haki za binadamu

  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Novemba 5, 2026 Tanzania kujitetea mbele ya Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa

    Hali ya haki za binadamu nchini Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itachunguzwa kwa mara ya nne na Kikundi Kazi cha Mapitio ya Jumla ya Hali ya Haki za Binadamu (Universal Periodic Review – UPR) cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, siku ya Alhamisi, Novemba 5, 2026, kuanzia saa 14:30...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Baraza la Umoja wa Mataifa la Haki za Binadamu linaanza kufanya tathmini ya hali ya haki za binadamu katika nchi 14 duniani ikiwemo Tanzania

    Rekodi za haki za binadamu za nchi 14 zinatarajiwa kuchunguzwa wakati wa kikao cha 53 cha Kikundi Kazi cha Mapitio ya Mara kwa Mara ya Hali ya Haki za Binadamu (UPR) cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, kitakachofanyika Geneva kuanzia Novemba 2 hadi 13, 2026. UPR ni utaratibu wa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nchi zinazofanya vizuri wakati mwingine husingiziwa kuvunja haki za binadamu

    Akizungumza leo Novemba 2, 2026, Ikulu Chamwino, katika uapisho wa Viongozi aliowateua hivi karibuni, akiwemo Omar Ali Omar kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, na Jaji Mstaafu Wilfred Peter Dyansobera kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi pamoja na...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ACT: Tanzania ipo katika mkwamo wa Kisiasa, sababu ya ukiukwaji wa Demokrasia, Utawala Bora na Haki za Binadamu

    TAARIFA KWA UMMA HAKUNA MARIDHIANO BILA UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI Leo, Novemba 1, 2026. Chama cha ACT Wazalendo kimeeleza kuwa Tanzania ipo katika mkwamo mkubwa wa kisiasa unaotokana na ukiukwaji wa misingi ya demokrasia, utawala bora na haki za binadamu, na kusisitiza kuwa hakuna maridhiano...
  5. Nyendo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa haki za binadamu, Mombasa walaani vikali kutekwa kwa Mwanaharakati wa Upinzani Tanzania, Twaha Mwaipaya

    Wanaharakati wa haki za binadamu mjini Mombasa wamelaani vikali tukio lililoripotiwa la kutekwa nyara kwa mwanaharakati wa upinzani wa Tanzania, Twaha Mwaipaya, wakitaka mamlaka zitoe majibu kuhusu mahali alipo. Soma pia Mwanaharakati wa Tanzania Twaha Mwaipaya aripotiwa kutekwa Kamulu, Kenya
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Watetezi wa haki za Binadamu Kenya, wapaza sauti kutekwa kwa Mwaipaya

    Mtandao na Muungano wa Mashirika ya Kiraia, Watetezi wa Haki za Binadamu na Wanaharakati barani Afrika (The Pan-African Solidarity Network- PASNET) umelaani vikali kile ulichokieleza kuwa ni kutekwa kwa mwanaharakati wa Tanzania na mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Twaha...
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tundu Lisu kuamua kujidhuru na kujiangamiza mwenyewe kwa njaa kabla ya hukumu yake, ni kutafuata umaarufu na public sympathy isiyo na tija

    Kwasababu kwa kawaida, mtu mwenye changamoto ya afya ya akili ndie pekee huwaza, huamua na kutenda mambo au vitu vinavyo mdhuru, vinavyo muumiza, vinavyo muathiri na pengine vyenye uwezekano mkubwa wa kumuangamiza yeye mwenyewe. Je, mtetezi huyo wa haki za binadamu wa mchongo, anakusudia...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tundu Lisu hana record yoyote ya kuaminika kwamba ni mtetezi wa haki za binadamu iwe ni kwao Singida, Tanzania, Africa au kokote duniani.

    Na kwahivyo, hakustahili hata kuorodheshwa tu miongoni mwa watetezi wa haki za binadamu wa kuwania tuzo ya haki za binadamu ya kimataifa ya SHAKHAROV. Zaidi ya yeye tundu lisu kua mkiuka haki za binadamu na katiba ya nchi yake, kama kuna mdau yeyote wa heshima wa JF mwenye ushahidi wa records...
  9. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Baada ya Tundu Lisu kukosa tuzo ya Haki za Binadamu, huenda David MccAllister akaachia ngazi kama Mwenyekiti wa Kamati ya Haki za Binadamu Bunge la EU

    Kwasababu ndie aliependekeza jina la Tundu Lisu na inasemekana akalichomeka kwenye orodha kinyume na utaratibu, lakini pia ndie aliempigia kampeni ya nguvu sana Tundu Lisu kwa kutumia nafasi yake kama mwenyekiti wa kamati ya haki za binadamu, lakini pia kwa kutumia rasilimali za bunge lar EU...
  10. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Lissu ateuliwa kushindania tuzo ya haki za binadamu. Aibu kwa Samia na washauri wake

    Akishinda Samia na genge lake watapata aibu kubwa.👇
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania THBUB yapokea maoni kwa Waombaji Nafasi ya Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti, Makamishna na Makamishna Wasaidizi

    TANGAZO LA KUPOKEA MAONI KUHUSU WAOMBAJI WA NAFASI YA MWENYEKITI, MAKAMU MWENYEKITI, MAKAMISHNA NA MAKAMISHNA WASAIDIZI WA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA Kamati ya Uteuzi iliyoanzishwa kwa mujibu wa Ibara ya 129 (4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, ilitangaza kupitia...
  12. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Wakili Mpoki: Katiba mpya ni msingi wa kulinda haki za binadamu

    Wakili Mpale Mpoki, ambaye amekuwa katika taaluma ya sheria kwa zaidi ya miongo mitatu, amesema mabadiliko ya Katiba ni muhimu katika kujenga mfumo imara wa kulinda haki za binadamu nchini Tanzania. Mpoki, ambaye ameshiriki katika kesi mbalimbali zilizogusa haki za binadamu, uhuru wa kujumuika...
  13. Deus Jovin

    JamiiForums Tanzania Rasimu ya Muswada wa Sheria ya Kulinda "Mafundisho ya Taifa Kuhusu Jamii" ya Watanzania

    Balozi Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, Katibu Mkuu Kiongozi, akiongoza KIkao cha Baraza la Mawaziri =================================================================== JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS – TUME YA MIPANGO Kumb. Na: CEA.50/212/01/A 25 Septemba, 2026 Katibu Mkuu Kiongozi...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora imeng'olewa Meno

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amesema Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora nchini imeshindwa kuwa huru na kutekeleza wajibu wake kikamilifu. "Tume ya Haki za Binadamu kwa kweli haina meno. Imeng'olewa meno, sasa tunaipa kuwa itafune, haitaweza."...
  15. LopoLopo

    JamiiForums Tanzania World Whistleblower Award: David Kafulila kiongozi pekee aliyewahi kupewa Tuzo ya Mtetezi wa Haki za Binadamu kwa mapambano yake dhidi ya ufisadi

    == David Zacharia Kafulila was introduced by TICD to Tanzanians as the Executive Director of the Public Private Partnership Center in Tanzania. He is a highly accomplished Tanzanian professional with an extensive background in governance and public administration. His wealth of experience has...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda: Uwajibikaji ni misingi mkubwa wa haki za binadamu, kama hakuna uwajibikaji, hakuna haki inaweza ikapatikana

    Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, amesisitiza kuwa uwajibikaji ndio msingi mkuu wa haki za binadamu na usalama wa wananchi. Akizungumza katika mahojiano na Crown Media, Agosti 28, 2026, Sheikh Ponda ameeleza kuwa uwajibikaji unahakikisha viongozi na watendaji...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Padri Kitima: Tanzania imesimamia sana haki za binadamu mataifa mengine , Maaskofu wanasema haya pia yafanyike ndani ya Tanzania

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Charles Kitima, amesema Tanzania imekuwa ikisimamia na kutetea haki za binadamu, akisisitiza kuwa ni muhimu misingi hiyo hiyo iheshimiwe ndani ya nchi. "Tanzania imesimamia sana haki za binadamu. Sasa kama ilifanyika kwa kukimiza...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Madeleka: Hatuhitaji kutumia hela kuunda Tume ya Jaji Lila wakati tuna Tume ya haki za binadamu na Jeshi la Polisi

    Wakili Peter Madelekea akizungumza kwenye mahojiano na Crown Media Julai 30, 2026 amesema kuwa nchi tayari ina Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora iliyoundwa kwa mujibu wa Ibara ya 129(1) ya Katiba, yenye mamlaka kamili ya kikatiba na kisheria kuchunguza ukiukwaji wa haki za binadamuambayo...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ACT: Kuna ukiukwaji wa Haki za Binadamu kwa Wakazi wa Kitongoji cha Miyomboni - Bagamoyo wanashinikizwa kuhama

    Chama cha ACT Wazalendo kimesikitishwa na kinalaani vikali ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, ubomoaji wa makazi, uteketezaji wa mali, vitisho na ukatili unaofanywa na Kampuni ya Nolic kwa kushirikiana na Kampuni ya Kilimo ya Azania Noble dhidi ya wananchi wa Kitongoji cha Miyomboni Kijiji...
  20. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania “Haki za binadamu”, ushuru wa Marekani umepata kisingizio kipya

    Serikali ya Marekani hivi karibuni imetangaza mpango mpya wa ushuru dhidi ya bidhaa zinazoagizwa kutoka nchi za nje. Kulingana na mpango huo, viwango vya ushuru vinaanzia asilimia 10 hadi 12.5, na kuhusisha karibu washirika wakuu wake wote wa kibiashara, ikiwa ni pamoja na China, Umoja wa Ulaya...
Back
Top Bottom