Rais Samia: Tumesikitishwa na kuvunjika kwa usalama katika nchi kadhaa hasa Eastern DRC

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079

Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania na Angola zimejadiliana kuhusu hali ya usalama na utulivu katika ukanda wa Kusini mwa Afrika, pamoja na migogoro inayoendelea katika maeneo mbalimbali, hususan Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na eneo la Maziwa Makuu. Amesema nchi hizo zimezungumzia namna ya kuunga mkono juhudi za kutafuta amani katika maeneo yenye migogoro.

Akizungumza leo, Oktoba 29, 2026, Ikulu ya Dar es Salaam, katika mkutano na Rais wa Angola, João Manuel Gonçalves Lourenço, Rais Samia amesema pia amemweleza kiongozi huyo kuhusu nafasi yake ya kuwa kinara wa masuala ya afya ya mama na mtoto katika Umoja wa Afrika (AU), akimwomba aungane naye katika juhudi za kuimarisha afya ya mama na mtoto.

Amesema Tanzania inapenda kuona Angola ikiunga mkono na kuendeleza mkakati wa kupunguza vifo vya wanawake wakati wa kujifungua, unaojulikana kama Zero Mama Kufa Wakati wa Kujifungua, ikiwa ni sehemu ya ushirikiano wa nchi hizo katika sekta ya afya. Rais Lourenço yupo nchini Tanzania kwa ziara ya siku tatu, akiwasili Oktoba 28, 2026.
 
Na amefurahishwa Jinsi vyombo vya Dola vilivyoua Watanzania mwaka Jana.
 
well done Dr Samia Suluhu Hassan the President of Tanzania 🤝
 
Umetoka id moja kwenda nyengine email moja
Screenshot_20261029-135611.png
Screenshot_20261029-135606.png
 
Kutoka Oktoba 29 ya Machafuko Hadi SAMJO za Lishe Ikulu:, Diplomasia ya Kinafiki Inayoepuka Machungu ya Ndani
Inasikitisha na kutia simanzi kuona kwamba leo, tarehe ya maadhimisho ya mwaka mmoja tangu kumbukumbu mbaya na ya kihistoria ya matukio na machafuko ya uchaguzi ya Oktoba 29, 2025, Rais Samia Suluhu Hassan haonyeshi hata chembe ya mguso, majuto, au uwajibikaji wa kitaasisi kwa wahanga na familia zilizopoteza wapendwa wao. Badala ya kiongozi mkuu kutumia siku hii muhimu kufanya tafakari ya kina ya haki, uponyaji wa kitaifa, na uwajibikaji wa kisheria kwa yaliyotokea chini ya urais wake, amechagua kupiga SAMJO za kisiasa kwa kuanzisha ajenda za lishe na afya ya kikanda mbele ya mgeni wake, Rais wa Angola.

Kiuweledi, hatua hii inajionyesha wazi kama mkakati wa makusudi wa kupiga "SAMJO" (kuhama au kukwepa kwa ujanja) ili kusafisha taswira yake kimataifa na kupoteza maboya ukweli mchungu unaorindima mioyoni mwa Watanzania leo. Huwezi kuwa mstari wa mbele kuhubiri utulivu wa DRC Bone na ukanda wa Maziwa Makuu, huku nyumbani kwako ukikwepa kuiponya nchi dhidi ya majeraha makubwa ya uminywaji wa demokrasia na haki za binadamu yaliyofanyika siku kama ya leo. Sauti ya Tanzania itakosa mamlaka ya kimaadili (moral authority) kikanda ikiwa viongozi wetu wataendelea kutumia diplomasia ya nje kama ngao ya kufunika ukandamizaji na vilio vya ndani. Kiongozi makini huanza kwa kutibu vidonda vya familia yake kabla ya kwenda kushona majeraha ya majirani zake.
 
Back
Top Bottom