Rais Samia: Nchi zinazofanya vizuri wakati mwingine husingiziwa kuvunja haki za binadamu

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Akizungumza leo Novemba 2, 2026, Ikulu Chamwino, katika uapisho wa Viongozi aliowateua hivi karibuni, akiwemo Omar Ali Omar kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, na Jaji Mstaafu Wilfred Peter Dyansobera kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi pamoja na Makamishna wa tume hiyo, Rais Samia amewataka viongozi hao wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kutojizuia kusubiri malalamiko pekee, bali kuwa macho na shutuma zinazoelekezwa dhidi ya nchi kimataifa.

"Dunia ya leo iko juu chini; nchi zinazofanya vizuri wakati mwingine husingiziwa kuvunja haki za binadamu kwa sababu hazipendezi machoni pa wengine, wakati zile zenye nguvu (power) zinazovunja haki hazihesabiwa hivyo."

Soma pia Uapisho wa Viongozi walioteuliwa hivi karibuni, Ikulu Chamwino

Akizungumza leo Novemba 2, 2026, Ikulu Chamwino, katika uapisho wa Viongozi aliowateua hivi karibuni, Rais Samia amesema;

Maneno ya mipasho nani atakuelewa mbibi muuaji wewe
 
Akizungumza leo Novemba 2, 2026, Ikulu Chamwino, katika uapisho wa Viongozi aliowateua hivi karibuni, Rais Samia amesema;

"Dunia ya leo iko juu chini; nchi zinazofanya vizuri wakati mwingine husingiziwa kuvunja haki za binadamu kwa sababu hazipendezi machoni pa wengine, wakati zile zenye nguvu (power) zinazovunja haki hazihesabiwa hivyo."
So inahalalisha Okt29?
 
Akizungumza leo Novemba 2, 2026, Ikulu Chamwino, katika uapisho wa Viongozi aliowateua hivi karibuni, akiwemo Omar Ali Omar kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, na Jaji Mstaafu Wilfred Peter Dyansobera kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi pamoja na Makamishna wa tume hiyo, Rais Samia amewataka viongozi hao wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kutojizuia kusubiri malalamiko pekee, bali kuwa macho na shutuma zinazoelekezwa dhidi ya nchi kimataifa.

"Dunia ya leo iko juu chini; nchi zinazofanya vizuri wakati mwingine husingiziwa kuvunja haki za binadamu kwa sababu hazipendezi machoni pa wengine, wakati zile zenye nguvu (power) zinazovunja haki hazihesabiwa hivyo."

Soma pia Uapisho wa Viongozi walioteuliwa hivi karibuni, Ikulu Chamwino
Kuna muda unaweza kujiuliza hivi huyu anayajua yanayo endelea kwa uhalisia au hajui maana anaongea kama amekatwa kichwa
 
Akizungumza leo Novemba 2, 2026, Ikulu Chamwino, katika uapisho wa Viongozi aliowateua hivi karibuni, akiwemo Omar Ali Omar kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, na Jaji Mstaafu Wilfred Peter Dyansobera kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi pamoja na Makamishna wa tume hiyo, Rais Samia amewataka viongozi hao wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kutojizuia kusubiri malalamiko pekee, bali kuwa macho na shutuma zinazoelekezwa dhidi ya nchi kimataifa.

"Dunia ya leo iko juu chini; nchi zinazofanya vizuri wakati mwingine husingiziwa kuvunja haki za binadamu kwa sababu hazipendezi machoni pa wengine, wakati zile zenye nguvu (power) zinazovunja haki hazihesabiwa hivyo."

Soma pia Uapisho wa Viongozi walioteuliwa hivi karibuni, Ikulu Chamwino
Shenzi sana bi Eda mother.f.ck.er
 
Ni kweli Mchambawima hakuna utekaji,hakuna mauaji,hakuna kesi za kisiasa tuko vizuri. Rushwa ni 0%,watu hawali kwa urefu wa kamba zao na serikali yetu iliyotokana na uchaguzi huru,halali wa haki na wa kuaminika inaupiga mwingi.
Akizungumza leo Novemba 2, 2026, Ikulu Chamwino, katika uapisho wa Viongozi aliowateua hivi karibuni, akiwemo Omar Ali Omar kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, na Jaji Mstaafu Wilfred Peter Dyansobera kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi pamoja na Makamishna wa tume hiyo, Rais Samia amewataka viongozi hao wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kutojizuia kusubiri malalamiko pekee, bali kuwa macho na shutuma zinazoelekezwa dhidi ya nchi kimataifa.

"Dunia ya leo iko juu chini; nchi zinazofanya vizuri wakati mwingine husingiziwa kuvunja haki za binadamu kwa sababu hazipendezi machoni pa wengine, wakati zile zenye nguvu (power) zinazovunja haki hazihesabiwa hivyo."

Soma pia Uapisho wa Viongozi walioteuliwa hivi karibuni, Ikulu Chamwino
Ni kweli kabisa nchi yetu inasingiziwa
 
Na wananchi wa hizo nchi wakilalamika uvunjwaji wa haki za binadanu, nao wanasema hivyo kwa sababu ya wivu wa wengine?
 
Back
Top Bottom