Aina 7 Za Simu Kali Kuliko Iphones, Pixels na Samsung Ila HAzijulikani sana Tanzania

Nawakumbusha samsung,google pixel,xiomi,vivo,sony,motorola,1+ zote ni android moja na akuna utofauti wa android ya samsung,google pixel,vivo wala 1+ apo utofauti ni chips tu ndio zinye kuleta radha,nguvu,ubora na mionekano katika kila kampuni ila ukija vioo,lens,betri,camera sometimes hutengenezwa na mtu mmoja (mf muunda kioo cha samsung na iphone ni mmoja,muunda chips za huawei,honor ni mmoja,munda camera wa xiomi,oppo,aquos ni mmoja pia sony huwatengenezea makampuni mengi camera,spika ila yeye kashindwa vita na watu anaowasapot
 
Kuna mwamba anaitwa doccomo aliwai kuleta simu akashindwa ila alivyoanza kuuza vipuli kwa samsung doccomo,xiomi doccomo,aquos doccomo hao watu wameuza sana pia hata infinix sasa anatumia kioo toka samsung,camera toka samsung,spika na mfumo wa saut toka jbl ila bado chip ni mbovu haina uwezo )
 
Kinachouzwa na kushindanishwa na haya makampuni na bajet kubwa ilipo ni chips,software ila hardware kinachotokana na kampuni ni muundo tu na muonekano ila vipuli wananunua kwa mt mmoja sometime au watu flan wachache
 
Kwa sasa China ndio nchi pekee inaongoza kuwa na teknolojia kali ya simu . wana brands nyingi ambazo wanatoa simu kali hata kuliko hizi zilizo zoeleka Tanzania.

Na leo nitakutajia Aina 7 ya Simu ambazo wabongo wengi hawazijui kabisa na nyingine huuzwa kwa bei ghali zaidi kuliko Iphones .

Je, simu hizo ni zipi?

Kabla haujafika mbali….

…… naitwa Baraka ni mtaalamu wa masuala ya teknolojia na maswala ya kidigitali, nimekuwa muuzaji wa simu kwa miaka 5 sasa katika soko la kariakoo.

Huwa nauza original tu …. Brand kubwa na hizi za kawaida mpya na used.

Unaweza kupiga simu / wahatsapp +255 757468193 au ukanifuata kwenye mitandao yangu ya kijamii kama @simukidigitali .

Nisikuchoshe , tuendelee…….

Kwa wiki huwa napata wateja 4-6 wengio wakiwa raia wa kigeni hasa , India na China wakiuliza aina fulani za simu ambazo hazijazoeleka Tanzania .

Ndipo nikapata sababu ya kuzifanyia utafiti juu ya simu hizi na kuamua kuzileta kabisa ……hivyo bhasi kama unapesa ya kutosha na unataka kuwa tofauti angalia kati ya simu hizi hini utanishukuru badae.

Katika utafiti wangu nimeandaa List ya simu 7 ambazo zinaubora wa juu ambazo wabongo wengi hawazijui.

  1. XAOMI
Ni kampuni ya kichina , inatengeneza simu kiwango cha juu mno zenye waterproof na kioo kinachovumilia katika hali zote.

Kama unasafiri mara nyingi nje ya miji , unafanya shughuli za ujenzi au Engeneers kwenda nazo site.

Zinakaa sana na chaji , camera nzuri, kioo kigumu hata uangushe kwa nguvu chini haipasuki , ukiipenda njoo chukua dukani kwetu zipo mbaka 17 ultra kwa 3,920,000…. 1TB storage.

2. ONE PLUS

Moja kati ya kampuni ambayo imekuja kufanya mapinduzi makubwa basi ni hii.

Simu zao ni slim sana na body simple lakini muundo wake ni wa kuvutia ukiiona tu lazima uvutike .

Bajeti zake ni kuanzia 1,695,000 kwa 1 plus 12 mbaka 2,950,000 kwa One plus 15 yenye ram 16/1Tb storage.

3.VIVO

Vivo ni kampuni yenye simu ambazo ubora wake hauelezeki kwa maneno , utamu wa simu hii ni uishike na uitumie.

Inakuja na refresh rate ya kipekee ikiwa na speed kubwa , processor kubwa na ubora wa camera wa hali ya juu sana.

Dukani kwetu zinaanzia bajeti kuanzia 3,7000,000 kwa VIVO X200 ULTRA mbaka 4,650,000 kwa x300 ultra

4.OPPO

Pia ni kampuni kutoka china , ubora wa simu zake ni wa kutoka next Level ….

Muundo wa kipekee , camera ya kibabe haswa pia ina kluwa na uwezo wa kukaa na charger kwa muda mrefu .

Kama bajeti yako sio kubwa sana na unahitaji simu ya kitofauti nakushauri uchukue simu hii

Dukani kwetu zipo kuanzia Tsh,1,100,000 mbaka OPPO FIND N6 kwa Tsh. 4,890,000.

5. NOTHING PHONE

Hawa ni wakali wa ubunifu , kwa mwaka 2024-2026 inatajwa kama simu yenye ubunifu wa kipekee zaidi kuwahi kutengenezwa.

Imetengenezwa na body ya kioo kwa asilimia kubwa , mbele na Nyuma .

Pia inatoa ishara kwa mwanga unao pop up inapo ingia notification.

Pia inascreen ndogo upande wa nyuma inayo onesha details kadhaa , kikubwa zaidi ni muundo wake…\

Wa nyuma kuonekana wa kipekee kwa kuweka transparent back glass unayoweza kuona kilichomo ndani .

Bajeti yake inaanzia 960,000 tsh kwa simu kama 2a na kubwa kabisa tunauza kwa 2,100,000 ya 4 a Pro.

6. MOTOROLA

Mbaka sasa hakuna simu ya kutoka Japan iliyo weza kushindana na Motorola .

Hiin ni kutokana na ubora wa vioo vyao na camera huku wakinogesha na muundo wa kipekee.

Motorola inafanya vizuri toka kitambo lakini ni simu ambayo haipewi kipaumbele katika nchi nyingi za Afrika.

Hizi zipo used na Mpya… bajaeti yake ni kuanzia 800,000 na kuendelea.

7.HUAWEI

Hapa ni kama wachina waliamua kuwekeza nguvu zao zote kwenye hii kampuni.

Simu zao zinasifika kuwa na teknolojia ya kipekee mno unayoweza kuhamisha picha na files kwa kubeba kupitia mkono wako tu.

Zinakuja na matoleo mengi sana , na kila toleo likiwa nna ubora mkubwa wa camera na Battery.

Dukani kwetu ya bei ya chini ni NOVA 15 MAX bei ni 980,000 na ya bei ya juu zaidi ni HUAWEI MATE XT ikiwa ni 9,890,000 baabkubwa.

Nb. …..

Hizi ni simu original tu na zimechukuliwa moja kwa moja kutoka kampuni husika.

Epuka watu wanao uza kwa bei kiduchu sana kwa sababu simu hizi ndizo zinaongoza kutolewa Coppy na fake.

Hivyo jihadhari nunua kwa watu wa kuaminika tu

Kama unapata wasi wasi tupigie, +255 757468193 au tembelea dukani kwetu tupo kariakoo , aggrey na msimbazi
Dar na mikoani unatumiwa unaipata , delivery kwetu ni bureee kabisa.usisahau kutufollow instagram , facebook na Tiktok@simukidigitali …. Tunauza SIMU na LAPTOP.
Nimetumia sana Samsung, kwa sasa nataka nianze kutumia Nokia Express.
 
Unarudia yale yale mimi nimekuwekea software zao ipi inapokea kwa haraka wewe unasema nimeweka AI.
Unarudia yale yale unataka tutaje simu moja moja au mfumo mzima wa motorola na xiaomi upi bora?

shida yako unatumia oppo za dubai famba sio oppo original zenyewe usibishie ..... hizo oppo ambazo unasemea wewe hata hazitambuliki na oopo wenyewe hahaahaha

hapa dukani sina oppo ya chini ya milioni ..... ko wewe najua unazungumzia oppo za laki 1 moja zile mzee
Hizo unazotulangua apo Agrey na Msimbazi ni za Dubai zote.
 
Mafundi simu muwe mnataja tu aina za Simu ila mkiwachanganya Samsung na iPhone kwenye mashuka yenu sijui nothing phone mnakosea sana aisee..
 
Dah anyway simu ni Samsung na Sony Kwa Android hizo zingine ni vifaa vya mawasiliano tu
 
Kwa sasa China ndio nchi pekee inaongoza kuwa na teknolojia kali ya simu . wana brands nyingi ambazo wanatoa simu kali hata kuliko hizi zilizo zoeleka Tanzania.

Na leo nitakutajia Aina 7 ya Simu ambazo wabongo wengi hawazijui kabisa na nyingine huuzwa kwa bei ghali zaidi kuliko Iphones .

Je, simu hizo ni zipi?

Kabla haujafika mbali….

…… naitwa Baraka ni mtaalamu wa masuala ya teknolojia na maswala ya kidigitali, nimekuwa muuzaji wa simu kwa miaka 5 sasa katika soko la kariakoo.

Huwa nauza original tu …. Brand kubwa na hizi za kawaida mpya na used.

Unaweza kupiga simu / wahatsapp +255 757468193 au ukanifuata kwenye mitandao yangu ya kijamii kama @simukidigitali .

Nisikuchoshe , tuendelee…….

Kwa wiki huwa napata wateja 4-6 wengio wakiwa raia wa kigeni hasa , India na China wakiuliza aina fulani za simu ambazo hazijazoeleka Tanzania .

Ndipo nikapata sababu ya kuzifanyia utafiti juu ya simu hizi na kuamua kuzileta kabisa ……hivyo bhasi kama unapesa ya kutosha na unataka kuwa tofauti angalia kati ya simu hizi hini utanishukuru badae.

Katika utafiti wangu nimeandaa List ya simu 7 ambazo zinaubora wa juu ambazo wabongo wengi hawazijui.

  1. XAOMI
Ni kampuni ya kichina , inatengeneza simu kiwango cha juu mno zenye waterproof na kioo kinachovumilia katika hali zote.

Kama unasafiri mara nyingi nje ya miji , unafanya shughuli za ujenzi au Engeneers kwenda nazo site.

Zinakaa sana na chaji , camera nzuri, kioo kigumu hata uangushe kwa nguvu chini haipasuki , ukiipenda njoo chukua dukani kwetu zipo mbaka 17 ultra kwa 3,920,000…. 1TB storage.

2. ONE PLUS

Moja kati ya kampuni ambayo imekuja kufanya mapinduzi makubwa basi ni hii.

Simu zao ni slim sana na body simple lakini muundo wake ni wa kuvutia ukiiona tu lazima uvutike .

Bajeti zake ni kuanzia 1,695,000 kwa 1 plus 12 mbaka 2,950,000 kwa One plus 15 yenye ram 16/1Tb storage.

3.VIVO

Vivo ni kampuni yenye simu ambazo ubora wake hauelezeki kwa maneno , utamu wa simu hii ni uishike na uitumie.

Inakuja na refresh rate ya kipekee ikiwa na speed kubwa , processor kubwa na ubora wa camera wa hali ya juu sana.

Dukani kwetu zinaanzia bajeti kuanzia 3,7000,000 kwa VIVO X200 ULTRA mbaka 4,650,000 kwa x300 ultra

4.OPPO

Pia ni kampuni kutoka china , ubora wa simu zake ni wa kutoka next Level ….

Muundo wa kipekee , camera ya kibabe haswa pia ina kluwa na uwezo wa kukaa na charger kwa muda mrefu .

Kama bajeti yako sio kubwa sana na unahitaji simu ya kitofauti nakushauri uchukue simu hii

Dukani kwetu zipo kuanzia Tsh,1,100,000 mbaka OPPO FIND N6 kwa Tsh. 4,890,000.

5. NOTHING PHONE

Hawa ni wakali wa ubunifu , kwa mwaka 2024-2026 inatajwa kama simu yenye ubunifu wa kipekee zaidi kuwahi kutengenezwa.

Imetengenezwa na body ya kioo kwa asilimia kubwa , mbele na Nyuma .

Pia inatoa ishara kwa mwanga unao pop up inapo ingia notification.

Pia inascreen ndogo upande wa nyuma inayo onesha details kadhaa , kikubwa zaidi ni muundo wake…\

Wa nyuma kuonekana wa kipekee kwa kuweka transparent back glass unayoweza kuona kilichomo ndani .

Bajeti yake inaanzia 960,000 tsh kwa simu kama 2a na kubwa kabisa tunauza kwa 2,100,000 ya 4 a Pro.

6. MOTOROLA

Mbaka sasa hakuna simu ya kutoka Japan iliyo weza kushindana na Motorola .

Hiin ni kutokana na ubora wa vioo vyao na camera huku wakinogesha na muundo wa kipekee.

Motorola inafanya vizuri toka kitambo lakini ni simu ambayo haipewi kipaumbele katika nchi nyingi za Afrika.

Hizi zipo used na Mpya… bajaeti yake ni kuanzia 800,000 na kuendelea.

7.HUAWEI

Hapa ni kama wachina waliamua kuwekeza nguvu zao zote kwenye hii kampuni.

Simu zao zinasifika kuwa na teknolojia ya kipekee mno unayoweza kuhamisha picha na files kwa kubeba kupitia mkono wako tu.

Zinakuja na matoleo mengi sana , na kila toleo likiwa nna ubora mkubwa wa camera na Battery.

Dukani kwetu ya bei ya chini ni NOVA 15 MAX bei ni 980,000 na ya bei ya juu zaidi ni HUAWEI MATE XT ikiwa ni 9,890,000 baabkubwa.

Nb. …..

Hizi ni simu original tu na zimechukuliwa moja kwa moja kutoka kampuni husika.

Epuka watu wanao uza kwa bei kiduchu sana kwa sababu simu hizi ndizo zinaongoza kutolewa Coppy na fake.

Hivyo jihadhari nunua kwa watu wa kuaminika tu

Kama unapata wasi wasi tupigie, +255 757468193 au tembelea dukani kwetu tupo kariakoo , aggrey na msimbazi
Dar na mikoani unatumiwa unaipata , delivery kwetu ni bureee kabisa.usisahau kutufollow instagram , facebook na Tiktok@simukidigitali …. Tunauza SIMU na LAPTOP.
Labda ungetaja model
Lakini kusema tu Nothing, Xiaomi,Vivo ..
 
Nawakumbusha samsung,google pixel,xiomi,vivo,sony,motorola,1+ zote ni android moja na akuna utofauti wa android ya samsung,google pixel,vivo wala 1+ apo utofauti ni chips tu ndio zinye kuleta radha,nguvu,ubora na mionekano katika kila kampuni ila ukija vioo,lens,betri,camera sometimes hutengenezwa na mtu mmoja (mf muunda kioo cha samsung na iphone ni mmoja,muunda chips za huawei,honor ni mmoja,munda camera wa xiomi,oppo,aquos ni mmoja pia sony huwatengenezea makampuni mengi camera,spika ila yeye kashindwa vita na watu anaowasapot
Huwezi itumia pixel na samsung kisha useme hakuna utofauti wa hizo android zao. Either wewe sio mtumiaji mkubwa wa simu hadi kuona tofauti zao au labda hujawahi tumia hizo simu.

Clean android ya pixel ni light ukicompare na ONE UI ya Samsung. Huwezi sema Samsung android yake inafanana na Xperia eti kisa ni android.
 
Kuna mwamba anaitwa doccomo aliwai kuleta simu akashindwa ila alivyoanza kuuza vipuli kwa samsung doccomo,xiomi doccomo,aquos doccomo hao watu wameuza sana pia hata infinix sasa anatumia kioo toka samsung,camera toka samsung,spika na mfumo wa saut toka jbl ila bado chip ni mbovu haina uwezo )
Doccomo tena?
 
Mafundi simu muwe mnataja tu aina za Simu ila mkiwachanganya Samsung na iPhone kwenye mashuka yenu sijui nothing phone mnakosea sana aisee..
Uko sahihi, Samsung na Iphone wako daraja la tofauti kabisa. Anayebisha haya nina uhakika hajawahi kutumia iphone wala samsung high end.
 
Samsung S 22,23 na 24 kwa hizi tunazozitumia harafu mtu akutajie sijui pixel unabaki kushangaa tu hiyo 26 inakaa sana na chaji karibu masaa 24 mpaka 31 hiyo ndio ya kuivutia pumzi sio hizo simu zao kila kukicha matangazo ya uongo..
 
Samsung hata kama mid range phone aisee unaweza kaa nayo muda sana japo ndio hivyo ziko nyingi
Kwani simu kua nyingi ni shida gani c heri uwe na kitu kilichobora
 
Hizi simu zisiwachanganye hasa kwenye hardware maana muda mwingine wote wanabeba chimbo moja mf camera,kioo,chip (kuna kampun inauza sana chip inaitwa snapdragon,kuna kampuni inauza sana kioo gollira grass,sony wanauza sana camera)
 
Back
Top Bottom