Trump ? Ana haki ya kuuliza sababu huwezi kusimama jukwaani na watu utitiri wanakusikiliza ukaanza kuhamasisha/kujiimbisha eti kill the boar. Na asingepiga simu kwenda kumuona Trump na kujieleza/kujiliza kuhusu misaada lingemkuta jambo sababu USA walichofanya ni kama kurusha jiwe ktk mzinga wa nyuki kwa kutumia neno genocide ya wazungu.
 
Kuwa na delegation ya wazungu ndiyo kuna mfanya asiwe humble? Sijaelewa uhusiano wake.

Nakiri kusema naheshimu mtazamo wako lakini sijaelewa uhusiano wa kuwa na delegation ya wazungu wa kiafrika na humbleness.

Kwa hiyo viongozi wa kisiasa wanaotoa matamko kukamatwa ni sawa!! Binafsi naona kuna double standards hapa.
 
Malema amewah mtukana sana Elon,

Kilichotokea ni retaliation ya Elon kwa Malema at high level ...

Yes Malema ni Mwanaharakati uchwara kwenye siasa za SA kama alivyo yule jamaa etu hapa..

Malema hana vision ya SA ikiwa na Wazungu, yeye anachotaka ni madaraka at just "any cost"

Ramaphosa knows the story, huwez dinda kwa watu wanao run 60% ya Uchumi wako... SA whites..
Wapo 4% tu ya total population, sio wageni, wengi wamezaliwa hapo ...

Malema ni kwel anachochea mauaji ya watu weupe wenye mashamba SA, The Afrikaans...

Kwamba akamatwe au asikamatwe ni siasa mpya.. lakini yes, kufanya vile sio sawa..
Ni kweli picha zipo za kubumba pia lakini siasa na kuhamasisha mauaji ya watu sio sawa....
Ikumbukwe makaburu hawajaanza kuwa na fear Leo.

Mandela alipoingia madarakani waliondoka wengi saana wakafabricate stories wengi wakatimulia Australia na NZ.

Akaja Mbeki stor ikawa ileile.

Akaingia Kgalema stori ikawa ileile.

Na waliofuatia...
 
Kama huwezi kuona uhusiano wa nilichoandika na mada yako basi sawa nakubaliana na mtazamo wako mkuu
 
Malema amewah mtukana sana Elon,

Kilichotokea ni retaliation ya Elon kwa Malema at high level ...

Yes Malema ni Mwanaharakati uchwara kwenye siasa za SA kama alivyo yule jamaa etu hapa..

Malema hana vision ya SA ikiwa na Wazungu, yeye anachotaka ni madaraka at just "any cost"

Ramaphosa knows the story, huwez dinda kwa watu wanao run 60% ya Uchumi wako... SA whites..
Wapo 4% tu ya total population, sio wageni, wengi wamezaliwa hapo ...

Malema ni kwel anachochea mauaji ya watu weupe wenye mashamba SA, The Afrikaans...

Kwamba akamatwe au asikamatwe ni siasa mpya.. lakini yes, kufanya vile sio sawa..
Ni kweli picha zipo za kubumba pia lakini siasa na kuhamasisha mauaji ya watu sio sawa....
Ukweli Tramp kaingizwa chaka !!

pamoja na kuwepo kwa maneno ya kisiasa kuusu Weupe lkn akuna mauaji yoyote ya WAZUNGU apo Afrika kusini au ata kufukuzwa tu akujatokea!!!!

WAZUNGU wapo salama !!!

tatizo Tramp ni M'baguzi wa langi kaumia sana kusikia kumbe pia Weupe awatakiwi Afrika kusini !!!

 Nandio Parapanda mpya kuwatimua WAZUNGU Afrika yote sio Afrika kusini tu !!

awajamaa ndio wanafanya Afrika idumae kiuchumi miaka kwa miaka.. kwakung,ang,ania Rasilimali zetu..
 
Ikumbukwe makaburu hawajaanza kuwa na fear Leo.

Mandela alipoingia madarakani waliondoka wengi saana wakafabricate stories wengi wakatimulia Australia na NZ.

Akaja Mbeki stor ikawa ileile.

Akaingia Kgalema stori ikawa ileile.

Na waliofuatia...
Lakini wazungu SA wana control narrative..
They have something to show...
Wali set classical example Zim... Kukawa hakuna hata mkate Super market..

60% ya Uchumi inamilikiwa na hao whites.... One of the best control mechanism

Sidhani kama kuna mtu timamu atakubali waondoke..

Hao Black hapo South hakuna cha maana wanaweza fanya kwenye hayo mashamba, hakuna...

Provided ANC wapo, hakuna wa kuwaondoa Afrikaans SA
 
Ukweli Tramp kaingizwa chaka !!

pamoja na kuwepo kwa maneno ya kisiasa kuusu Weupe lkn akuna mauaji yoyote ya WAZUNGU apo Afrika kusini au ata kufukuzwa tu akujatokea!!!!

WAZUNGU wapo salama !!!

tatizo Tramp ni M'baguzi wa langi kaumia sana kusikia kumbe pia Weupe awatakiwi Afrika kusini !!!

 Nandio Parapanda mpya kuwatimua WAZUNGU Afrika yote sio Afrika kusini tu !!

awajamaa ndio wanafanya Afrika idumae kiuchumi miaka kwa miaka.. kwakung,ang,ania Rasilimali zetu..
1. Kwa hiyo Afrika Kusini Inadumaa kwa sababu ya Wazungu?

2. Unajua hao Wazungu wa Afrika Kusini wanachangia uchumi kwa kiasi gani?
 
Lakini wazungu SA wana control narrative..
They have something to show...
Wali set classical example Zim... Kukawa hakuna hata mkate Super market..

60% ya Uchumi inamilikiwa na hao whites.... One of the best control mechanism

Sidhani kama kuna mtu timamu atakubali waondoke..

Hao Black hapo South hakuna cha maana wanaweza fanya kwenye hayo mashamba, hakuna...

Provided ANC wapo, hakuna wa kuwaondoa Afrikaans SA
Huu ni ukweli Mchungu ngozi Nyeusi tunamatatizo sana Zimbabwe waliacha mashamba wazungu kiko wapi mfano hai
 
Back
Top Bottom