Masandawana waumaliza mwendo Klabu Bingwa Afrika, Simba na Yanga washindwe wao tu

Masandawana waumaliza mwendo Klabu Bingwa Afrika, Simba na Yanga washindwe wao tu

Williete waliowahi kukipiga na kutolewa na Yanga msimu uliopita, kumbe wamo. Walipocheza na Yanga waliitwa vibonde
 
Hizo timu zinaweza kuwa zinachukua makombe ama kufika fainali, lakini je ni kweli timu zetu zinazuiwa na hizo mara nyingi?...Simba hakuwa na Mamelodi wala Al ahly akaishia kuburuza mkia kwenye kundi..Yanga waliambulia point 1 kwa Al ahly ambayo ni sawa kabisa kwa levels.Je walifanya lipi kwa waliobakia ili waende na ahly robo halafu tuanze kuwaza ya mbele tukishavuka?

Tungekuwa kila mwaka tunazuiwa na Ahly na Mamelodi tungekuwa na haki ya kushangilia lakini tusipokaza kwa timu ambazo tunahisi ni size yetu basi tutaendelea kuota..

Ingawa kitu kimoja sasa ni ukweli.timu zetu zimeimarika,kwa mpira wa Afrika hao orlando,berkane n.k ni timu ambazo tuna uwezo wa kupambana nao tukijikaza bila kusahau mipango.
 
Back
Top Bottom