Wakati wa sherehe za kiapo cha rais zilizofanyika jana, Padre huyu wa Kanisa Katoliki alionekana kuvaa stola ya rangi ya zambarau badala ya nyeupe au dhahabu kama inavyozoeleka kwenye matukio ya furaha.
Kwa mujibu wa utaratibu wa Kanisa, rangi ya zambarau huashiria toba, maombolezo, na...
Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema, akizungumza jana wakati wa hafla ya kuapishwa kwa Rais wa Tanzania, amesema kuwa njia pekee ya kuwalinda vijana wa kizazi cha Gen Z ni kuwapatia elimu, ujuzi, pamoja na fursa za ajira na biashara.
Aidha, amempongeza Rais kwa ushindi wake na kwa kuendelea...
Ni marais wanne tu wa Afrika waliohudhuria hafla ya kuapishwa kwa Rais Samia, ambayo ilifanyika katika kituo cha kijeshi, Dodoma.
Marais wa nchi jirani za Kenya, Uganda, DRC na Rwanda hawakuhudhuria tukio hilo.
Waliohudhuria ni Hakainde Hichilema wa Zambia, Évariste Ndayishimiye wa Burundi...
Wageni mbalimbali waliohudhuria sherehe za uapisho wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa Gwaride, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 03 Novemba, 2025
Wazungu walikuwepo kama wote
Picha hii imenivutia nitaweka kwenye Wallpaper ya Laptop yangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.