Aina 7 Za Simu Kali Kuliko Iphones, Pixels na Samsung Ila HAzijulikani sana Tanzania

Aina 7 Za Simu Kali Kuliko Iphones, Pixels na Samsung Ila HAzijulikani sana Tanzania

Tofautisha kati ya water proof na water resistant.

Teknolojia ya water proof kwenye simu ni kauli ya kibiashara tu. Hakuna simu yenye water proof bali ni water resistant.
 
Nifundisheni kutumia simu wadau, mlivyoipamba S26 ultra na ninayo sijui kitu zaidi ya picha(nazo sio kiviile) na mawasiliano inaniuma sana,
 
Back
Top Bottom