Magufuli Bus Terminal is a bus terminal located in Dar es Salaam, Tanzania.It started operating in November 2020 and serves over 3000 buses daily. It was officially opened by the late Dr. John Magufuli on 24 February 2021.
Nimesikia Mji wa serikali uliokuwa unaitwa Magufuli City sasa umebadilishwa jina kuwa Mji wa Serikali Mtumba. Hili ni jambo jema sana na hatua nzuri zilizochukuliwa na serikali, tunaomba wasiishie hapo tu, vituo vya SGR navo vibadilishwe majina, kwanza ni majina marefu sana hata hayapendezi...
Rais Samia Suluhu, amezindua rasmi majengo ya wizara na taasisi za serikali katika Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma, akimpongeza Hayati Dkt. John Pombe Magufuli kwa uamuzi na uthubutu wake wa kuanzisha mchakato huo mwaka 2016.
Rais Samia amekumbusha kuwa mwezi Aprili 2019, Hayati Magufuli...
Baada ya hotuba ya Waziri Mhe. Kabudi, mbele ya waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya uzinduzi wa Mji wa Serikali, ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anatarajiwa kuwa mgeni rasmi, mwandishi wa habari Awadhi Omary kutoka KANIKI TV ameibua hoja kuhusu jina la Hayati Dkt. John Pombe...
Muandishi ashangazwa kuhusu matumizi ya neno Mji wa serikali ambapo mara nyingi ulikuwa ukifahamika kama Magufuli City, lakini jina hilo limekuwa nadra sana kutamkwa.
Baada ya hotuba ya Waziri Mhe. Kabudi, mbele ya waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya uzinduzi wa Mji wa Serikali, ambapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.