Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,788
- 16,227
Yupo mzazi huko kijijini amekuwa Na usanii wa kuongea uongo, Mimi Na ndugu zangu wawili tumekuwa tukimpa msaada Kadiri ya uwezo wetu lakini mwisho wa siku Hali yake Ni Bora zaidi ya Jana, ukimnunulia nguo anauza, ukimnunulia vitu vya thamani anauza....nipo mbioni kumkatia Bima ya afya, Kituko Ni kuwa akipiga simu ya Kutoa taarifa kuwa anaumwa Ni Kama anataka kukata roho.
Ukimtumia pesa haendi hospitali anafanyia mambo yake......tulipofikia ndugu zangu wamejikata..nimebaki peke yangu..mliwezaje kuwasaidia wazazi wasanii Kama huyu..muongo, muongo, muigizaji...madogo tayari wamekosa Imani nae...anaweza kushinda amelala akisema yupo hoi lakini ukimpa pesa Na kutembea atatembea Na kucheka atacheka..