PICHA: Rais Wa Afrika Kusini Akiwa na Binti Yake Ziara ya Kikazi Italy

PICHA: Rais Wa Afrika Kusini Akiwa na Binti Yake Ziara ya Kikazi Italy

Ndugu zangu Watanzania,View attachment 3700500

Hiyo ni Picha Ya Rais wa Afrika Kusini Akiwa na Binti yake katika Ziara yake ya kikazi Nchini Italy Ambako ameweza kuambatana naye .Na siyo Mara ya kwanza wala ya pili bali amekuwa akifanya hivyo katika ziara nyingi tu kuambatana na Mwanaye ama Binti yake huyo Kipenzi.

Ikumbukwe Huyo Mtoto Hakuchagua Kuzaliwa Familia ya Ramaphosa na wala hakupanga Baba yake awe Rais . Lakini pia Urais Wa Baba yake haumuondolei haki ya kupata Nafasi ya kuwa karibu na Baba yake ama kusafiri naye ama kuwa naye karibu

Baba yake kuwa Rais haimtengi na Baba yake . Baba yake pia ambaye ni Rais anayo haki ya kusafiri na Binti yake na Familia yake na hata kuwatambulisha kwa viongozi wenzake huko aendako bila kuomba kibali kwa yeyote yule.

Sasa ingekuwa hapa Nchini ndio amefanya Rais wetu Mpendwa ungeona Wanaharakati Uchwara waliojaa njaaa tupu namna ambavyo wangeanza kuongea na kuropoka ropoka Hovyo hovyo kama walevi wa gongo .

Ungeona namna ambavyo wangeanza kuzusha uongo na ufitini na kila aina ya upashikuna na ushakunoko usio na kichwa wala Miguu. Ili tu kutaka kumchafua Rais wetu Mpendwa kana kwamba anakuwa amevunja sheria ama katiba ya Nchi.

Kinachowasumbua Wanaharakati Uchwara ni Wivu, Chuki Binafsi ,roho mbaya ,njaa na kutumika na kutumiwa vibaya bila kufikiri wala kujiuliza swali lolote lile . Wao ni kukurupuka tu kama kuku .

Kwa wivu wao wanaendelea kubakia maskini wa kutupwa wasio na mbele wala nyuma . Kwa sababu badala ya kujibidisha kufanya kazi wao wanakalia kutwa nzima kupiga umbeya tu mtaa kwa mtaa na kijiwe kwa kijiwe halafu mwisho wa siku wakiona mtu anapata maendeleo ama kufanikiwa wao wanaanza kumpiga Majungu na kumuonea wivu na kumuombea dua mbaya ili ashuke na awe kama wao .

Ndio Maana hawabarikiwi zaidi ya kujaa laana, nukusi na Mikosi kila Uchao pamoja na mabalaa ya kila aina .Vifua Vyao Vimejaa Wivu na Maswali ya Kwanini. Wamejaa Chuki Binafsi na Roho mbaya tu. Shetani ameteka na kutawala Mioyo yao .

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
wanaharakati wanachuki ndio maana hawafanikiwi.
 
huyu anahusika na utekaji?
huyu binti anafira watekaji?
huyu binti ana shida ya akili?
huyu binti ni fisadi?
huyu binti anaua?
huyu binti aliwahi kuwakilisha delegate ya nchi yake peke yake kuonana na rais wa Uganda?

we jamaa ungekufa tu
una ushahidi wa haya?
 
Rais kama anafanya kazi nzuri kwa wananchi wake hakuna ubaya kufanya ziara ulaya akiambatana na watoto wake.Tatizo kuna rais ambaye utendaji kazi wake ni wa hovyo kama huyu wa kwetu.Ikitokea kasariri na wanu wake lazima tupinge kwa kuwa hajafanya mazuri zaidi ya kuwateka wanaomkosoa
Issue sio kwenda ziara huko ishu ni kutumia fedha ya umma kwenye masuala la kinchi kwa mtoto ambaye hayupo kwenye serikali
 
Binti huyu pia ana tuhuma za kuteka na kuendesha magenge kule kwao? tuanzie hapo kwanza ili twende sawa...
 
Waliokuwepo wenzako humu kipindi Cha magufuli.walipiga kelele Sasa hivi na wao wamepotea.
Vipi upo Kwa mama tu au hata mwingine akiingia utaendelea kuwa chawa wake.
kwani dr slaa na lipumba bado wanapiga kelele?
 
Back
Top Bottom