Masandawana waumaliza mwendo Klabu Bingwa Afrika, Simba na Yanga washindwe wao tu

Masandawana waumaliza mwendo Klabu Bingwa Afrika, Simba na Yanga washindwe wao tu

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,350
Reaction score
26,166
Bingwa mtetezi wa Klabu Bingwa barani Afrika, Mamelodi Sundowns aka Masandawana ya Afrika ya Kusini wametupwa nje ya michuano hiyo baada ya sare ya 1-1 nyumbani kwake dhidi ya Williete ya Angola.

Katika mchezo wa kwanza uliochezwa Angola, timu hizo zilitoka 0-0. Kwa matokeo ya leo, Masandawana wameaga mashindano na kushindwa kufuzu hatua ya makundi baada ya kipindi kirefu.

Simba na Yanga wapewe nini tena!?!?
 
Back
Top Bottom