Aina 7 Za Simu Kali Kuliko Iphones, Pixels na Samsung Ila HAzijulikani sana Tanzania

Aina 7 Za Simu Kali Kuliko Iphones, Pixels na Samsung Ila HAzijulikani sana Tanzania

Barakha John

Member
Joined
Sep 24, 2024
Posts
49
Reaction score
163
Kwa sasa China ndio nchi pekee inaongoza kuwa na teknolojia kali ya simu . wana brands nyingi ambazo wanatoa simu kali hata kuliko hizi zilizo zoeleka Tanzania.

Na leo nitakutajia Aina 7 ya Simu ambazo wabongo wengi hawazijui kabisa na nyingine huuzwa kwa bei ghali zaidi kuliko Iphones .

Je, simu hizo ni zipi?

Kabla haujafika mbali….

…… naitwa Baraka ni mtaalamu wa masuala ya teknolojia na maswala ya kidigitali, nimekuwa muuzaji wa simu kwa miaka 5 sasa katika soko la kariakoo.

Huwa nauza original tu …. Brand kubwa na hizi za kawaida mpya na used.

Unaweza kupiga simu / wahatsapp +255 757468193 au ukanifuata kwenye mitandao yangu ya kijamii kama @simukidigitali .

Nisikuchoshe , tuendelee…….

Kwa wiki huwa napata wateja 4-6 wengio wakiwa raia wa kigeni hasa , India na China wakiuliza aina fulani za simu ambazo hazijazoeleka Tanzania .

Ndipo nikapata sababu ya kuzifanyia utafiti juu ya simu hizi na kuamua kuzileta kabisa ……hivyo bhasi kama unapesa ya kutosha na unataka kuwa tofauti angalia kati ya simu hizi hini utanishukuru badae.

Katika utafiti wangu nimeandaa List ya simu 7 ambazo zinaubora wa juu ambazo wabongo wengi hawazijui.

  1. XAOMI
Ni kampuni ya kichina , inatengeneza simu kiwango cha juu mno zenye waterproof na kioo kinachovumilia katika hali zote.

Kama unasafiri mara nyingi nje ya miji , unafanya shughuli za ujenzi au Engeneers kwenda nazo site.

Zinakaa sana na chaji , camera nzuri, kioo kigumu hata uangushe kwa nguvu chini haipasuki , ukiipenda njoo chukua dukani kwetu zipo mbaka 17 ultra kwa 3,920,000…. 1TB storage.

2. ONE PLUS

Moja kati ya kampuni ambayo imekuja kufanya mapinduzi makubwa basi ni hii.

Simu zao ni slim sana na body simple lakini muundo wake ni wa kuvutia ukiiona tu lazima uvutike .

Bajeti zake ni kuanzia 1,695,000 kwa 1 plus 12 mbaka 2,950,000 kwa One plus 15 yenye ram 16/1Tb storage.

3.VIVO

Vivo ni kampuni yenye simu ambazo ubora wake hauelezeki kwa maneno , utamu wa simu hii ni uishike na uitumie.

Inakuja na refresh rate ya kipekee ikiwa na speed kubwa , processor kubwa na ubora wa camera wa hali ya juu sana.

Dukani kwetu zinaanzia bajeti kuanzia 3,7000,000 kwa VIVO X200 ULTRA mbaka 4,650,000 kwa x300 ultra

4.OPPO

Pia ni kampuni kutoka china , ubora wa simu zake ni wa kutoka next Level ….

Muundo wa kipekee , camera ya kibabe haswa pia ina kluwa na uwezo wa kukaa na charger kwa muda mrefu .

Kama bajeti yako sio kubwa sana na unahitaji simu ya kitofauti nakushauri uchukue simu hii

Dukani kwetu zipo kuanzia Tsh,1,100,000 mbaka OPPO FIND N6 kwa Tsh. 4,890,000.

5. NOTHING PHONE

Hawa ni wakali wa ubunifu , kwa mwaka 2024-2026 inatajwa kama simu yenye ubunifu wa kipekee zaidi kuwahi kutengenezwa.

Imetengenezwa na body ya kioo kwa asilimia kubwa , mbele na Nyuma .

Pia inatoa ishara kwa mwanga unao pop up inapo ingia notification.

Pia inascreen ndogo upande wa nyuma inayo onesha details kadhaa , kikubwa zaidi ni muundo wake…\

Wa nyuma kuonekana wa kipekee kwa kuweka transparent back glass unayoweza kuona kilichomo ndani .

Bajeti yake inaanzia 960,000 tsh kwa simu kama 2a na kubwa kabisa tunauza kwa 2,100,000 ya 4 a Pro.

6. MOTOROLA

Mbaka sasa hakuna simu ya kutoka Japan iliyo weza kushindana na Motorola .

Hiin ni kutokana na ubora wa vioo vyao na camera huku wakinogesha na muundo wa kipekee.

Motorola inafanya vizuri toka kitambo lakini ni simu ambayo haipewi kipaumbele katika nchi nyingi za Afrika.

Hizi zipo used na Mpya… bajaeti yake ni kuanzia 800,000 na kuendelea.

7.HUAWEI

Hapa ni kama wachina waliamua kuwekeza nguvu zao zote kwenye hii kampuni.

Simu zao zinasifika kuwa na teknolojia ya kipekee mno unayoweza kuhamisha picha na files kwa kubeba kupitia mkono wako tu.

Zinakuja na matoleo mengi sana , na kila toleo likiwa nna ubora mkubwa wa camera na Battery.

Dukani kwetu ya bei ya chini ni NOVA 15 MAX bei ni 980,000 na ya bei ya juu zaidi ni HUAWEI MATE XT ikiwa ni 9,890,000 baabkubwa.

Nb. …..

Hizi ni simu original tu na zimechukuliwa moja kwa moja kutoka kampuni husika.

Epuka watu wanao uza kwa bei kiduchu sana kwa sababu simu hizi ndizo zinaongoza kutolewa Coppy na fake.

Hivyo jihadhari nunua kwa watu wa kuaminika tu

Kama unapata wasi wasi tupigie, +255 757468193 au tembelea dukani kwetu tupo kariakoo , aggrey na msimbazi
Dar na mikoani unatumiwa unaipata , delivery kwetu ni bureee kabisa.usisahau kutufollow instagram , facebook na Tiktok@simukidigitali …. Tunauza SIMU na LAPTOP.
 
Kwanza pixel sio simu Kali, Ni mid-range phone Ila specific Zak zinakaribiana na hizo iPhone na samsung....
Samsung unaweza tumia miaka 10 wewe Ni kuupdate software na security system Ila hayo matambala mengine utajuta...
 
Samsung hata kama mid range phone aisee unaweza kaa nayo muda sana japo ndio hivyo ziko nyingi
 
Mbona zinajulikana sana hizo, nahiyo nothing phone Sina hakika kama ni ya china
Screenshot_20260828_002104_Google.jpg
 
Binafsi nimeshatumia android phones kwa miaka mingi na nimetumia kampuni kadhaa, kuanzia zile Huawei za Tigo, matoleo ya kwanza ya android sikumbuki jina, Samsung s3 ya miaka hiyo, redmi nimeshaishika mkononi na simu nyingi za android hadi huko kwenye pure android ya pixel isiyo na customazation nyingi kama ya Samsung na Xiamoni na kwa sasa nipo iOS, Iphone.

TO BE HONEST, SAMSUNG HANA MPINZANI KWENYE ANDROID. YES, Samsung wako level ya juu sana ktk Android. Kama ni ramani basi tunaweza kusema Samsung yupo Magharibi na wapinzani wake kwenye adroid wapo Mashariki. Huwezi nielewa saana ila Samsung fold hasa 6 kwenda juu, S23 kwenda juu wanaelewa hiki ninachosema. Samsung note 10 plus, ya miaka hiyooo ukiichukua sasa hivi ikiwa na kioo chake Original unaweza ukapiganisha na hizo brands zingine za android na bado Samsung note 10+ akaibuka mshindi. Android takataka karibia zooote zimeshapita mikononi mwangu, sijui OPPO sijui XPERIA, labda Nokia pekee ndio haijapita mkononi mwangu.

Kwa upande wa Iphones, bado sijaona simu ya kichina kwa hizo ulizotaja zinastahili kuipambanisha na iphone. Iphone yupo daraja moja kabisa na Sansung. To me naona uzi wako umekaa kibiashara hata ukadiriki kusema uongo uongo humu na mtu kama nimetokea kukuona we jamaa sio mshauri mzuri kwa wateja, unachojali ni bidhaa zako tu zitoke.
 
Kidogo wewe unajua simu.
 
Back
Top Bottom