Katika hali ya utani, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema wazo lililotolewa na wachekeshaji la kucheza mchezo wa ‘upatu’ linaweza kuwa zuri endapo likibadilishwa na kutafutiwa namna bora ili kusaidia masuala ya kifedha ya nchi za Kiafrika.
Rais Samia amesema wazo hilo likichukuliwa...
Katika orodha hii tunatarajia kuorodhesha wachezaji nguli katika ukanda huu wa CECAFA. [Kenya , Uganda , Tanzania, Rwanda na Burundi] Orodha hii itazingatia mafanikio ya mchezaji katika soka, ukubwa wa ligI. Alizocheza, Timu ya taifa , miongoni mwa maswala mengine ya soka
1. MacDonald Mariga...
Kutakua na mkutano mkubwa wa kahawa barani Afrika utakaofanyika tarehe 21–22 Februari 2025 katika Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC), Dar es Salaam, Tanzania.
Mkutano huu unaongozwa na Mhe. Dr. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mkutano una lengo...
Msemaji mkuu wa kisiasa wa AFC/M23, Lawrence Kanyuka, ametangaza kwamba, wanajeshi wa Afrika Kusini waliopewa hifadhi katika kambi ya MONUSCO huko Goma, walitakiwa kuwa kwao kwa sasa, kwa sababu haoni wanachokifanya huko. Na aliongezea kuwa, muda ndo sasa, na AFC/M23 wapo tayari kuwapa njia ya...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema kuwa juhudi za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan zimeifanya Tanzania kuwa kinara barani Afrika katika uzalishaji na usambazaji wa umeme.
Akizungumza na wanahabari katika Mradi...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema kuwa juhudi za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan zimeifanya Tanzania kuwa kinara barani Afrika katika uzalishaji na usambazaji wa umeme.
Akizungumza na wanahabari katika Mradi...
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo ameshiriki Mkutano wa Mabunge ya Dunia (Interparliamentary Union) unaofanyika katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa, New York Nchini Marekani.
Mkutano huo unajadili jinsi dunia, ikiwemo Tanzania, itakavyotimiza malengo ya maendeleo endelevu (SDGs) kama kuondoa...
Kesi baina ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, DRC na Rwanda kuanza kusikilizwa leo Februari 12 na 13, 2025 katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu.
Kesi hiyo iliwasilishwa mahakamani hapo Agosti 21, 2023 dhidi ya Rwanda kwa madai ya ukiukwaji wa haki. Tuhuma za Congo dhidi ya Rwanda...
Marekani imekuwa mfadhili mkubwa wa misaada ya kifedha kwa mataifa mbalimbali barani Afrika, ikilenga sekta za afya, elimu, usalama na maendeleo ya kiuchumi. Kwa mwaka wa fedha wa 2023, nchi zifuatazo zilipokea msaada mkubwa zaidi kutoka Marekani:
1️⃣ Misri – Dola bilioni 1.5 (nafasi ya 4...
Mkurugenzi wa Huduma za Kinga kutoka Wizara ya Afya Tanzania Dkt. Ntuli Kaporogwe anatarajiwa kuipeperusha bendera ya Tanzania kwenye uchaguzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki, Kati, na Kusini (ECSA – HC).
Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika leo Februari 11, 2025 kwenye...
Kufuatia taarifa iliyotolewa rasmi leo (pia kuletwa humu JF) kuhusu kushindwa kufanyika kwa vikao vya bunge la Afrika mashariki (EALA) kwa sababu za ukata uliotokana na baadhi ya nchi wanachama kushindwa kuleta michango yake kwa wakati, nimetafakari na kuwaza kwa kina ilo kuona tija na mantiki...
10 February 2025
Arusha, Tanzania
EALA yasitisha shughuli kwa sababu ya shida ya pesa
Na Wycliffe Nyamasege
Tarehe 9 Februari 2025 saa 03:31
Bunge la Afrika Mashariki (EALA) limesitisha shughuli zake kwa nusu ya kwanza ya 2025 kutokana na tatizo kubwa la fedha.
Uamuzi huo uliofikiwa wakati...
Wageni wanapofanikiwa zaidi kuliko wazawa katika nchi nyingi za Afrika, ikiwemo Tanzania, kuna sababu nyingi za msingi zinazoeleza hali hii. Wageni mara nyingi wanauelewa mfumo wa kiuchumi, kisheria, na kiutawala kwa namna ambayo huwapa faida kubwa. Pia, kuna masuala ya kihistoria, kisera, na...
Ethiopia ndiyo mnufaika mkubwa zaidi wa USAID barani Afrika, ikipokea msaada wa dola bilioni 1.20. Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inafuatilia kwa karibu kiasi hicho cha dola bilioni 1.20.
Kuangaziwa kwa misaada ya nje ya Marekani kumeongezeka katika miaka ya hivi karibuni, huku nchi hiyo...
Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) limetangaza kuahirisha vikao vyake kwa muda usiojulikana kutokana na changamoto za kifedha
Hali hiyo ya kifedha imesababishwa na baadhi ya nchi wanachama kushindwa kulipa michango yao ya deni hali iliyoathiri vikao vikao vya bunge vilivyokuwa...
Hatimae miongoni mwa true freedom fighters ameitwa kupumzika usiku wa kuamkia tarehe 09/02/2025 akiwa na umri wa miaka 95.
Tusalimie Nyerere, Mugabe, Mandela na wengine, waambie Waongee na Kaguta Museveni aachie Vijana
Hili hapa tangazo la Tanzia
=
Tangazo la Kifo cha Rais wa Kwanza wa...
afrika
amefariki
dunia
kifo cha sam nujoma
kusini
kwanza
na rais
namibia
rais
rais wa kwanza
rais wa kwanza wa namibia
sam nujoma
shujaa
tanzia
uhuru
ukombozi
Afrika ni bara lenye utajiri mkubwa wa tamaduni, historia, na utofauti wa makabila. Ni sehemu ambapo lugha, rangi za ngozi, na muonekano wa watu hutofautiana kulingana na maeneo na historia zao. Watu wengi hufikiria Waafrika kama kundi moja lenye sura na utamaduni unaofanana, lakini ukweli ni...
Mkakati wa kuhakikisha Afrika inakuwa tegemezi ni halisi kutokana na mipango mahususi iliyoandaliwa kwa muda mrefu na waliofukuzwa kama wanyonyaji au wakoloni. Kauli iliyotolewa na Rais Donald Trump inaonekana kubeba ukweli wa kutengenezwa kw sababu utegemezi wa nchi nyingi za Afrika na uvivu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.