Tanzania yaongoza kuwa na amani Africa Mashariki

Tanzania yaongoza kuwa na amani Africa Mashariki

mshale21

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
2,517
Reaction score
6,074
Katika ripoti mpya ya Global Peace Index (GPI) 2025, Tanzania imetajwa kuwa nchi yenye amani zaidi Afrika Mashariki, ikishika nafasi ya 73 kati ya nchi 163 duniani.

Ingawa Tanzania imeporomoka kwa nafasi 8 ikilinganishwa na mwaka uliopita, bado inaongoza kanda hii, huku majirani wengine wakipanda au kushuka katika viwango vya amani.

🔹 Viwango vya Amani Afrika Mashariki (2025):

1. 🇹🇿 Tanzania (73)
2. 🇷🇼 Rwanda (91)
3. 🇺🇬 Uganda (113)
4. 🇰🇪 Kenya (127)
5. 🇧🇮 Burundi (133)
6. 🇨🇩 DRC (160)
7. 🇸🇸 Sudan Kusini (161)

Ripoti hii inayotolewa kila mwaka na Institute for Economics and Peace (IEP) hutathmini amani kwa kutumia vigezo 23, vikiwemo usalama wa kijamii, kiwango cha migogoro, na hali ya kijeshi.

Licha ya changamoto mpya zinazojitokeza, Tanzania inaendelea kuwa mfano wa amani na utulivu wa kisiasa katika ukanda huu. Hata hivyo, wataalamu wanashauri kuimarishwa kwa taasisi za kitaifa ili kukabiliana na mabadiliko ya mazingira ya usalama kikanda.

🌍 GPI 2025 pia imebaini kuwa amani duniani imeshuka kwa mara ya 13 ndani ya miaka 17, kutokana na migogoro ya ndani na shinikizo za kijiofisia.
 
Na itaendelea kuporomoka zaidi kwa matendo yanayofanywa kwa Sasa.

Kwa mujibu wa World happiness report 2025, Tanzania kwa Sasa inashika nafasi ya 136 kati ya nchi 147 zilizofanyiwa utafiti, kwa watu wake kuwa na FURAHA. Kwenye Afrika mashariki kwa kipimo cha furaha, Tanzania imezidiwa na nchi ZOTE ISIPOKUWA DRC TU!
 
Katika ripoti mpya ya Global Peace Index (GPI) 2025, Tanzania imetajwa kuwa nchi yenye amani zaidi Afrika Mashariki, ikishika nafasi ya 73 kati ya nchi 163 duniani.

Ingawa Tanzania imeporomoka kwa nafasi 8 ikilinganishwa na mwaka uliopita, bado inaongoza kanda hii, huku majirani wengine wakipanda au kushuka katika viwango vya amani.

🔹 Viwango vya Amani Afrika Mashariki (2025):

1. 🇹🇿 Tanzania (73)
2. 🇷🇼 Rwanda (91)
3. 🇺🇬 Uganda (113)
4. 🇰🇪 Kenya (127)
5. 🇧🇮 Burundi (133)
6. 🇨🇩 DRC (160)
7. 🇸🇸 Sudan Kusini (161)

Ripoti hii inayotolewa kila mwaka na Institute for Economics and Peace (IEP) hutathmini amani kwa kutumia vigezo 23, vikiwemo usalama wa kijamii, kiwango cha migogoro, na hali ya kijeshi.

Licha ya changamoto mpya zinazojitokeza, Tanzania inaendelea kuwa mfano wa amani na utulivu wa kisiasa katika ukanda huu. Hata hivyo, wataalamu wanashauri kuimarishwa kwa taasisi za kitaifa ili kukabiliana na mabadiliko ya mazingira ya usalama kikanda.

🌍 GPI 2025 pia imebaini kuwa amani duniani imeshuka kwa mara ya 13 ndani ya miaka 17, kutokana na migogoro ya ndani na shinikizo za kijiofisia.
Tanzania hakuna Amani kwani mkoloni kaburu anaitawala Tanganyika kimabavu kwa kuwatesa kuwateka, kuwaua,kuwanyanyasa kuwabambikia kesi za uongo watanganyika, Tanzania sasa ni Nchi ya kidikteta
 
Na itaendelea kuporomoka zaidi kwa matendo yanayofanywa kwa Sasa.

Kwa mujibu wa World happiness report 2025, Tanzania kwa Sasa inashika nafasi ya 131 kati ya nchi 143 zilizofanyiwa utafiti, kwa watu wake kuwa na FURAHA. Kwenye Afrika mashariki kwa kipimo cha furaha, Tanzania imezidiwa na nchi ZOTE ISIPOKUWA DRC TU!
Kuteka kuua kutesa kubambika kesi xa Uongo kupora luzuku kufunga makanisa kupiga kukamata waumini zimeiondolea Tanzania kuwa Nchi ya Amani
 
Ududu wote wanaoufanya kijani utaripuka mwaka kesho na ndo mtajua hamjui kwa sasa mnaweza kujigongesha cheers nyambaf , bichwa head
 
Yani mtoa mada unaandika iyo taarifa lakini unatetemeka!We mwenyewe hauelewi lini utatekwa
 
Back
Top Bottom