Rais Samia: Tuliupa jina 'Magufuli City' mwaka 2019, sasa tumekamilisha ujenzi Mji wa Serikali

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Rais Samia Suluhu, amezindua rasmi majengo ya wizara na taasisi za serikali katika Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma, akimpongeza Hayati Dkt. John Pombe Magufuli kwa uamuzi na uthubutu wake wa kuanzisha mchakato huo mwaka 2016.

Rais Samia amekumbusha kuwa mwezi Aprili 2019, Hayati Magufuli alizindua majengo ya awali ya kujishikiza yaliyopewa jina la 'Magufuli City', hatua iliyowezesha shughuli za utoaji huduma kuanza rasmi makao makuu ya nchi.

Soma Pia: Prof. Kabudi abananishwa kuhusu kufutwa kwa Jina Magufuli City pale Dodoma

Rais Samia Suluhu, amezindua rasmi majengo ya wizara na taasisi za serikali katika Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma, akimpongeza Hayati Dkt. John Pombe Magufuli kwa uamuzi na uthubutu wake wa kuanzisha mchakato huo mwaka 2016.

Rais Samia amekumbusha kuwa mwezi Aprili 2019, Hayati Magufuli alizindua majengo ya awali ya kujishikiza yaliyopewa jina la 'Magufuli City', hatua iliyowezesha shughuli za utoaji huduma kuanza rasmi makao makuu ya nchi.

Asante sana mama,
Rais Dr Samia Suluhu Hassan.

we are proud of you as a nation mama 🤝
 
Rais Samia Suluhu, amezindua rasmi majengo ya wizara na taasisi za serikali katika Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma, akimpongeza Hayati Dkt. John Pombe Magufuli kwa uamuzi na uthubutu wake wa kuanzisha mchakato huo mwaka 2016.

Rais Samia amekumbusha kuwa mwezi Aprili 2019, Hayati Magufuli alizindua majengo ya awali ya kujishikiza yaliyopewa jina la 'Magufuli City', hatua iliyowezesha shughuli za utoaji huduma kuanza rasmi makao makuu ya nchi.

Wazazi wetu, watoto wetu, biashara zetu, kazi zetu tupotezee au sio???
 
Back
Top Bottom