Masandawana waumaliza mwendo Klabu Bingwa Afrika, Simba na Yanga washindwe wao tu

Masandawana waumaliza mwendo Klabu Bingwa Afrika, Simba na Yanga washindwe wao tu

Nilimwambia Isanga kuwa hiyo timu haina maajabu licha ya kubeba CAFCL tofauti na timu za kiarabu zikiwa kwenye ubora wake.

Akanijibu imetinga nusu fainali mara nne mfululizo!!
 
Tatizo viongozi wa Simba na Yanga huwa hawana maono na hawajui kutumia fursa. Kwa viongozi makini hili dirisha dogo linalokuja ni kuwekeza kwa kusajili wachezaji wakali wawili/watatu bila kujali gharama watakaoleta impact kubwa kwenye klabu bingwa Afrika. Pesa itakayotumika itarudi kwa sababu uhakika wa kufika nusu fainali na hata fainali na hata ikiwezaekana kubeba ubingwa ukiwa na timu nzuri upo hasa ukizingatia vile vigogo hasa vya Afrika tayari havipo.

Mo na GSM kazi kwenu mshindwe wenyewe. Hawa vigogo waliobaki sio tishio kama Al Ahly na Mamelodi. Na kitu kikubwa iweje Willete waweze halafu Simba na Yanga washindwe?
 
Back
Top Bottom