Mliambiwa huyu mtu ni kichaa hamkutaka kusikia, kwenye nchi zinazofanya vetting ya kweli asingepata hata nafasi ya kuchukuwa fomu ya kugombea.Hizo ni kodi za wananchi, huyu jama katumia vibaya kodi zotu kwa kutaka kupata sifa.
Wanazika leo,hujaenda?Yatima kila mkiamka lazima mje kujamba mashuzi JF.
Wakulamu ni deep state au Tiss huyu jama alipenyezaje mpaka kupata afisi ya juuMliambiwa huyu mtu ni kichaa hamkutaka kusikia, kwenye nchi zinazofanya vetting ya kweli asingepata hata nafasi ya kuchukuwa fomu ya kugombea.
Ni kijana wa Mkapa, hii nchi inaendeshwa na Magod Father, kama huna Godfather imekula kwako.Wakulamu ni deep state au Tiss huyu jama alipenyezaje mpaka kupata afisi ya juu
Ukishakuwa muuwaji tu unafuta mazuri yako yote.Tuta mkumbuka kwa mazuri yake japokua na mabaya ayakosi
kazi nzuriVijana wengi wamepata Ajira kutoka mikoa mbalimbaliView attachment 2623746View attachment 2623747View attachment 2623748View attachment 2623749View attachment 2623750
Mahakama kuu ipo makuru Dodoma Imekamilika 90% asilimiaKwenye hili namsifu hayati, hii ni njia nzuri ya kutawanya maendeleo.
Naomba nimshauri mama yetu kipenzi cha wa-Tanzania kwamba siyo lazima mihimili yote ihamie Dodoma.
kama serikali iko Dodoma basi muhimili wa mahakama ubakie Dar
Bunge lenye watu wenye qualification ya darasa la nne yaani kujua kusoma nakuandika walipeleke Sumbawanga
Trump pia ni kichaa lakini alikuwa Rais wa US taifa lenye VETTING kuliko Taifa lolote DunianiMliambiwa huyu mtu ni kichaa hamkutaka kusikia, kwenye nchi zinazofanya vetting ya kweli asingepata hata nafasi ya kuchukuwa fomu ya kugombea.
cheti feki mnahasira nyinyi sn,amewapiga dole la kati kasepa jinsi ya kumrudishia ndo shidaNaomba kuona na magufuli city ya chato mleta mada