Wabongo bwana, eti huyu alikua anamtumia hela baba yake amjengee NYUMBA, akiwa afrika kusini

Wabongo bwana, eti huyu alikua anamtumia hela baba yake amjengee NYUMBA, akiwa afrika kusini

Ndugu zake walisema alikua anaishi SA na mjomba wake, wakashindwana akamrudisha, akarudi na gia ya kupewa nyumba ya urithi eti babu yake alimuachia, sasa hayo ya kutuma pesa sijui yalitokea wapi yarabi
 
Kwa hiyo Chogo ndo unadeka kwa mjomba ako, ukapitiwe upewe muhogo wa kuchoma sijui wa kukaanga, hehehehe
😂😂😂😂🥰🥰🥰🥰 mhhh we acha tu apa nishalowaaah 😭😭😭😂😂 tena usiombe hogo litiwe chachandu 😭😭 unaweza ukaacha ndala
 
Sababu zipi zinakufanya usimuamini?
Basi umeshinf
Mkuu ili umiliki pesa inakupasa uwe na muonekano Gani?
Sija zungumza muonekano ila Kwa afrika kusini invojulikana ukisha MUONA mtu wa hivi lazima awe ni msumbuaji kaka kweli huwezi mjaji mtu Kwa muonekano ila condition ya kumuua mtu kisa nyumba ni swala fikirishi hivi wewe unaweza mjua baba Ako kisa NYUMBA tuanzie hapo
 
Ndugu zake walisema alikua anaishi SA na mjomba wake, wakashindwana akamrudisha, akarudi na gia ya kupewa nyumba ya urithi eti babu yake alimuachia, sasa hayo ya kutuma pesa sijui yalitokea wapi yarabi
Tuna taifa la wajinga sana, hata hapa bado Kuna watu wanaaminisha kuwa ni kweli kijana alikua ana tuma pesa sijui tukoje tu
 
Back
Top Bottom