Kafulia usijichetue, India na Wachina Wana watu zaidi ya B Moja, ila wanamiliki Chumi kubwa, Afrika haiendelei sababu ya Viongozi wa ovyo ovyo

MAREKAN Ina watu zaidi ya Milion 300, na wameendelea .

Kafulila usione Haya kusema kua "Afrika tuna uçhumi mdogo licha ya Idadi kubwa ya watu kwa sababu ,Ni Afrika tu ndo Mtu anatafuta Urais kama Sifa, Wizi, Ufisadi
Mkuu, umetaja China na India lakini umesahau kuwa idadi kubwa ya watu pekee haikuwafanya wawe matajiri. China ilikuwa na zaidi ya watu bilioni moja hata wakati ikiwa maskini; kilichobadilika ni tija, elimu, viwanda, teknolojia na uwekezaji katika watu.

Na kama wingi wa watu ndiyo siri ya utajiri, Nigeria yenye zaidi ya watu milioni 200 ingekuwa tajiri kuliko nchi nyingi za Ulaya zenye watu wachache sana.

Uongozi bora ni muhimu sana, lakini uongozi bora wenyewe lazima uhakikishe kasi ya ongezeko la watu haiizidi kasi ya kujenga shule, hospitali, ajira na uchumi. Watu wengi wasio na tija si utajiri; ni changamoto kubwa zaidi kwa Serikali.
 
Uchumi unataka watu
 
Uchumi unataka watu

Uchumi unataka watu
Kusema “uchumi unataka watu” sio kweli. Uchumi unataka watu wenye tija, si wingi wa watu pekee. Kuna nchi zenye watu wachache lakini uchumi mkubwa, na zipo zenye watu wengi lakini bado zinapambana na umaskini. Kinachoamua ni elimu, afya, ujuzi, teknolojia, ajira na uzalishaji. Taifa halitajiriki kwa kuhesabu watu; linatajirika kwa thamani inayozalishwa na watu wake.
 
We unafikiri ni nini kinafanya hao watu wasiwe na tija?
 
Huku wewe kliniko ofsa kila siku unaiiba dawa zahati za serikali unakuja kulalalmika hapa
 
Sehemu yoyote wanapoishi watu weusi, ni changamoto anzia Haiti, Guyana na nchi za bara la Afrika; tatizo sio idadi ya watu, tatizo ni ubongo wetu wa sisi watu weusi.
 
India ni taifa la Kipuuzi tu, tunatakiwa tuwe na idadi ndogo ya watu kama Canada, Australia, Russia na Norway ndio nchi inakuwa nzuri.
 
Awapi CHADEMA haya mambo hamuyawezi

Tayari umefika eh..

Vipi unatarajia nini kuwepo na utajiri au kukua kwa uchumi kama kuna hiki kitu pichani?

Yaani pesa zinakusanywa halafu zinakwenda kunufaisha familia chache za majizi na mafisadi unatarajia uchumi ukue?

20250916_130636.jpg
20250916_130649.jpg
20250916_130651.jpg
20250916_130654.jpg
 
Back
Top Bottom