Rais Samia: Nchi zinazofanya vizuri wakati mwingine husingiziwa kuvunja haki za binadamu

Akizungumza leo Novemba 2, 2026, Ikulu Chamwino, katika uapisho wa Viongozi aliowateua hivi karibuni, akiwemo Omar Ali Omar kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, na Jaji Mstaafu Wilfred Peter Dyansobera kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi pamoja na Makamishna wa tume hiyo, Rais Samia amewataka viongozi hao wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kutojizuia kusubiri malalamiko pekee, bali kuwa macho na shutuma zinazoelekezwa dhidi ya nchi kimataifa.

"Dunia ya leo iko juu chini; nchi zinazofanya vizuri wakati mwingine husingiziwa kuvunja haki za binadamu kwa sababu hazipendezi machoni pa wengine, wakati zile zenye nguvu (power) zinazovunja haki hazihesabiwa hivyo."

Soma pia Uapisho wa Viongozi walioteuliwa hivi karibuni, Ikulu Chamwino
Marehemu wakili msomi hakukosea aliposema tunaongozwa na idiots.
 
Nimesikiliza nikahuzunikana nikaangua kilio nikawasikilizisha na wengine 4 kila mmoja kwa wakati wake nao wakalia mno karibu wote waligoma kutoa wasitoe maoni kuhusu kinachowaliza ila.mmoja tu akafunguka akisema anamuonea huruma raisi wake kwa kuwa hajui hata anachikiongea na amepotoka mno
 
Nimesikiliza nikahuzunika na nikaangua kilio,nikawasikilizisha na wengine 4 kila mmoja kwa wakati wake nao wakalia mno hata wasitoe maoni kuhusu kinachowaliza ila.mmoja tu akafunguka akisema anamuonea huruma rais wake kwa kuwa hajui hata anachokuzungumza
 
Huyu Bibi kakosa muelekeo,Kila Akifungua kinywa,anaongea vitu vya hovyo kabisa!
Kwa kweli inasikitisha sana! Yaani huyu mtu, kuua na kuteka watu ndiyo kufanya vizuri? Kwa kweli, Mungu atusaidie, nchi ipo katika laana kubwa!! Mtawala anateka watu, anaua watu, anabambikia watu kesi, halafu anajisifia kuwa uovu wote huo anaoufanya dhidi yabinadamu wenzake eti ni kufanya vizuri!!
 
Nilivyoelewa hao wateule tayari jukumu lao kubwa ni kwenda kufanya kazi kubwa ni kujibishana na mataifa ya nje kuhusu Haki za binadamu kwa kigezo cha maendeleo
Ndio.

Na hata hizo CV anazosema amezipitia alitaka tu kujua hawa watu ni moto chini kwenye harakati za haki au ni mlenda mlenda. Anatafuta mlenda mlenda.

Maana mtu type za Lissu alipomaliza tu chuo akaenda migodini kupambana na wawekezaji wanaomwaga Mercury kwenye mito na mashamba, utampa rungu awe Mkuu wa Tume za haki?

Na pia anapenda sana vitoto vitoto ambavyo anaweza kuvicontrol kama midoli. Au vizee vilivyostaafu enzi za Mwinyi na Mkapa (Generali Waitara, Zakia Megji, Anna Makinda) navyo ni rahisi kuvi pelemba pelemba unavyotaka kwa saab kazi ya mkataba uliyompa ni favor kubwa.
 
Akizungumza leo Novemba 2, 2026, Ikulu Chamwino, katika uapisho wa Viongozi aliowateua hivi karibuni, akiwemo Omar Ali Omar kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, na Jaji Mstaafu Wilfred Peter Dyansobera kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi pamoja na Makamishna wa tume hiyo, Rais Samia amewataka viongozi hao wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kutojizuia kusubiri malalamiko pekee, bali kuwa macho na shutuma zinazoelekezwa dhidi ya nchi kimataifa.

"Dunia ya leo iko juu chini; nchi zinazofanya vizuri wakati mwingine husingiziwa kuvunja haki za binadamu kwa sababu hazipendezi machoni pa wengine, wakati zile zenye nguvu (power) zinazovunja haki hazihesabiwa hivyo."

Soma pia Uapisho wa Viongozi walioteuliwa hivi karibuni, Ikulu Chamwino

Sio kweli, serikali ya Samia haina haki, haina uhalali wa kimaadili, imeingia madarakani kwa nguvu na kwa damu nyingi za watu.

Vv
 
Akizungumza leo Novemba 2, 2026, Ikulu Chamwino, katika uapisho wa Viongozi aliowateua hivi karibuni, akiwemo Omar Ali Omar kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, na Jaji Mstaafu Wilfred Peter Dyansobera kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi pamoja na Makamishna wa tume hiyo, Rais Samia amewataka viongozi hao wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kutojizuia kusubiri malalamiko pekee, bali kuwa macho na shutuma zinazoelekezwa dhidi ya nchi kimataifa.

"Dunia ya leo iko juu chini; nchi zinazofanya vizuri wakati mwingine husingiziwa kuvunja haki za binadamu kwa sababu hazipendezi machoni pa wengine, wakati zile zenye nguvu (power) zinazovunja haki hazihesabiwa hivyo."

Soma pia Uapisho wa Viongozi walioteuliwa hivi karibuni, Ikulu Chamwino
 
Attachments

  • 6429167-4379e723897040c642f3e3d6da3950de.mp4
    37.1 MB
Samuya aliiba uchaguzi nchi nzima bila aibu akajipa ushindi wa 98% kitu ambacho only Mobutu na saddam waliwahi kupata na madkteta ya chama kimoja, hakuishia hapo, akazuia haki za kuandamana na mikutano ya kisiasa, akawafungulia kesi wapinzani,akawateka na kuwaua, kibaya zaidi akaua maelfu ya watu wasio kuwa na silaha na kuwasingizia kesi za uhaini , leo anaongelea haki 🤔,atakuwa mwehu huyu
 
Back
Top Bottom