Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Kwa hiyo NAWE unamtetea, dah kazi ipo Kwa kweliWhy not. Unamuhukumu mtu kwa sura,?
Ni kheri ombaomba, anakuja na akili TIMAMU huyu mwamba ukimcheki vizuri alikua mtu wa matukio, hata kuwaia wazazi wake haikua bahati mbaya mkuu, ebu mtizame vizuriWanatuma hela omba omba atakuwa huyo. Akili zingine bwana
Jiandae uende mahakamani kutoa ushahidiNi kheri ombaomba, anakuja na akili TIMAMU huyu mwamba ukimcheki vizuri alikua mtu wa matukio, hata kuwaia wazazi wake haikua bahati mbaya mkuu, ebu mtizame vizuri
Mjomba nimemiss muhogoJiandae uende mahakamani kutoa ushahidi
Poapoa kaka NAMI takutaja wewe kama shahidi NAMBA mbiliJiandae uende mahakamani kutoa ushahidi
Njoo na facts badala ya hisia.Ni kheri ombaomba, anakuja na akili TIMAMU huyu mwamba ukimcheki vizuri alikua mtu wa matukio, hata kuwaia wazazi wake haikua bahati mbaya mkuu, ebu mtizame vizuri
kumbe mashog mnatumiaga pesa na mnakuja?😁Ilitakiwa hiyo kijana awaje ndio wewe uamini kua ni kweli alituma hela?
Ni vizuri mkitunza kumbu kumbu,😅, nilijjua ni mimi najua tukumbe mashog mnatumiaga pesa na mnakuja?😁
Muhogo wa shahidi auMjomba nimemiss muhogo
😂😂😂 mjomba mi naogopa 😭😭Muhogo wa shahidi au