GE2025 Marais wanne tu wa Afrika wahudhuria uapisho wa Samia, huku majirani - Kenya, Uganda, DRC na Rwanda wakiupotezea

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
459
Reaction score
644
Ni marais wanne tu wa Afrika waliohudhuria hafla ya kuapishwa kwa Rais Samia, ambayo ilifanyika katika kituo cha kijeshi, Dodoma.

1762234662403.png
Marais wa nchi jirani za Kenya, Uganda, DRC na Rwanda hawakuhudhuria tukio hilo.

Waliohudhuria ni Hakainde Hichilema wa Zambia, Évariste Ndayishimiye wa Burundi, Daniel Chapo wa Msumbiji, na Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia.

Soma: Tahakiki ya hotuba ya Rais Samia, 03 Novemba 2025: Muhtsari, Mazuri, Mabaya, Mapengo, Uwongo na Ubatili

Marais waliotangulia wa Tanzania wamekuwa wakiapishwa katika viwanja vya mpira vilivyojaa watu na kufurahia kumchagua Rais wao
 
Hakuna raisi hapo
 
Zambia wameliamsha kwa rais wao kuhudhuria. Yupo kujitetea tu sasa hivi
Screenshot_20251104_074457.jpg
 
Ni marais wanne tu wa Afrika waliohudhuria hafla ya kuapishwa kwa Rais Samia, ambayo ilifanyika katika kituo cha kijeshi, Dodoma.

Marais wa nchi jirani za Kenya, Uganda, DRC na Rwanda hawakuhudhuria tukio hilo.

Waliohudhuria ni Hakainde Hichilema wa Zambia, Évariste Ndayishimiye wa Burundi, Daniel Chapo wa Msumbiji, na Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia.

Soma: Tahakiki ya hotuba ya Rais Samia, 03 Novemba 2025: Muhtsari, Mazuri, Mabaya, Mapengo, Uwongo na Ubatili

Marais waliotangulia wa Tanzania wamekuwa wakiapishwa katika viwanja vya mpira vilivyojaa watu na kufurahia kumchagua Rais wao
Nadhani Hichelema alipo anajilaumu kwanini alihudhuria? He was the only man with some sense of decence present
 
HH Wa Zambia ame bless udikteta wa maza na mauaji ya halaiki
kazi anayo!
 
Back
Top Bottom