Habari wakuu!
Kutokana na migogoro ambayo haiishi hapa katika nchi zetu za Afrika hususani kusini mwa jangwa la Sahara napendekeza baadhi ya mambo ambayo yatadumisha amani yetu.
1.Viongozi wa Africa waungane na wamalize tofauti zao zisio na tija kama tunavyoona baina ya Kagame na Tshisekedi...
"TRUMP ASITISHA MISAADA YA NJE KWA SIKU TISINI,
WHO YAAHA KUTAFUTA NJIA YAKUJIKWAMUA KWA KITISHO CHA TRUMP
" Anaekulisha anakutawala anae kuvisha anataka umnyenyekee alisema Castro badae Sankara Kisha Traole Sasa ni wakati wawaafrika kuamka kwenye usingizi. Mzito uliojaa ndoto butu zakuitegemea...
Je! Unajua kuwa Misri ni moja ya majeshi 15 yenye nguvu zaidi ulimwenguni? Jeshi la Misri ni kubwa Mara 3-4 kuliko jeshi la Afrika Kusini 🇿🇦.
1. Misri 🇪🇬
2. Algeria 🇩🇿
3. Nigeria 🇳🇬
4. Afrika Kusini 🇿🇦
5. Ethiopia 🇪🇹
6. Angola 🇦🇴
7. Moroko 🇲🇦
8. DR Congo 🇨🇩
9. Sudan 🇸🇩
10. Libya 🇱🇾
11.Tunisia...
Kutoana na kutoka ukoloni mpaka kuwa watawala kuna utofauti kati ya idara za usalama na ulinzi kabla na baada ya uhuru, hasa katika muktadha wa Afrika na mataifa mengine yaliyojitawala kutoka kwa wakoloni.
Kabla ya uhuru, idara za usalama na ulinzi mara nyingi zilikuwa zikitumika kama vyombo...
Hizi ni nchi 10 za Afrika zenye idadi kubwa ya watu wanaoishi na VVU;
1. Afrika Kusini: 7,700,000
2. Msumbiji: 2,400,000
3. Nigeria: 1,700,000
4. Uganda: 1,500,000
5. Kenya: 1,400,000
6. Zambia: 1,300,000
7. Zimbabwe: 1,300,000
8. Malawi: 980,000
9. Ethiopia: 610,000
10. DRC: 520,000
Muziki wa Afrika Kusini uko "influenced" sana na historia zao za mapambano dhidi ya ubaguzi. Style zao za uimbaji na uchezaji zinatoka moja kwa moja katika viwanja vya mapambano ya kudai usawa na kupinga ubaguzi wa rangi.
Style yao mpya ya muziki wa Amapiano imemix mitindo hiyo ya zamani ya...
1. Zote ni vinchi vidogo kieneo.
2. Watu wake wanajiona ni "special/superior" kuliko wengine.
3. Viongozi wao wote hawataki kutoka madarakani, madikteta uchwara.
4. Wote wana wazo la kujitanua kieneo zaidi mfano "Greater Israel"
5. Wote karata yao ya mwisho ni mauaji yaliotokea i.e Rwanda...
Jeshi la M23, limetembelea kambi ya Mubambiro. Baada ya mazungumzo (hawakuingia kambini, waliishia nje ya kambi). Wanajeshi wa Afrika kusini wameonyesha kuridhia ukarimu wa M23 na kuomba mambo matatu:
1. Kuruhusiwa kwenda Goma, kwa kutumia vifaru, wakakusanye vitu vyao vilivyopo kwenye kambi ya...
Moja ya maombi ninayoomba kila Leo kwa Mungu ni kuipa nguvu kamati Mhe. Rais aliyomwagiza waziri Mkuu kuundwa ili kuchuguza uimara na ubora wa majengo ya kariakoo na Mhe.Rais aligusia kwamba hawatasita kubomoa majengo yote kariakoo kama kamati ikishauri hivyo.
Ombi hili kwa Mungu linatokana na...
Habari,
Kwa ambao tumesoma shule zilizojengwa na Wazungu hii mada haitakuwa ngumu kwenu.
Mimi nimesoma shule iliyojengwa 1923 na Waingereza. Ile shule mpaka sasa ina majengo ya mkoloni yenye uimara.
Wenzetu wanapojenga, wanapoamua au kupanga jambo hutazama vizazi vinavyokuja ila sisi...
Nakuomba sana Marekani Afrika bado inakuhitaji sana,
Sisi ni kama watoto bado hatuwezi wenyewe unajitoa unajipeleka wapi Marekani?
Marekani baba kama kuna mahali tumekukosea tunaomba utusahamee, tunakuomba sana.
Angalia unajitoa je ARV tutakuwa tunapata wapi?
Na kuna zile neti je?
Kuna...
UFISADI WA ELF AQUITAINE: NJAMA ZA KIFEDHA KATI YA UFRANSA NA AFRIKA
Mwaka ni Julai 1994. Mdhibiti wa masoko ya fedha wa Ufaransa ametuma ripoti yenye utata kwa Ofisi ya Mwendesha Mashtaka wa Umma wa Paris. Ripoti hiyo ilihusu uwekezaji wa kutiliwa shaka uliofanywa na moja ya kampuni kubwa za...
Je sisi ni raia wa Marekani ?
Je tunalipa kodi au tozo Marekani?
Je tunawafanyia nini cha Maana Marekani tustahili misaada ?
Kwa Nchi za Afrika hasa Tanzania mna Madini ya aina mbali mbali ,Ardhi ,Bahari ,Maziwa na mito , vivutio vya kitalii ni ujinga kulilia misaada.
Nadhani Africa tumepewa...
Ni ajabu kuona Afrika kuwa ni bara lenye rasilimali nyingi, tukiwa na ardhi yenye rutuba, madini, mafuta, na nguvu kazi kubwa ila masikini upande wetu Mungu katunyima viongozi wenye kujua waafrika tunataka nini.
Afrika ni bara ambalo limekuwa likitegemea misaada kutoka nchi za Magharibi...
Uwezo tunao ingawa sina uhakika kama tuna Nia.., Nilishasema kitambo kwa Kutumia Tanesco tuna uwezo wa kufanya mwananchi akatumia Umeme kwa bei ndogo (mfano kupikia kwa gharama ya chini ya Tshs 100 mpaka 0/=) na kuuza ziada kwa nchi nyingine...
Viongozi wa Afrika ni wagumu sana kutembeleana wenyewe kwa wenyewe. Most of time matukio au mikutano inayolenga kuwakutanisha pamoja hapa Afrika utakuwa wapo marais wachache sana, badala yake wengi utuma wawakilishi.
Wakialikwa ULaya au America na baadhi ya nchi za Asia, ni mara chache uone...
Lengo la Mkutano huu ni Waafrika Millioni 300 wakiwemo Watanzania Millioni 8.3 kupata umeme ifikapo mwaka 2030.
Tazama Live Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Nishati (Africa Energy Summit)
Wadau wote wa nishati vyuo vyote Nje na Ndani ya Tanzania, UDSM, UDOM, DIT N.K tuungane kutazama...
Tanzania inakuwa nchi mwenyeji wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Nishati (Africa Energy Summit) utakaofanyika Jijini Dar es Salaam tarehe kwa siku mbili 27-28 Januari, 2025.
Mkutano huu unaandaliwa kwa pamoja baina ya Serikali ya Tanzania, Benki ya Dunia na Benki ya Maendeleo ya...
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetangaza kwamba barua rasmi ya maandamano hivi karibuni itatumwa kwa Tume ya Umoja wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa. Uamuzi huu unafuatia taarifa zilizochukuliwa kuwa hazikubaliki na rais wa Tume ya AU, Moussa Faki Mahamat, ambaye hivi karibuni...
Sijaisikia jumuiya hii ikitoa kauli au kuitisha kikao cha dharura dhidi ya huyu mla nyama za watu na mnywa damu za binadamu. Wote ni wanachama wa jumuiya ya Afrika mashariki.
N. B: for the first time simjui Mwenyekiti wa jumuiya hii wala katibu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.