Ngengemkenilomolomo
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 316
- 549
Wakuu
Nathibitisha kauli hii kwa kiangalia kinachoendelea kwa missgland
Tunaonesha ushirikiano na upendo wa hali ya juu sana lakin bahati mbaya hawa mastaa tunaowaonesha upendo tukipata shida hawasimami kabisa na sisi,timu za mpira tunazozichangia mpk faini tukipata matatizo hawasimami kabsa na sisi wala kuwa upande wetu
Kutoka ndani ya moyo wangu nataman sana hyo tuzo ya missgland iende Ecuador tuu
Those celebrities hawajali kabisa kuhusu sisi