PICHA: Rais Wa Afrika Kusini Akiwa na Binti Yake Ziara ya Kikazi Italy

Ndugu zangu Watanzania,View attachment 3700500

Hiyo ni Picha Ya Rais wa Afrika Kusini Akiwa na Binti yake katika Ziara yake ya kikazi Nchini Italy Ambako ameweza kuambatana naye .Na siyo Mara ya kwanza wala ya pili bali amekuwa akifanya hivyo katika ziara nyingi tu kuambatana na Mwanaye ama Binti yake huyo Kipenzi.

Ikumbukwe Huyo Mtoto Hakuchagua Kuzaliwa Familia ya Ramaphosa na wala hakupanga Baba yake awe Rais . Lakini pia Urais Wa Baba yake haumuondolei haki ya kupata Nafasi ya kuwa karibu na Baba yake ama kusafiri naye ama kuw naye karibu

Baba yake kuwa Rais haimtengi na Baba yake . Baba yake pia ambaye ni Rais anayo haki ya kusafiri na Binti yake na Familia yake na hata kuwatambulisha kwa viongozi wenzake huko aendako bila kuomba kibali kwa yeyote yule.

Sasa ingekuwa hapa Nchini ndio amefanya Rais wetu Mpendwa ungeona Wanaharakati Uchwara waliojaa njaaa tupu namna ambavyo wangeanza kuongea na kuropoka ropoka Hovyo hovyo kama walevi wa gongo .

Ungeona namna ambavyo wangeanza kuzusha uongo na ufitini na kila aina ya upashikuna na ushakunoko usio na kichwa wala Miguu. Ili tu kutaka kumchafua Rais wetu Mpendwa kana kwamba anakuwa amevunja sheria ama katiba ya Nchi.

Kinachowasumbua Wanaharakati Uchwara ni Wivu Chuki Binafsi roho mbaya njaa na kutumika na kutumiwa vibaya bila kufikiri wala kujiuliza swali lolote lile . Wao ni kukurupuka tu kama kuku .

Kwa wivu wao wanaendelea kubakia maskini wa kutupwa wasio na mbele wala nyuma . Kwa sababu badala ya kujibidisha kufanya kazi wao wanakalia kutwa nzima kupiga umbeya tu mtaa kwa mtaa na kijiwe kwa kijiwe halafu mwisho wa siku wakiona mtu anapata maendeleo ama kufanikiwa wao wanaanza kumpiga Majungu na kumuonea wivu na kumuombea dua mbaya ili ashuke na awe kama wao .

Ndio Maana hawabarikiwi zaidi ya kukaa laana nukusi na Mikosi kila Uchao pamoja na mabalaa ya kila aina .

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kimachowasumbua Chadema ni wivu na roho mbaya tu.
 
Kwa hiyo kama Raisi Ramaphosa anafanya upumbavu inahalalisha raisi wetu kufanya upumbavu? Aliekuambia Ramaphosa ndio standard ya namna raisi anavyopasa kuwa ni nani? Huyu Ramaphosa mwenye kesi ya kutakatisha fedha na kuzificha kwenye kochi ndio unamlinganisha na raisi wa Tanzania? Hauko sawa wewe
Wivu tu ndio unaokusumbua. Umaskini unakutesa.wivu wako hauwezi kuondoa umaskini wa familia na ukoo wako
 
Ndugu zangu Watanzania,View attachment 3700500

Hiyo ni Picha Ya Rais wa Afrika Kusini Akiwa na Binti yake katika Ziara yake ya kikazi Nchini Italy Ambako ameweza kuambatana naye .Na siyo Mara ya kwanza wala ya pili bali amekuwa akifanya hivyo katika ziara nyingi tu kuambatana na Mwanaye ama Binti yake huyo Kipenzi.

Ikumbukwe Huyo Mtoto Hakuchagua Kuzaliwa Familia ya Ramaphosa na wala hakupanga Baba yake awe Rais . Lakini pia Urais Wa Baba yake haumuondolei haki ya kupata Nafasi ya kuwa karibu na Baba yake ama kusafiri naye ama kuw naye karibu

Baba yake kuwa Rais haimtengi na Baba yake . Baba yake pia ambaye ni Rais anayo haki ya kusafiri na Binti yake na Familia yake na hata kuwatambulisha kwa viongozi wenzake huko aendako bila kuomba kibali kwa yeyote yule.

Sasa ingekuwa hapa Nchini ndio amefanya Rais wetu Mpendwa ungeona Wanaharakati Uchwara waliojaa njaaa tupu namna ambavyo wangeanza kuongea na kuropoka ropoka Hovyo hovyo kama walevi wa gongo .

Ungeona namna ambavyo wangeanza kuzusha uongo na ufitini na kila aina ya upashikuna na ushakunoko usio na kichwa wala Miguu. Ili tu kutaka kumchafua Rais wetu Mpendwa kana kwamba anakuwa amevunja sheria ama katiba ya Nchi.

Kinachowasumbua Wanaharakati Uchwara ni Wivu Chuki Binafsi roho mbaya njaa na kutumika na kutumiwa vibaya bila kufikiri wala kujiuliza swali lolote lile . Wao ni kukurupuka tu kama kuku .

Kwa wivu wao wanaendelea kubakia maskini wa kutupwa wasio na mbele wala nyuma . Kwa sababu badala ya kujibidisha kufanya kazi wao wanakalia kutwa nzima kupiga umbeya tu mtaa kwa mtaa na kijiwe kwa kijiwe halafu mwisho wa siku wakiona mtu anapata maendeleo ama kufanikiwa wao wanaanza kumpiga Majungu na kumuonea wivu na kumuombea dua mbaya ili ashuke na awe kama wao .

Ndio Maana hawabarikiwi zaidi ya kukaa laana nukusi na Mikosi kila Uchao pamoja na mabalaa ya kila aina .

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Kwa nani kakuambia Abdul hasafiri 😳😂😂😂 miaka michache kabla hajauwa watu alienda naye USA. Africa ya kusini ni democracy sio kama mfumo takataka za mavi wa Tanzania
 
Rais kama anafanya kazi nzuri kwa wananchi wake hakuna ubaya kufanya ziara ulaya akiambatana na watoto wake.Tatizo kuna rais ambaye utendaji kazi wake ni wa hovyo kama huyu wa kwetu.Ikitokea kasariri na wanu wake lazima tupinge kwa kuwa hajafanya mazuri zaidi ya kuwateka wanaomkosoa
 
1793244470364.png

NIni mbaya na wewe 😇
 
Huyo binti akisafiri anatumia fedha za UMMA au binafsi alafu ulivyo zwazwa hata Africa kusini haujui ,nan kakwambia Africa kusini hawapigi kelele ,,
 
Ndugu zangu Watanzania,View attachment 3700500

Hiyo ni Picha Ya Rais wa Afrika Kusini Akiwa na Binti yake katika Ziara yake ya kikazi Nchini Italy Ambako ameweza kuambatana naye .Na siyo Mara ya kwanza wala ya pili bali amekuwa akifanya hivyo katika ziara nyingi tu kuambatana na Mwanaye ama Binti yake huyo Kipenzi.

Ikumbukwe Huyo Mtoto Hakuchagua Kuzaliwa Familia ya Ramaphosa na wala hakupanga Baba yake awe Rais . Lakini pia Urais Wa Baba yake haumuondolei haki ya kupata Nafasi ya kuwa karibu na Baba yake ama kusafiri naye ama kuw naye karibu

Baba yake kuwa Rais haimtengi na Baba yake . Baba yake pia ambaye ni Rais anayo haki ya kusafiri na Binti yake na Familia yake na hata kuwatambulisha kwa viongozi wenzake huko aendako bila kuomba kibali kwa yeyote yule.

Sasa ingekuwa hapa Nchini ndio amefanya Rais wetu Mpendwa ungeona Wanaharakati Uchwara waliojaa njaaa tupu namna ambavyo wangeanza kuongea na kuropoka ropoka Hovyo hovyo kama walevi wa gongo .

Ungeona namna ambavyo wangeanza kuzusha uongo na ufitini na kila aina ya upashikuna na ushakunoko usio na kichwa wala Miguu. Ili tu kutaka kumchafua Rais wetu Mpendwa kana kwamba anakuwa amevunja sheria ama katiba ya Nchi.

Kinachowasumbua Wanaharakati Uchwara ni Wivu Chuki Binafsi roho mbaya njaa na kutumika na kutumiwa vibaya bila kufikiri wala kujiuliza swali lolote lile . Wao ni kukurupuka tu kama kuku .

Kwa wivu wao wanaendelea kubakia maskini wa kutupwa wasio na mbele wala nyuma . Kwa sababu badala ya kujibidisha kufanya kazi wao wanakalia kutwa nzima kupiga umbeya tu mtaa kwa mtaa na kijiwe kwa kijiwe halafu mwisho wa siku wakiona mtu anapata maendeleo ama kufanikiwa wao wanaanza kumpiga Majungu na kumuonea wivu na kumuombea dua mbaya ili ashuke na awe kama wao .

Ndio Maana hawabarikiwi zaidi ya kukaa laana nukusi na Mikosi kila Uchao pamoja na mabalaa ya kila aina .

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
KUNDU LA MAMA YAKO LINATOA UTOKO
 
Attachments

  • Screenshot_20261007-205930.png
    Screenshot_20261007-205930.png
    155.5 KB · Views: 4
Mchangamuo WA bilion 750 za elinino wazee ukoje, wangetunulila hata mapamga boi Kila nyumba Kwa wakazi WA dar ........... Na mitumbwi Kwa sisi WA mabondeni.

Haya ndo mawazo yetu watanzania
Kwasababu hatuwezi kujadili ufisadi unaoendelea nchini
Utekaji unaoendelea
Miundombinu ,mibovu kama Barabara ambazo Magu aliziacha zikiwa nzuri
Huduma mbovu za hospitali zetu za umma
Mahakama zinazofanya kazi Kwa maelekezo au vitisho vya wanasiasa
Elimu Duni kwenye shule zetu za umma kiasi kwamba mwashamba na tratrah watoto wao hawawezi kuwapeleka huk
 
Ndugu zangu Watanzania,View attachment 3700500

Hiyo ni Picha Ya Rais wa Afrika Kusini Akiwa na Binti yake katika Ziara yake ya kikazi Nchini Italy Ambako ameweza kuambatana naye .Na siyo Mara ya kwanza wala ya pili bali amekuwa akifanya hivyo katika ziara nyingi tu kuambatana na Mwanaye ama Binti yake huyo Kipenzi.

Ikumbukwe Huyo Mtoto Hakuchagua Kuzaliwa Familia ya Ramaphosa na wala hakupanga Baba yake awe Rais . Lakini pia Urais Wa Baba yake haumuondolei haki ya kupata Nafasi ya kuwa karibu na Baba yake ama kusafiri naye ama kuw naye karibu

Baba yake kuwa Rais haimtengi na Baba yake . Baba yake pia ambaye ni Rais anayo haki ya kusafiri na Binti yake na Familia yake na hata kuwatambulisha kwa viongozi wenzake huko aendako bila kuomba kibali kwa yeyote yule.

Sasa ingekuwa hapa Nchini ndio amefanya Rais wetu Mpendwa ungeona Wanaharakati Uchwara waliojaa njaaa tupu namna ambavyo wangeanza kuongea na kuropoka ropoka Hovyo hovyo kama walevi wa gongo .

Ungeona namna ambavyo wangeanza kuzusha uongo na ufitini na kila aina ya upashikuna na ushakunoko usio na kichwa wala Miguu. Ili tu kutaka kumchafua Rais wetu Mpendwa kana kwamba anakuwa amevunja sheria ama katiba ya Nchi.

Kinachowasumbua Wanaharakati Uchwara ni Wivu Chuki Binafsi roho mbaya njaa na kutumika na kutumiwa vibaya bila kufikiri wala kujiuliza swali lolote lile . Wao ni kukurupuka tu kama kuku .

Kwa wivu wao wanaendelea kubakia maskini wa kutupwa wasio na mbele wala nyuma . Kwa sababu badala ya kujibidisha kufanya kazi wao wanakalia kutwa nzima kupiga umbeya tu mtaa kwa mtaa na kijiwe kwa kijiwe halafu mwisho wa siku wakiona mtu anapata maendeleo ama kufanikiwa wao wanaanza kumpiga Majungu na kumuonea wivu na kumuombea dua mbaya ili ashuke na awe kama wao .

Ndio Maana hawabarikiwi zaidi ya kukaa laana nukusi na Mikosi kila Uchao pamoja na mabalaa ya kila aina .

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Sasa yeye kashampa uwaziri binti na mkwewe
 
Rais wa Malawi akinya hadharani basi na rais wako inakuwa halali?
Tumia akili!
 
Back
Top Bottom