Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Hhhhh umebadili mtazamo , mwanzo ulisema utatoa mchango sahivi umepiga nyundo zaidi umesema hata mchango hautoiKama vipi mchango sitoi na kwenye harusi siji. Harusi ibaki kuwa ni ya familia tu, sie wengine tuendelee na mishe zetu kama hakuna ulazima na umuhimu wa kwenda