upendo

Upendo Ni Pamoja is an album by pianist Ramsey Lewis which was recorded in 1972. It was his first release for the Columbia label, after a decade with Chess Records in Chicago.

View More On Wikipedia.org
  1. Mindyou

    LGE2024 Dotto Biteko: Jitokezeni kupiga kura ili "kumlipa" Samia kwa upendo kufuatia miradi mbalimbali ya maendeleo

    Wakuu, Hivi kumbe kuna baadhi ya wanaCCM wanapiga kura ili kumshukuru Rais? Doto Biteko amewataka WanaCCM Bukombe kujitokeza kupiga kura ya kuwachagua viongozi wao katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa kama shukrani kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa miradi mingi ya maendeleo iliyotekelezwa...
  2. L

    Rais Samia amejaa Upendo na Huruma kubwa sana kwa Watanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Kama kuna kitu tutateseka ,kuhangaika na kuchukua muda mrefu .basi ni kumpata Kiongozi Mwingine aina ya Rais Samia katika Taifa hili.Kiongozi mwenye huruma na upendo mkubwa sana kwa watanzania. Rais Samia Ni kiongozi ambaye anapozungumza juu ya Maisha ya watanzania...
  3. R

    Je huyu binti ana upendo na Mimi kweli?

    Habari wana JF,ipo hivi Kuna binti mgeni hapa mtaani kwetu, aliletwa familia moja awasaidie kazi za ndani. Si mnajua Tena akija mwanamke mpya lazima wanaume waanze process za kumunyatia. kifupi huyu manzi nilitokea kuvutiwa nae,si mnajua warang walivyo wazuri Siku moja natoka job nikakutana...
  4. Bi zandile

    Vidokezo vitatu vya kufanya upendo wako ufanye kazi

    Upendo haupaswi kuumiza yeyote. Ikiwa unachotaka ni upendo unaodumu, unaweza kuupata hakika... There’s nothing wrong with you. And there’s nothing wrong with the one who broke your heart.. Hapa kuna vidokezo vitatu… Moja, upendo wa kudumu ni ujuzi, hauji kwa bahati. Love can be...
  5. B

    Chaguzi si uadui tujifunze kwa wenzetu waliko busy kugawa upendo. Trump apika na kugawa chipsi mgahawani!

    Chaguzi hushindwa kwa kuwavutia wapiga kura: Chaguzi hazishidwi kwa shinikizo au wizi: Kuna ya kujifunza hapa kama tuna macho lau masikio!
  6. B

    Iran, Hezbollah na wenzao mfano mzuri wa upendo wa Yesu Kristo aliyetufia msalabani

    Nimeguswa kuandika uzi huu kutokana na bandiko ninaloliweka hapo juu. Injili imesheni upendo mkuu usiokuwa na kifani aliokuwa na Yesu Kristo na Mungu baba kutupenda mno sisi hata akamtoa mwanawe wa pekee kuja kutufia ili tusipotee. Yohana 3:16 - 17: "Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda sana...
  7. Surya

    Walio wengi hawaelewi nini maana ya Upendo na Ukoje.

    Niseme machache huku nikitamani kusikia testimonies za wengine zinasemaje. Upendo: Tunajifunza kupitia watu walio tuzunguka na matukio yanayotuzunguka. Pia kupitia Elimu mashuleni na Media imebeba nafasi kubwa ya kutujuza mambo mengi.. Ukiangalia hata zile movie za Kanumba na Ray zina maudhui...
  8. GENTAMYCINE

    Tanzania ya Rais Samia ndiyo tunaitaka kwani ni ya amani, utu na upendo na wala hakuna mauwaji na mabaya kama ya kwingineko duniani

    Mwili wa mfanyabiashara wa madini ya ujenzi, David Mollel mkazi wa Kata ya Moivaro, umekutwa ukining’inia kwenye mti juu ya Mlima Oldonyowas, jirani na eneo linalotumika kwa maombi. Inadaiwa Mollel mwenye umri wa kati ya miaka 50 na 55, aliuawa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia Jumanne...
  9. RIGHT MARKER

    Unajisifu una hela lakini umetelekeza mtoto

    📖Mhadhara wa 25: Mwanaume unaanzaje kukimbia majukumu ya kulea mtoto au watoto wako. Mwanaume rijali aliyekamilika hakimbii majukumu ya kulea damu yake, anaweza kumkimbia mwanamke aliyezaa nae lakini kamwe hakimbii jukumu la kumlea mtoto. Iwapo mwanaume rijali atamkimbia mwanamke aliyezaa nae...
  10. Kaunara

    Waafrika Upendo wa Dhati hatuna

    Kiukweli sisi waafrika hatuna upendo kabisa. Ni kitu ambacho kama tunajilazimisha tu kuwa nacho ila ndani yetu hakipo. Sio kwa wote ila kwa wengi wetu hatuna upendo. Badala ya upendo mwafrika kaumbiwa sifa. Aisee sisi watu tunapenda sifa haijawahi tokea duniani. Angalia tu misafara ya viongozi...
  11. fakhbros

    MOYO ULIOJAA BARAKA NA UPENDO:

    Amebarikiwa mwanaume anayeingia katika maisha ya mwanamke kwa nia ya kweli na ikhlasi. Yeye ndiye anayempa usalama na kumfanya ajisikie mrembo, mwenye kujiamini, na mwenye akili. Anamwalika katika ulimwengu wake wa matukio na zaidi ya yote, anahakikisha anahisi kupendwa, kuheshimiwa na...
  12. L

    Kwa moyo wa upendo Rais Samia amimina Millioni 425 kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya kijamii wilayani Longido

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, ameendelea kukonga mioyo ya mamilioni ya watanzania kwa moyo wake wa upendo,huruma ,kugusa Maisha ya watu,kuwajali wanyonge na kujinyenyekeza kwa watu. Ameendelea kuonyesha namna...
  13. Webabu

    Yahya Sinwar aipongeza Lebanon kwa moyo wao wa upendo kwa wapalestina kwa njia ya kupigana na Israel

    Kiongozi mkuu wa Hamas,ndugu Yahya Sinwar ametoa pongezi kwa viongozi wa Hizbullah ya nchini Lebanon kutokana na kuwaunga mkono wapalestina kwa njia ya kuwashambulia Israel bila kuchoka. Pongezi hizo zilitumwa kwa njia ya barua na kuwekwa wazi na vyombo vya habari vya Lebanon ni jibu la barua...
  14. robbyr

    Linda Upendo wako

    Naomba nikueleze ukweli wako. Kuna aliyekuumiza lakini hukupenda kulia hadharani ili usimfaye awe kumbukumbu za uchugu na majuto kwa sababu ulimpenda sana. Naamini ulimfundisha tafsiri ya upendo. Ndo maana nikiutazama moyo wako naona jinsi upendo ulivyojaa. Na kuna sauti inakunong'oneza...
  15. Eli Cohen

    Dini ipo ndani ya moyo wako. Dini ni upendo. Dini ni uwazi. Dini sio haya mashirika mnayoenda kuyafaidisha na kutimiza itikadi zao.

    Mmekuwa manipulated kwa enzi na enzi kumuunganisha Mungu na dini. Mmekuwa brainwashed kuona njia ya kumifikia Mungu ni dini. Mungu sio dini, Dini sio Mungu. Dini hizi ambazo viongozi wenu wanalindwa na mabaunsa huku wakiwahamasisha msiwe na hofu Mungu yuko na nyie. Dini hizi ambazo viongozi...
  16. Mi mi

    Upendo

    Upendo.
  17. Natafuta Ajira

    Wanawake wanakusubiri kwenye finish line

    Maisha ya mwanaume ni mbio za marathoni, ukiwa unaanza kwenye starting line, wanawake hatawakuona watakaa mbali na wewe, mpaka utashangaa hivi wengine wanapata wapi mademu au wake wa kuoa. Usivunjike moyo, focus yako iwe katika mbio za marathon, wanawake wapo kule kwenye finish line wamejipanga...
  18. fakhbros

    Kugusana na mpenzi wako ni lugha ya kimia ya upendo

    Kugusa ni lugha ya kimya ya upendo" huangazia athari kubwa ya mguso wa kimwili katika kueleza hisia, mapenzi, na upendo bila hitaji la mawasiliano ya mdomo. Njia hii ya mawasiliano isiyo ya maneno huzungumza moja kwa moja na moyo na nafsi, kuwasilisha hisia ambazo mara nyingi maneno hushindwa...
  19. Matteo Vargas

    Hakuna 'mchepukaji' mwenye sanaa ya upendo

    Kwanza tujue upendo ni nini kwa mujibu ya Biblia Takatifu. Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni; haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; hauhesabu mabaya; haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli. (1 Wakoritho 13: 4-6)...
  20. MwananchiOG

    GAMONDI : Kazi yako ni kusambaza upendo CHAMA: imeisha hiyo boss

    Kwa sasa kikosi cha Yanga kimekamilika mno kiasi kwamba kama kitaweza kutumia efficiency yake walau kwa 70% basi hata vilabu vingine vilivyotwaa ubingwa wa Afrika kama Al ahly, Wydad, Raja n.k vitapata taabu sana. Ubora wa wachezaji wa Yanga ni wa hali ya juu sana. Tukizungumzia utatu wa pale...
Back
Top Bottom