Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Charles Kitima, amesema Tanzania imekuwa ikisimamia na kutetea haki za binadamu, akisisitiza kuwa ni muhimu misingi hiyo hiyo iheshimiwe ndani ya nchi.
"Tanzania imesimamia sana haki za binadamu. Sasa kama ilifanyika kwa kukimiza haki za binadamu katika mataifa mengine eh maaskofu wanasema haya pia yafanyike ndani ya nchi yetu."
"Maaskofu wamejifunza kwenye nchi zingine wameona nchi zingine zilitoka kwenye mkwamo kwa njia ya watu kukiri ukweli na kusameheana."
Soma Pia: Rais Samia akutana na Viongozi wa TEC - Ikulu, Chamwino
"Serikali yenyewe labda imeona utaratibu wa hizo tume unatosha. Basi tuna Subiri tuone matokeo yake