Mchungaji William Folorunsho Kumuyi ni Mchungaji Mwafrika, aliyepata heshima ya kualikwa kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Marekani, Donald Trump, tarehe 20/1/2025. Mchungaji huyo alipata nafasi ya kushiriki ibada rasmi ya kumuombea Rais Trump. Mchungaji huyo ni nani hasa na kwanini...
Katika miaka ya hivi karibuni Marekani imekuwa ikitekeleza kile inachokiita kurudi Afrika, sera ambayo hapo awali ilitajwa kuwa ni kurekebisha makosa ya kisera na kutambua umuhimu wa kimkakati wa bara la Afrika, sio tu kwa siasa za ndani za Marekani, bali pia kwa uchumi wa Marekani na nafasi...
Katika historia ya Hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa Afrika, kumekuwa na matokeo ya kushangaza yaliyoweka rekodi za ushindi wa mabao mengi.
Hapa ni baadhi ya ushindi wa tofauti kubwa zaidi katika historia ya mashindano haya:
Mwaka 2019:
• TP Mazembe 8-0 Club Africain
Mwaka 2023:
•...
Tarehe 20 Mwezi huu, huko Marekani kutakuwa na tukio la kuapishwa kwa rais.
kuna baadhi ya viongozi wamealikwa, na wengine hawajaalikwa; Swali, kama hujaalikwa, utaweza kuhudhuria?
Na katika kuwaalika, wametumia vigezo gani? Na je, kutoka bara la Afrika, ni wangapi wamealikwa?
Huu uzi ningeshauandika kitambo ila wakati nataka kuandika ndo likatokea janga la moto huko Marekani. Wataalamu wameshaongea kuhusu sababu za moto na kutaja kuwa chanzo ni moto wa mwituni ulioenea kwenye makazi ya watu. Ni janga la asili. Wakati uchunguzi ukiendelea ndo wamejitokeza baadhi ya...
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imepiga hatua kubwa kuelekea kuwa nguvu ya kiuchumi katika ukanda wa Afrika Mashariki, mwelekeo uliothibitishwa na uongozi wa mabadiliko wa Rais Samia Suluhu Hassan. Ripoti za hivi karibuni zinaonyesha uwezekano mkubwa wa Tanzania kuipita Kenya kama taifa...
Nawaonea huruma sana wanaopingana na madhalimu CCM alafu wanakimbilia nchi za Afrika Mashariki au China au Urusi.
Kwa kifupi hutakuwa salama nchi yeyote ya Afrika au kwenye hizo nchi marafiki wa CCM. Nchi za Kiarabu ndo kabisa maana majasusi wa nchi mbalimbali ndo wanafanya field zao hata...
Ni jambo la kushanga ila ni tukio halisi, Rais Daniel Arab Moi wa Kenya mwaka 1994 aliwahi kuunda tume maalum ya Rais kuchunguza imani za waabudu shetani Kenya. Hata hivyo baada ya ripoti kutoka serikali haikuiweka hadharani rasmi na iliipotezea bila kutekeleza mapendekezo yake mbalimbali kwa...
Tanzania imetangazwa kuwa nchi bora zaidi ya kutembelea barani Afrika kwa mwaka 2025, kulingana na ripoti ya U.S. News, ushindi huu mkubwa unaonesha wazi matunda ya uongozi mahiri wa Rais Samia Suluhu Hassan. Tangu aingie madarakani, Rais Samia amekuwa mstari wa mbele katika kuimarisha sekta ya...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda na Waziri wa Afya nchini Tanzania Mhe. Jenista Mhagama, wamekubaliana kukutana Dodoma Makao Makuu ya Wizara hiyo, kufanya mazungumzo ya pamoja ya kupanga utekelezaji wa ndoto na Maono ya Mhe. Makonda ya kuufanya Mkoa wa Arusha kuwa Kitovu cha...
Salama kabisa!
Inashangaza Sana. Au ndio Elimu za kikasuku. ELIMU za kukariri. Unakuta mtu na elimu yake Kabisa umri umeenda lakini anashindwa kutofautisha Mwanasiasa na Mwanaharakati. Anashindwa kuelewa MUKTADHA WA mtu kuwa mwanasiasa na kuwa Mwanaharakati.
Kwa mazingira ya nchi nyingi za...
Marekani na nchi nyingi za Ulaya zimejuwa kama viranja kwa nchi masikini, hasa za Kiafrika. Lakini alau Misri na Afrika Kusini zipo vizuri kiuchumi.
Najua fedha huwa inaongeza heshima, na Misri & South Africa zinazo.
Wazungu alau wanaziheshimu au wanaichukulia kama nchi zingine za Afrika...
Mwalimu wa Historia alitumbua kuwa chanzo kimojawapo cha udumavu wa bara la Afrika kimaendeleo ni ukoloni wa Kimagharibi!
Lakini pia alitufundisha kuwa Ethiopia haikutawaliwa na Wazungu. Labda ndiyo maana Waafrika walipachagua pawe makao makuu ya AU?
Lakini nilisahau kumwuliza kuwa ikiwa...
Huu ujumbe unamuhusu ye yote mwenye access ya kuingia kwenye mikusanyiko inayowakutanisha watawala wakuu wa Afrika!
Siku watakapokutana, naomba uwazamomee na kuwaambia wanalitia sana aibu bara la Afrika kwa kuendelea kulialia kuwa nchi za Magharibi zinaharibu amani barani Afrika. Waambie kuwa...
Katika mwaka 2024, Afrika ilichukua nafasi kubwa kwenye ajenda ya maendeleo ya kimataifa, ikionesha uthabiti wa bara hilo na uhusiano wake wa kina na China na nchi za Dunia ya Kusini kwa ujumla katika medani ya kimataifa.
Kuanzia Mkutano wa 19 wa Wakuu wa Nchi Zisizofungamana na Upande wowote...
Heri ya mwaka mpya! Mnapongezwa tena kwa kazi yenu njema ya kufahamisha na kuelimisha kote duniani. Ujumbe unaofuata (umewasilishwa kama shairi lenye unabii wa mambo yanayoenda kutokea 2025). Ujumbe unaweza kuchapishwa n.k. Shukrani.
NDANI YA ROHO WA UNABII 2025! Kenya +254729011324, Tanzania...
Wakati mwaka mpya unapoanza, Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi, ameanza ziara yake ya kwanza nje ya nchi kwa mwaka 2025 kwa kutembelea bara la Afrika, akiendeleza utamaduni wa diplomasia unaotimiza miaka 35.
Ziara hii inaonyesha ahadi ya kudumu ya kuimarisha ushirikiano na Afrika na...
Kila mwanzoni mwa mwaka, diplomasia ya China ina “makubaliano yasiyobadilika” — ziara ya kwanza ya waziri wa mambo ya nje lazima iwe Afrika, na mwaka huu hauna tofauti. Kuanzia tarehe 5 hadi 11 Januari, Wang Yi, Mjumbe wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China CPC na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.