Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameongoza Mkutano wa Dharura wa Kamati ya Mawaziri wa Utatu wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) *ulio*fanyika kwa njia ya mtandao kujadili hali ya usalama...
Kigali, Rwanda
RUFANI KESI YA BOMBA LA MAFUTA -EACOP ,YAFIKA MBELE YA KORTI YA AFRIKA YA MASHARIKI
https://m.youtube.com/watch?v=er6WZpHyj1I
Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki Yasikiliza Rufaa ya Asasi za Kiraia Kupinga Kufutwa kwa Kesi Dhidi ya Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika...
Baada ya baadhi ya nchi za Ulaya na Marekani kuiwekea Rwanda vikwazo pia kuwekea viongozi wa Rwanda vikwazo kwa kujihusisha na migogoro ndani ya DRC.
Sasa ni dhahiri na muda muafaka kwa jumuiya za Kiafrika na kanda zake kukaa na kupiga kura hatimae kuiwekea Rwanda vikwazo kama ilivyofanya...
afrikaafrika mashariki
jumuiya
jumuiya ya afrika mashariki
kidiplomasia
mashariki
maziwa
maziwa makuu
muafaka
mustakabali
mzima
rwanda
uchumi
vikwazo
wakati
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mara ya kwanza imepokea Faru weupe 18 kutoka nchini Afrika Kusini kwa lengo la kuimarisha shughuli za uhifadhi nchini.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi,Dkt.Pindi Chana (Mb) ameyasema hayo leo katika...
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Exaud Kigahe (wa pili kushoto) akikata utepe kuashiria kuzindua programu ya kuwasaidia wafanyabiashara wadogo na wa kati kushiriki fursa zilizopo katika Soko Huru la Afrika (AfCFTA) inayotekelezwa na CRDB Bank Foundation pamoja na Shirika la Umoja wa Mataifa...
Mimi: Hebu tupige stori kidogo kuhusu m23 congo
Chatgpt:
M23 (March 23 Movement) ni kundi la waasi lililoko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Lilianzishwa mnamo 2012 na wanajeshi wa zamani wa kundi la CNDP (National Congress for the Defense of the People) waliokuwa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema vyama ya ukombozi kusini mwa Afrika viendeshwe Kwa kuzingatia mahitaji ya wakati huu bila kusahahu shabaha ya kuanzishwa kwake.
Soma Pia: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar...
Yani kumrekodi mwanajeshi akisachiwa na askari polisi na kupost ndiyo kuonyesha kuwa nyinyi si lolote? Nadhani wanamaanisha hivyo.
Kumrekodi askari akipigwa sachi kiasi kile kisha kutuma kwenye mitandao ni moja ya uchokozi kati ya nchi na nchi.
Poleni mnaoona ni jambo la kawaida kurekodiwa...
Tunaweza kuwa ni mipango ya Mungu ila haitoshi kuondoa imani kuwa huu ni wakati mgumu sana kwa ndugu wa marehemu ambao waliwapumzisha wapendwa wao katika makaburi ndani ya Durban, Afrika Kusini.
Mvua kubwa ilinyesha jana Jumapili na ni mvua ambayo inadaiwa kuwa ni level 5 imeleta madhara...
Marekani ingeweza kuivamia Afrika vipi? Ni mikakati gani ambayo Afrika ingeweza kutumia kujilinda? Na gharama ya vita hivi ingekuwa kiasi gani?
Katika uchambuzi huu, tunachunguza hatua kwa hatua jinsi Marekani ingetekeleza uvamizi wake kwa Afrika, hasa kwa kuzingatia Tanzania na Afrika...
Wakuu, kilichotokea pale white house kati Zelensky dhidi ya Rais wa Marekani na Makamu wake ambapo Zelensky kagomea hadharani bila woga matakwa ya viongozi hao wawili wenye nguvu duniani, na ilifika wakati akabishana nao miamba hao tena wakiwa ndani ya himaya yao, je unadhani kiongozi gani wa...
Taarifa zinazotoka mjini Goma, ni kukamatwa kwa watu kutoka Afrika kusini, waliosafiria Passport za Tanzania, kuelekea Goma.
Inasemekana, lengo lilikuwa kudukuwa mifumo ya ulinzi inayolinda anga la Rwanda.
Kupitia picha zinazosambaa, inasemekana walipofika Goma, walitumia magari ya MONUSCO...
Utangulizi
Ubunifu ni kiini cha maendeleo ya kiuchumi, kijamii, na kiteknolojia katika karne ya 21. Makala hii inachambua hali ya ubunifu barani Afrika na kuilinganisha na maeneo yenye mafanikio makubwa kama Ulaya, Amerika, na Asia. Kupitia uchambuzi wa mafanikio, changamoto, na fursa...
Kwa muda mfupi, ulimwengu ulitumaini. Ubaguzi wa rangi ulikuwa umekwisha. Afrika Kusini ilikuwa huru. Historia ndefu ya nchi hiyo ilijikita katika mifumo miwili iliyoshindana—moja ya wazungu waliokuwa wakimiliki utajiri wa taifa na kuishi maisha ya kiwango cha Ulaya, na nyingine ya weusi...
Afrika ya mashariki inaundwa na nchi zifuatazo:;
Kenya
Tanzania
Uganda
Burundi
Sudan Kusini
Somalia
Kati ya nchi hizi za Afrika ya mashariki ipi unadhani inaongozwa kwa kufuata Sheria na Katiba ya nchi yao?
Pichani, ni maandalizi ya jeshi la Polisi nchini Rwanda,mpakani mwa Rwanda na DRC. Eneo hili ndo watapitabadhi ya wanajeshi wa Afrika Kusini, na kupekuliwa, ili waendelee na safari yao,kuelekea uwanja wa ndege wa Kanombe huko Kigali.
Ukiiona yanga inacheza hata kama wewe sio mpenzi wa yanga na pengine labda bado unasumbulia na ule ushabiki maandazi lakini hata kimoyomoyo utakubali kua yanga ndio timu inayocheza kandanda la kuvutia..pira la kitabuni...pira la kideoni...yani zike pattern za soka unaziona na hata zile B tatu ya...
Sababu kuu zinazofanya mataifa mengi ya Afrika kuwa na hofu au kukosa ari ya kubadilisha maarifa na elimu zao katika lugha za asili ni mchanganyiko wa sababu za kihistoria, kitamaduni, kiuchumi, na kimaadili. Hapa chini ni baadhi ya sababu kuu:
1. Urithi wa Ukoloni na Lugha za Kigeni
Madaraka...
Kila siku tunasikia kauli kama “Afrika inaweza,” “Sisi ni watu wa nguvu,” “Tuna rasilimali nyingi kuliko Ulaya na Marekani.” Lakini, je, kweli tunaweza? Ikiwa Afrika inaweza, mbona hatujawahi kushirikiana kujenga mradi wowote mkubwa wa kisayansi? Dunia inaendelea na miradi mikubwa kama Apollo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.