Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Umeeleweka sasa,msimsahau mama wakambo piaHakuishi Na Sisi huyu Sisi tumelelewa Na mama wa kufikia, au wa kambo
Umeeleweka sasa,msimsahau mama wakambo piaHakuishi Na Sisi huyu Sisi tumelelewa Na mama wa kufikia, au wa kambo
Hakuna kitu inakata kama kuombwa hela kila mara bila sababu ya msingi hata utume vipi atakuja na sababu tu.Yupo mzazi huko kijijini amekuwa Na usanii wa kuongea uongo, Mimi Na ndugu zangu wawili tumekuwa tukimpa msaada Kadiri ya uwezo wetu lakini mwisho wa siku Hali yake Ni Bora zaidi ya Jana, ukimnunulia nguo anauza, ukimnunulia vitu vya thamani anauza....nipo mbioni kumkatia Bima ya afya, Kituko Ni kuwa akipiga simu ya Kutoa taarifa kuwa anaumwa Ni Kama anataka kukata roho.
Ukimtumia pesa haendi hospitali anafanyia mambo yake......tulipofikia ndugu zangu wamejikata..nimebaki peke yangu..mliwezaje kuwasaidia wazazi wasanii Kama huyu..muongo, muongo, muigizaji...madogo tayari wamekosa Imani nae...anaweza kushinda amelala akisema yupo hoi lakini ukimpa pesa Na kutembea atatembea Na kucheka atacheka..
umeongea bonge la neno... wazazi wengi wa kiafrika ni wachawi sana. wanawaharibu wenyewe watoto wao.. tena ashukuru sana.Huyo ni mzazi wako, mambo ya ndani humalizwa ndani, sio mitandaoni. Yabebe madhaifu yake, ndio mzazi wako.
Shukuru tu mzazi wako sio mchawi.
Huyo ni mzazi wako, mambo ya ndani humalizwa ndani, sio mitandaoni. Yabebe madhaifu yake, ndio mzazi wako.
Shukuru tu mzazi wako sio mchawi.
Kwa haraka haraka tu huyo mzazi ni mwanaume ana videmu vya 2000 vinamchunaSio kwa ubaya ila mngemuuliza pesa anapeleka wapi
Kuna wazazi wengine wanawekeza kwaajili yenu unaweza shangaa hela anatunza kwaajili ya kununua mashamba au kujenga
Mkuu, Mimi nimeshuhudia zaidi ya hayo. Unaweza kulalamika kwa kukosa pesa ya kununua viatu, kumbe kuna wengine wana pesa, na hawana miguu.Unaongea kwa sababu hutaki kuvaa kiatu chake, Mkuu hiyo hali sikia kwa wenzio kuna muda mtu unashindwa kuweka akiba au kufanya mambo yako kwa sababu ya tabia kama hiyo ya mzazi kujiendekeza na anatumia udhahifu huo wa kuwa yeye ni mzazi wako kuku-manipulate
Nimemdhalilisha wapi mkuuAcha kumdhalilisha ndugu Yako
Ni mwanamke kuna comment amemtajaKwa haraka haraka tu huyo mzazi ni mwanaume ana videmu vya 2000 vinamchuna
Tushauriane cha kufanya mkuuKumbe tuko wengi aisee hata mimi ndo hivo mzazi anaomba hela kama anakudai lakini ndo mzazi aisee no namna tutafanyaje ndugu yangu.
Sidhani Kama huyu alijitoa Kwa Lolote kwenye kusoma Kwangu..wakati unasoma uliwahi kumwambia mzazi wako huta fanya mtihani bila hela ya hydrojen apo mzazi hajui hata ni nn ulichomwambia akauza vi mbuzi vyake akakutumia na ukajiona mjanja haya tulia Kijana dawa ikuingie saiv ni wakati wake Bado ajakwambia akafanye chek up ya tez dume bili 150000 na ww uez kumwangalia mzee uko uvungun itabid uitoe tu 😳
Amen and amen!!
Mzazi hakosei vumilia tu mkuu ndo ukubwa huo!
Kwahiyo analipiza kisasi?Ndivyo mlivyomsumbua mkiwa wadogo...karma