mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 7,894
- 22,679
Ndio . Kuna ambao kabisa wameacha kwenda kuwatembelea ndugu kama aunties, uncle n.k .
Kwa sababu muda mwingine wakienda kuwatembelea hawa wajomba na mashangazi ,zile kumbukumbu za maumivu ya utotoni (childhood traumas) walizozipitia wakiwa huko kwa akina ndugu zinajirudia na kuleta Hali ya huzuni kwenye nafsi.
Maza wa mine Kuna siku ameniuliza why sipendi kusalimia kwa akina auntie halafu najitenga sana na ndugu ? Sijawahi mpa sababu zaidi ya kumwambia Nikipata nafasi nitaenda!.
Kwa upande wangu -mara yangu ya kwanza na ya mwisho kukanyaga Dsm kwa Aunt ilikuwa 2010.😓😑😑
Na ninasikitika kusema kwamba Kuna baadhi ya ndugu pengine hatutakuja kuonana mpaka naingia kaburini.