binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Wanajenga malaya sembuse huyo.Wanatuma hela omba omba atakuwa huyo. Akili zingine bwana
Wanajenga malaya sembuse huyo.Wanatuma hela omba omba atakuwa huyo. Akili zingine bwana
😅 miss youWanajenga malaya sembuse huyo.
Kwa hiyo NAWE unamtetea, dah kazi ipo Kwa kweli
Jenga hojaVideo imepatikana kijana wetu aloewauwa baba yake na baba yake mdogo kisa walikula hela zake za kumjengea NYUMBA alipo kua afrika kusini, huyu kijana ndio yule wa mwananyamala.
Hivi huyu niwakutuma kweli hela Kwa unavo muona
Ona sasa mi nimesema ni muuaji kisa kaenda tafuta riziki nchi nyingine mkuu? Nimezungumzia life style alikua akiishi afrika kusini ndo mana nime weka video na si picha kaka kia muelewa basiWw unamuhukumu kwa sura? I dont speak at mauaji aliyofanya but yeye kwenda kutafuta riziki nchi nyingine?
Video haija kutosha au nawe ni mvuta bangiJenga hoja
Huna hojaVideo haija kutosha au nawe ni mvuta bangi
Najua mnateteana ila umeona mwenzenu kilicho mpata mkuuHuna hoja
OkNajua mnateteana ila umeona mwenzenu kilicho mpata mkuu
Wewe unaona nini kinashindikana kumuua baba yake?Basi umeshinf
Sija zungumza muonekano ila Kwa afrika kusini invojulikana ukisha MUONA mtu wa hivi lazima awe ni msumbuaji kaka kweli huwezi mjaji mtu Kwa muonekano ila condition ya kumuua mtu kisa nyumba ni swala fikirishi hivi wewe unaweza mjua baba Ako kisa NYUMBA tuanzie hapo
Ndio mana nikasema Kwa huo muonekano asinge shindwa au hujaelewa kipiWewe unaona nini kinashindikana kumuua baba yake?
Miss you more totoo 🥰😅 miss you
Asante bi mzuri 😍Miss you more totoo 🥰
Unajiandaa na jumapili au umesali jumamosi, au wa ijumaa au we ni atheist? 😅
Haujatupa uzi wa kutuchangamsha na weekend.Asante bi mzuri 😍
Ngoja nikuite sehemu😅😅Haujatupa uzi wa kutuchangamsha na weekend.