a4afrika
JF-Expert Member
- Apr 13, 2012
- 1,799
- 1,842
Hapana, ni kwa pesa ya wizi.alijenga kwa hela yake ama?
Hapana, ni kwa pesa ya wizi.alijenga kwa hela yake ama?
October 29 hio watu wanaandamana wamebeba picha kuuubwa ya Magufuli km kumuenzi jamaa wametoka huko na mabunduki yao wamekuja kuwamiminia risasi wote wakafa palepale, unataka kusemaje?So mbona hajasema kama anabadili jina Rasmi
Sijapenda kuliacha jina la Magufuli, yeye ndo alitoa msukumo WA vitu vingi kwanini mnataka tumsahahu makomredi hata hili mnaweka uchawaAsante sana mama,
Rais Dr Samia Suluhu Hassan.
we are proud of you as a nation mama 🤝
Tanzania kuna vitu vingi tunaweza kumuenzi hayati DR J.P. Magufuli gentleman, hakuna haja ya kupata tabu kwenye hilo ambalo kwakweli ni dogo mno gentleman 🐒Sijapenda kuliacha jina la Magufuli, yeye ndo alitoa msukumo WA vitu vingi kwanini mnataka tumsahahu makomredi hata hili mnaweka uchawa